Dar: RC Makonda alipongeza Jeshi la Polisi kusimamia uchaguzi vizuri. Awaandalia sherehe ya Polisi Family Day

Sep 17, 2018
7
14
1537193014509.png

Baada ya kumalizika kwa Uchaguzi wa Ubunge Jimbo la Ukonga na Mwita Waitara wa CCM kuibuka mshindi Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amemuagiza Kamanda wa Polisi kanda maalum ya Dar es salaam Lazaro Mambosasa kuitisha sherehe ya familia itakayowakutanisha askari maarufu kama POLISI FAMILY DAY.

Akizungumza jijini Dar es salaam Mkuu wa Mkoa Paul Makonda amempongeza Kamanda Lazaro Mambosasa kwa kusimamia zoezi la uchaguzi wa Ukonga na maeneo mengine ndani ya jiji hilo kwa kufanyika kwa amani.

“Kamanda Mambosasa andaa polisi family day nataka iwe siku ya mfano Tanzania, ili tupunguze msongo wa kazi ngumu mliyokua nayo wakati wa kulinda amani ya Dar es salaam…”

Aidha Paul Makonda amesema askari wa jeshi hilo watarajie kupata unafuu wa gharama za ujenzi kufuatia kiongozi huyo kuzungumza na baadhi ya wamiliki wa viwanda vya saruji pamoja na kiwanda cha Mabati ili kuangalia namna ya kuliinua jeshi hilo.

Mapema leo katika ukumbi wa Anatoglo jijini Dar es salaam Msimamzi wa Uchaguzi ilala Jumanne Shauri alimtangaza Mwita Waitara wa Chama cha Mapinduzi kuwa mbunge mteule wa Ukonga kwa kupata jumla ya kura 77, 795 huku mpinzani wake CHADEMA Asia Msangi akipata kura 8676.

Muungwana Blog
 
mhh.. Eti kazi ngumu ya kulinda amani, huu ni uzushi na ulaghai wa kiwango cha fly over, aseme anawapongeza police kwa kuisaidia ccm kuiba kura zilozopelekea kujitangazia ushindi wa kizushi! Mungu anawaona!
Yaani anawapongeza kwa jukumu lao..? Ni responsibility yao kufanya hivyo na si jambo la kufanyiwa sherehe.
 
Nadhani hata wabunge na madiwani wote waliobakia upinzani wakiongozwa na Kamanda Mbowe waunge mkono juhudi za rais tu kwakuwa uhakika wa nafasi zao bungeni uko palepale.
Na kwa kufanya hivyo kutaokoa ghalama, na kwakuwa 2020 watanzania wote tutaunga mkono mafanikio ya rais hakutakuwa na sababu ya uchaguzi mkuu.
 
Baada ya kumalizika kwa Uchaguzi wa Ubunge Jimbo la Ukonga na Mwita Waitara wa CCM kuibuka mshindi Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amemuagiza Kamanda wa Polisi kanda maalum ya Dar es salaam Lazaro Mambosasa kuitisha sherehe ya familia itakayowakutanisha askari maarufu kama POLISI FAMILY DAY.

Akizungumza jijini Dar es salaam Mkuu wa Mkoa Paul Makonda amempongeza Kamanda Lazaro Mambosasa kwa kusimamia zoezi la uchaguzi wa Ukonga na maeneo mengine ndani ya jiji hilo kwa kufanyika kwa amani.

“Kamanda Mambosasa andaa polisi family day nataka iwe siku ya mfano Tanzania, ili tupunguze msongo wa kazi ngumu mliyokua nayo wakati wa kulinda amani ya Dar es salaam…”

Aidha Paul Makonda amesema askari wa jeshi hilo watarajie kupata unafuu wa gharama za ujenzi kufuatia kiongozi huyo kuzungumza na baadhi ya wamiliki wa viwanda vya saruji pamoja na kiwanda cha Mabati ili kuangalia namna ya kuliinua jeshi hilo.

Mapema leo katika ukumbi wa Anatoglo jijini Dar es salaam Msimamzi wa Uchaguzi ilala Jumanne Shauri alimtangaza Mwita Waitara wa Chama cha Mapinduzi kuwa mbunge mteule wa Ukonga kwa kupata jumla ya kura 77, 795 huku mpinzani wake CHADEMA Asia Msangi akipata kura 8676.

Muungwana Blog
Kulinda amani ni kazi yao, si wanalipwa mshahara?
 
Waitara alihama chadema akawaacha wafuasi wengi wa chadema ambao ndio waliomfanya yeye kuwa mbunge
Lakini amehama yeye tu.. Wafuasi wa chadema/Ukawa wao wamebaki ktk Chama, iweje leo Waitara ashinde kwenye jimbo ambalo Wafuasi wengi ktk Ukonga ni chadema/ukawa?
 
Baada ya kumalizika kwa Uchaguzi wa Ubunge Jimbo la Ukonga na Mwita Waitara wa CCM kuibuka mshindi Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amemuagiza Kamanda wa Polisi kanda maalum ya Dar es salaam Lazaro Mambosasa kuitisha sherehe ya familia itakayowakutanisha askari maarufu kama POLISI FAMILY DAY.

Akizungumza jijini Dar es salaam Mkuu wa Mkoa Paul Makonda amempongeza Kamanda Lazaro Mambosasa kwa kusimamia zoezi la uchaguzi wa Ukonga na maeneo mengine ndani ya jiji hilo kwa kufanyika kwa amani.

“Kamanda Mambosasa andaa polisi family day nataka iwe siku ya mfano Tanzania, ili tupunguze msongo wa kazi ngumu mliyokua nayo wakati wa kulinda amani ya Dar es salaam…”

Aidha Paul Makonda amesema askari wa jeshi hilo watarajie kupata unafuu wa gharama za ujenzi kufuatia kiongozi huyo kuzungumza na baadhi ya wamiliki wa viwanda vya saruji pamoja na kiwanda cha Mabati ili kuangalia namna ya kuliinua jeshi hilo.

Mapema leo katika ukumbi wa Anatoglo jijini Dar es salaam Msimamzi wa Uchaguzi ilala Jumanne Shauri alimtangaza Mwita Waitara wa Chama cha Mapinduzi kuwa mbunge mteule wa Ukonga kwa kupata jumla ya kura 77, 795 huku mpinzani wake CHADEMA Asia Msangi akipata kura 8676.

Muungwana Blog
Huyu jamaa analeta utoto katika geshi!
 
Back
Top Bottom