Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hali ya vyama vya siasa zikoje katika maeneo yenu katika uchaguzi huu mdogo wa Serikali za mitaa , na je , Muamko wa wananchi ni wakiwango gani?
1 Reactions
32 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. John Joseph Pombe Magufuli, ampandisha cheo cha Meja Jenerali, Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa Brigedia Charles Mbuge. Mkuu wa...
13 Reactions
171 Replies
42K Views
Habari JF, Linapokuja suala la kuchagua viongozi vijana wengi tunakuwa bize na kazi, hatujiandikishi, hatupigi kura ,sababu kubwa ni kwamba ya ubize ,umbali wa vituo walivyojiandikisha na kura...
5 Reactions
22 Replies
1K Views
Mafuta, matengenezo, matangazo,posho na n.k kwa magari zaidi ya 1000 huu pesa inawashwa kibiriti kisa tu ni kunshindana na wajerumani waliona uchumi mkubwa zaidi Ulaya na wanaosadia bajeti yetu ya...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Nikiwa Mtanzania mwenye akili timamu. Zifuatazo ni sababu za kususia kujiandikisha: 1. Katiba mbovu. Hata mchague nan sahau mabadiriko. 2. Utofauti mkubwa wa mjini na vijijini, ata mkijitokeza...
5 Reactions
11 Replies
660 Views
Hayo mambo yenu mengine ni wastage of Time and resources. Shule za Serikali zinabidi kutumia lugha ya kingereza Hadi chuo kikuu. Nendeni katika shule za Serikali mjionee Maajabu watoto...
45 Reactions
307 Replies
14K Views
RC Chalamila anamudu mikoa midogo kama Lindi au Singida ila DSM imemzidi pakubwa Sana Makonda akiwa RC alisuruhisha mgomo wa mabasi ya mikoani pale Ubungo na hadi leo hali ni shwari Makonda...
5 Reactions
33 Replies
1K Views
BASHUNGWA AWEKA JIWE LA MSINGI SHULE YA SEKONDARI JAKAYA KIKWETE - CHALINZE Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Dira ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya...
0 Reactions
0 Replies
334 Views
Habari Ninacho hisi watu wengi kutokujiandikisha kwenye Chaguzi za Serekali za Mitaa pamoja na kutumika hamasa nyingi Watu wengi walikuwa wanajiandikisha ili wapate Kadi ya kupiga kura iwe kama...
1 Reactions
1 Replies
227 Views
Utamaduni huu ni changamoto sana ndani ya taifa letu, shida nini? Hasa 1. Elimu yetu ni mbovu? 2. Au ni umasikini? 3.Au ni taifa letu limekufa 4. Jamani shida nini? Na tufanye nn I'li kuondoa huu...
3 Reactions
41 Replies
980 Views
Mbunge Damas Ndumbaro karudi jimboni kwake Songea leo kuwasalimia wananchi wake miaka mingi imepita tangu achaguliwe ubunge. Mbunge huyu katoa zawadi, kaongozana na wataalam na watu wengine wengi...
5 Reactions
32 Replies
1K Views
Ukweli lazima usemwe hata kama ni mchungu...mwaka huu kumekuwa na ugumu sana kwenye haya mazoezi... Kwenye vitambulisho vya kura watu wameenda tu tokana kuaambiwa vitawasaidia kwenye shughuli...
3 Reactions
7 Replies
676 Views
Mbunge wa zamani wa Iringa mjini mchungaji Msigwa amewaomba msamaha Wanachama wa chadema waliojiunga CCM kabla yake PAMOJA na wale COVID-19 kwa masimango yote aliyowafanyia Mchungaji Msigwa...
3 Reactions
31 Replies
1K Views
Wanazingua hawa, hii ilitokea jana na kuripotiwa kupitia ukurasa wa Boniface Jacob (Boniyai). --- Ustaarabu siyo tabia ya CCM Hawa ni Watoto wa shule Wamekutwa wanaandikishwa katika daftari...
0 Reactions
0 Replies
405 Views
Huyu jamaa, naona bado hajapona vizuri. Halafu mbona kakonda sana? Wazee wa ramli chonganishi, vibuyu vinasemaje huko? ==== Salaam Ndugu zangu, Kwanza namshukuru sana Mungu aliye hai kwa...
71 Reactions
263 Replies
24K Views
Jionee mwenyewe https://www.youtube.com/live/D2mWLyd17wc?si=qATuuoijUpj7rOw9
3 Reactions
11 Replies
836 Views
Shukrani na Tafakuri Leo ni miaka sita: maisha yangu—na familia yangu—vilisimama ghafla! Hofu na sintofahamu nyingi zilitugubika. Lakini Alhamdulillah, Mungu Mwenye Enzi, alikuwa na mpango mkubwa...
4 Reactions
31 Replies
2K Views
WAZIRI KOMBO AHIMIZA USHIRIKIANO NA NCHI MARAFIKI UJIKITE KATIKA BIASHARA Tanzania imesisitiza umuhimu wa kukuza ushirikiano wa kibiashara na uwekezaji na nchi marafiki, ikiamini kuwa hiyo ndiyo...
0 Reactions
0 Replies
308 Views
Mjinga mimi nina swali. Ni swali kumhusu Rais Samia [baadhi yenu ni mama yenu]. Sina takwimu wala taarifa zingine zozote za kuufuta huu ujinga wangu. Na hata sijui niende wapi ili kuzipata...
40 Reactions
139 Replies
9K Views
Wakuu, Kama bado hujaenda kujiandikisha kupiga kura tafadhali tazama picha hii ya Rais Samia na Nyerere kwa nyakati tofauti wakiwa kwenye foleni wanasubiri zamu zao zifike...
14 Reactions
45 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…