Msimamizi wa uchaguzi halmashauri ya Mtama Anderson Msumba leo Novemba 29,2024 ametangaza matokeo ya jumla ya uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika Novemba 27 mwaka huu katika halmashauri...
Kada wa Chama cha Mapinduzi aliyefahamika kwa jina la Justine Kiatu, anadaiwa kujiua baada ya mgombea wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Rajabu Lupanda kutangazwa mshindi wa nafasi ya...
Kongamano la miaka 25 ya Jumuiya ya Africa Mashariki linaanza Leo jijini Arusha chini ya mwenyekiti wake Rais wa Sudan Kusini
Wanaharakati wa Kimataifa wako Arusha kuhoji kiongozi wa Upinzani wa...
Kwa zaidi au karibu asilimia 90 ya wananchama na Viongozi wote wanaoondoka CHADEMA hurusha lawama nyingi kwa Mwenyekiti wa chama hicho anayemaliza muda wake Bw Freeman Mbowe.
Wakati mmoja...
Mimi na familia yangu tulihamia CCM baada ya kushindwa kuvumilia mienendo ya Mwenyekiti wa sasa wa CHADEMA ngazi ya Taifa.
Lakini pia, Ikumbukwe sisi Diaspora kwa muda mrefu sana tumekuwa tukiipa...
Wakuu,
Uzi huu ni maalum kwaajili ya maoni ya Waangalizi wa Uchaguzi pamoja ma Wananchi juu mwenendo mzima wa zoezi la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa baada ya Matokeo kutangazwa.
Kupata taarifa...
Wakuu,
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida kimeibuka na ushindi wa asilimia 99.7 katika uchaguzi wa serikali za mitaa wa kuwachagua wenyeviti wa vijiji, mitaa, vitongoji na wajumbe.
Katibu...
Wakuu,
Huko Mbezi Luis Jeshi La Polisi limetumia mabomu ya machozi kutawanyisha wana CHADEMA waliokuwa wanadai kuwa Mtendaji amemtangaza mgombea wa CCM kama mshindi badala ya mgombea wa CHADEMA...
Hit the ground running ni msamiati wa kijeshi ambao watu wengine imeonekana kwamba wameshindwa kuelewa maana yake.
Ina maana mwanajeshi anaposhuka na parachuti,anapokaribia ardhini,upepo utakuwa...
Pongezi kwa Wananchi wa Mkoa wa Simiyu kwa Ushindi Mkubwa wa CCM katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji
Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu kinapenda kutoa pongezi za...
Leo siku ya Jumatatu kuanzia saa nne asubuhi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Paul Makonda ataongea na waandishi wa habari kutangaza listi ya wauzaji na watumiaji wa madawa ya kulevya kwa mara ya...
Kasi ya rais Magufuli inazidi kuvuma kila kona ya ndani ya nchi na nje ya nchi. Safari hii mtetemo wa juhudi za rais Magufuli umetua kwa nchi ya Ujerumani ambayo imefungua ofisi ya ubalozi jijini...
Kuna hii propaganda ya kijinga sana imekuwa ikirudiwa rudiwa mara kwa mara na viongozi wa Chadema akina Mbowe, Lisu na Godbless kuwa rais wa 5 wa nchi yetu hayati Magufuli eti alikuwa anajiandaa...
Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba aliyekuwa akipatiwa matibabu nchini Afrika Kusini amefariki dunia.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Bw. Assaa...
Hii ni kwa mujibu wa Taarifa ya Bunge; Waziri wa Viwanda na Biashara, Abdalah Kigoda amefariki leo nchini India alikokuwa amelazwa kwa matibabu.
Balozi Kijazi amethibitisha taarifa hizi na...
Team,
Kuwa kiongozi ni suruba kwa kuwa unazungukwa na wengi wanaokupimia anguko;
Shangwe za watu unapotumbuliwa ni nyingi kuliko unapooa au kuzaliwa ili kulinda nafasi na heshima yako siku zote...
Kwakuwa wanatambua toka zoezi hili limeanza kulikuwa na dalili mbaya na nia ovu ya kuhujumu uchaguzi huu na kwasababu watakwenda kubandika takwimu hizi leo Oktoba 21, Viongozi CHADEMA Jimbo la...
Kama Kafulila na PPP yake hana shaka na Adani kama tulivyosoma mitandaoni basi ajue wananchi wengi taarifa za kushitakiwa hao watu kwa kupewa kandarasi marekani kwa kutoa rushwa zinathibitisha...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NASERIKALI ZA MITAA
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
MATOKEO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA ULIOFANYIKA TAREHE 27 NOVEMBA,2024...