Tetesi: Dkt Slaa, Msigwa, Silinde, Nassari, Mwambukusi na wenzao wengi wakiwemo Covid 19 kurejea CHADEMA baada ya John Heche kuchukua udhibiti CHADEMA

Synonyms MP

JF-Expert Member
Jun 4, 2024
280
298
Kwa zaidi au karibu asilimia 90 ya wananchama na Viongozi wote wanaoondoka CHADEMA hurusha lawama nyingi kwa Mwenyekiti wa chama hicho anayemaliza muda wake Bw Freeman Mbowe.

Wakati mmoja aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la akina Mama Mhe Halima Mdee toka Muungano wa Covid -19 aliwahi kukaririwa akisema walichokifanya kina mkono wa Mwenyekiti wao huyo Bw Freeman Mbowe.

Baadhi ya Wajumbe wa kamati kuu akiwemo John Heche, Tundu Lissu na John Mnyika walionesha dhamira yao ya kutokuwasamehe kabisa wabunge hao 19 wa kike kila walichokifanyia chama hicho.

Mwananchi mmoja aliyekaribu na Mwanasiasa huyo anayedhaniwa kugombea nafasi hiyo ya Uenyekiti wa Taifa kumkabili Bw Freeman Mbowe mwanasiasa wa muda mrefu endapo atagoma kuondoka kwa heshima Heche amejinasibu kufungua milango ya msamaha kwa mwanachama na kiongozi yeyote mwenye nia ya kurejea CHADEMA kufanya hivyo bila masharti.

Heche anaona kama kitendo Cha wabunge 19 kukaidi maelekezo ya Chama ni kiashiria cha uongozi dhaifu na uswaiba wa Freeman Mbowe na hivyo kuwapoteza wanawake hao ni kukidhoofisha chama hicho kwani hata Edward Lowassa pamoja na usaliti wake mkubwa kwa Chama chake bado alipokelewa CCM Kwa nderemo na vifijo na aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama hicho Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli.

Kama kweli Heche atagombea nafasi hiyo na kushinda basi CHADEMA itakuwa ndio chama hatari zaidi Cha Upinzani kusini mwajangwa la Sahara kinachonyemelea Dola kwa ukaribu zaidi kwenye chaguzi zote zinazofuata.​
 
Acha kumharibia Mbowe na chama chake binafsi. Nani alikuambia Mbowe anamaliza muda wake? Na hata kama akiamua kuachia uenyekiti lazima atamrithisha mwanae na sio mtu baki Heche. Huyo Heche apewe onyo kutaka kuingilia mambo ya familia za watu.
 
IMG-20241102-WA0069.jpg

Huyu ndiye John Heche kijana anayetajwa kumrirhi Freeman Mbowe Uenyekiti.

Kwa zaidi au karibu sawa na asilimia 90 ya wananchama na Viongozi wote wanaoondoka chama kikuu cha Upinzani nchi Tanzania Cha CHADEMA hurusha lawama zao kwa Mwenyekiti wa chama hicho anayemaliza muda wake Bw Freeman Aikael Mbowe.

Wakati mmoja aliyekuwa Mwenyekiti wa baraza la Wanawake la chama hicho Mhe Halima James Mdee toka muungano wa Covid -19 aliwahi kukaririwa Waziwazi akisema walichokifanya yeye na wenzake 18 kina baraka za Mwenyekiti wao huyo Bw Freeman Mbowe.

Baadhi ya Wajumbe wa kamati kuu wenye misimamo mikali akiwemo John Heche, Tundu Lissu na John Mnyika walionesha dhamira yao ya kutokuwasamehe kabisa wabunge hao 19 wa kike kwa kile walichokifanyia chama hicho chenye ushawishi kwa vijana na Mafukara wa Taifa hilo.

Mwananchi mmoja aliyegoma kutajwa jina lake aliye karibu na Wafuasi wa Mwanasiasa huyo kipenzi cha Watanzania anayedhaniwa kugombea nafasi hiyo ya Uenyekiti wa Taifa ili kumkabili vikali Mwenyekiti wa muda mrefu wa Chama hicho Bw Freeman Mbowe ambae ni mwanasiasa wa muda mrefu endapo tu atagoma kuondoka kwa heshima, Wafuasi wa John Heche wamejinasibu kufungua milango ya msamaha kwa mwanachama na kiongozi yeyote mwenye nia ya kurejea CHADEMA kufanya hivyo bila masharti pindi kiongozi wao huyo atakaposhika udhibiti wa Chama hicho mapema mwezi ujao.

Wafuasi wa Heche wanaona kama kitendo Cha wabunge 19 kukaidi maelekezo ya Chama ni kiashiria cha uongozi dhaifu na uswaiba wa Freeman Mbowe na hivyo kuwapoteza wanawake hao ni kukidhoofisha chama hicho kwani hata Edward Lowassa pamoja na usaliti wake mkubwa kwa Chama chake bado alipokelewa CCM Kwa nderemo na vifijo na aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama hicho Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli.

Kama kweli Heche atagombea nafasi hiyo na kushinda basi CHADEMA itakuwa ndio chama hatari zaidi Cha Upinzani kusini mwajangwa la Sahara kinachonyemelea dola kwa karibu zaidi kwenye chaguzi zote zinazofuata.

Pia soma Kwanini kila anayeondoka CHADEMA anamtaja Mbowe?

Kwa zaidi au karibu asilimia 90 ya wananchama na Viongozi wote wanaoondoka CHADEMA hurusha lawama nyingi kwa Mwenyekiti wa chama hicho anayemaliza muda wake Bw Freeman Mbowe.

Wakati mmoja aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la akina Mama Mhe Halima Mdee toka Muungano wa Covid -19 aliwahi kukaririwa akisema walichokifanya kina mkono wa Mwenyekiti wao huyo Bw Freeman Mbowe.

Baadhi ya Wajumbe wa kamati kuu akiwemo John Heche, Tundu Lissu na John Mnyika walionesha dhamira yao ya kutokuwasamehe kabisa wabunge hao 19 wa kike kila walichokifanyia chama hicho.

Mwananchi mmoja aliyekaribu na Mwanasiasa huyo anayedhaniwa kugombea nafasi hiyo ya Uenyekiti wa Taifa kumkabili Bw Freeman Mbowe mwanasiasa wa muda mrefu endapo atagoma kuondoka kwa heshima Heche amejinasibu kufungua milango ya msamaha kwa mwanachama na kiongozi yeyote mwenye nia ya kurejea CHADEMA kufanya hivyo bila masharti.

Heche anaona kama kitendo Cha wabunge 19 kukaidi maelekezo ya Chama ni kiashiria cha uongozi dhaifu na uswaiba wa Freeman Mbowe na hivyo kuwapoteza wanawake hao ni kukidhoofisha chama hicho kwani hata Edward Lowassa pamoja na usaliti wake mkubwa kwa Chama chake bado alipokelewa CCM Kwa nderemo na vifijo na aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama hicho Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli.

Kama kweli Heche atagombea nafasi hiyo na kushinda basi CHADEMA itakuwa ndio chama hatari zaidi Cha Upinzani kusini mwajangwa la Sahara kinachonyemelea Dola kwa ukaribu zaidi kwenye chaguzi zote zinazofuata.

Njama hapa ni kuaribia Heche sio kumsaidia. Wajanja wananielewa
 
Uandishi kama wa chapombe johnthebaptist .
 
Baada ya kuandika uongo wako.

Kwanza elewa Mbowe hawezi kuondoka kwenye kiti kisa tu kuna Lisu au Heche hamna kitu kama hicho huyo jamaa bado yupo sana tena unapaswa ujue Mbowe analindwa na CCM kwa sababu anacheza nao siasa.
 
Wakurya wapo vizuri kwenye uonģozi.. kwa mnaomkumbuka Chacha Wangwe mtakubaliana na mimi
 
Tunataka tuone sura mpya, mbinu mpya,misimamo mipya, watu wamechoka na ccm , ila CHAMA kikuu cha upinzani ndio tatizo
 
Baada ya kuandika uongo wako.

Kwanza elewa Mbowe hawezi kuondoka kwenye kiti kisa tu kuna Lisu au Heche hamna kitu kama hicho huyo jamaa bado yupo sana tena unapaswa ujue Mbowe analindwa na CCM kwa sababu anacheza nao siasa.
Yupo kazini mkuu umesema vyema, mtampoza heche
 
Ina maana Heche amejitoa mhanga kuonja sumu kwa ulimi? Ila jamaa ni mkurya kwa hiyo mihasira ya kikurya inaweza kuwa inamuongoza kufanya hivyo!
 
Baada ya kuandika uongo wako.

Kwanza elewa Mbowe hawezi kuondoka kwenye kiti kisa tu kuna Lisu au Heche hamna kitu kama hicho huyo jamaa bado yupo sana tena unapaswa ujue Mbowe analindwa na CCM kwa sababu anacheza nao siasa.
Kila lenye mwanzo huwa linamwisho
 
Back
Top Bottom