ABC ZA 2025
JF-Expert Member
- May 2, 2018
- 1,290
- 827
Mimi na familia yangu tulihamia CCM baada ya kushindwa kuvumilia mienendo ya Mwenyekiti wa sasa wa CHADEMA ngazi ya Taifa.
Lakini pia, Ikumbukwe sisi Diaspora kwa muda mrefu sana tumekuwa tukiipa sapoti CHADEMA ya hali na Mali hata kama ni kwa kiasi kidogo.
Mkumbuke si kweli kwamba sisi huku nje ni Matajiri No, ila tunapenda na kuipenda nchi yetu tu ndio maana tunajikamua kwa masilahi ya Chadema ambayo tunaamini inaweza kuwakomboa na kuwasaidia Watanzania wenzetu.
Hizi tetezi za CHADEMA kubadili Mwenyekiti wa Chama kimewagusa watu wengi ikiwa ni pamoja na Mimi na familia yangu.
Tunawaahidi Watanzania na WanaChadema waliokimbia na waliopo kwamba sisi TUTARUDI CHADEMA chini ya Mwenyekiti mwingine asiye huyu.