Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kweli mfa maji hutapatapa atimaye ccm waanza kulazimisha maoni yao Magazetini: - Hoja zawaumiza CCM, Makonda aongoza vijana kumshambulia - Mdahalo wavunjika, polisi waonyesha udhaifu - Meseji za...
17 Reactions
2K Replies
243K Views
➤ Sisi ni Watumishi wa Umma Wastaafu tuliokuwa tunafanyia kazi vikosi mbalimbali vya Jeshi, tuliajiriwa kila mtu na CV namba yake na kila mtu alipewa barua ya kuajiriwa pia kila Mwajiriwa alikuwa...
18 Reactions
141 Replies
14K Views
Mara kadhaa wewe Mzee umezungumza kuhusu Uchafu uliofanywa na ccm kwenye chaguzi za 2019 na 2020, (Kikwete hakuwahi kusema), Bila shaka anayo Maslahi yake. Hii 2024 ni aibu zaidi, Sasa siyo...
6 Reactions
55 Replies
1K Views
Katibu Mkuu wa ACT-Wazalendo, Ado Shaibu, amewataja watu waliomteka na kumtesa Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa chama hicho, Abdul Nondo, akisema kuwa licha ya mateso hayo, chama hakitogopa wala...
2 Reactions
4 Replies
762 Views
ACT wazalendo nayo ni kama imeingia rasmi kwenye mfumo wa upinzani wa kulalamika na kukurupuka bila kua na mawazo mapya, fikra wala mipango mikakati mbadala. Zitto Kabwe ana tamani kurudi kwenye...
2 Reactions
40 Replies
2K Views
TAARIFA KWA UMMA Tunalani Uvamizi dhidi ya Wamachinga na Kubomolewa Vibanda vyao eneo la Mbagala Rangitatu ACT Wazalendo tunasikitishwa na kulaani vikali tukio la kubomolewa kwa vibanda na...
3 Reactions
39 Replies
2K Views
Wakuu, Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia na kumhoji aliyekuwa mgombea wa nafasi ya Uenyekiti katika mtaa wa Buswelu A kupitia CHADEMA, Pastory Apolinary Sililo anayedaiwa kuwa...
1 Reactions
4 Replies
798 Views
Aliyekuwa mgombea wa uenyekiti wa mtaa wa Engosengiu kata ya Sinoni jijini Arusha kwa tiketi ya chadema ndugu Damiani amepotea na hajulikani aliko hadi sasa. Siku chache kabla ya uchaguzi wa...
0 Reactions
5 Replies
724 Views
Jumla ya maeneo matatu kutoka wilaya ya Uyui, mkoani Tabora yanatarajia kurudia uchaguzi wa serikali za mitaa kutokana na changamoto mbalimbali ikiwemo vifo vya wagombea siku chache kabla ya...
0 Reactions
0 Replies
429 Views
Wapendwa wanangu, Kuna mwanangu kanitumia hii kitu ili tushee. Nawasilisha kama kilivyo bila kuficha. Barua ya Wazi kwa Waziri, IGP, na Bosi wa TISS Na Nkwazi Mhango aka Fyatu Mfyatuzi...
7 Reactions
12 Replies
2K Views
Rais Samia ametoa pongezi za dhati kwa Rais Mteule wa Namibia, Netumbo Nandi-Ndaitwah, kufuatia ushindi wake wa kihistoria katika uchaguzi mkuu wa Namibia wa mwaka 2024. Kupitia ujumbe wake, Rais...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Wanyama wote tukiwemo binadamu tumepewa Zawadi ya akili na Mwenyezi Mungu. Akili ya binadamu ndio ile ile ya mnyama ndio Sababu Watoto Wadogo hupelekwa Madrassa na Sunday School Ili kuingiziwa...
5 Reactions
14 Replies
680 Views
Matokea ya uchaguzi wa serikali za mitaa yametoa taswira ya namna vyama vya upinzani nchini vitaendelea kuwa wasindikizaji. Vyama hivyo vitaendelea kuisindikiza CCM na kukiacha kiking'ara...
2 Reactions
10 Replies
640 Views
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Dk Mpoki Ulisubisya kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI). Rais Samia, pia amemteua Joyce Gideon...
4 Reactions
81 Replies
8K Views
Habari wadau, ni matumaini yangu mko vyema kabisa, Kwa jina naitwa ProMagufuli. Napenda kuleta hoja kama kichwa kinavyosema. Kufuatia uchaguzi wa serikali za mitaa tumeweza kujionea...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Sio lisemwalo liko sawa, kutomuelewa Magufuli inaakisi umasikini tulionao kwamba umeanzia kwenye vichwa vyetu Watanzania mjifunze kukataa Ujinga Magufuli hakuwa mbaya kiasi hicho na kuhusu...
19 Reactions
91 Replies
3K Views
..Kwanini Raisi hajatoa mchango wa rambirambi kwa wanachadema waliofariki Dsm, Singida, na Songwe? ..Kwanini Katibu Mkuu wa CCM hajatuma salamu za rambirambi kwa Katibu Mkuu mwenzake, au...
6 Reactions
23 Replies
1K Views
SWALI KWA ZITO :NONDO AKATAA KUPIGWA PICHA? AU msimamo wa chama kwamba picha za majeruhi hazioneshi kwa jami? PIA SOMA - ACT waongea baada ya Nondo kupatikana, wasema alipigwa sana na alikuwa...
8 Reactions
45 Replies
3K Views
Umoja wa Wazee kutoka Taasisi ya TAFEYOCO Tanzania wamewataka Wananchi na Jamii mbalimbali Nchini kuhakikisha wanapuuza matamko yanayotolewa kuhusu Uchaguzi wa Serikali za mitaa ambayo yanalenga...
0 Reactions
5 Replies
858 Views
Chama cha Mapinduzi mkoani Lindi kimewashukuru wananchi mkoani humo kwa kukipa ushindi wa kishindo katika uchaguzi wa Serikali za mitaa uliofanyika Novemba 27 mwaka huu. Akiongea na wananchi...
1 Reactions
0 Replies
423 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…