Watanganyika tunajengewa kitu ambacho hatukuwa nacho!
Kinajengwa na matamshi ya wazi ya wazanzibari!
Sikiliza watanganyika wameanza kujitambua
Pia soma
Kaimu Waziri wa Afya-Saada: Hatuwezi...
Amebaki Pascal Mayalla anajitutumua kua very critical.
Ufisadi unaoendelea sasa hivi bila kuwa tasinia ya habari yenye waandishi wa habari kama Pascal Mayalla taifa letu linakwenda pabaya sana...
WAZIRI MKUU: SERIKALI ITAENDELEA KULINDA UHURU WA KUABUDU
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali itaendelea kulinda uhuru wa kuabudu na kuimarisha ushirikiano na taasisi za dini kwa...
Habari za jumapili!
1. Wiki kadhaa zilizoisha taarifa za kuuawa mchina zilizagaa mitandaoni.
2. Mshukiwa wa mauaji hayo akiwa ni mtu mmoja ambaye jina lake halikutajwa isipokuwa kabila lake la...
Wanabodi,
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo. Hakuna ubishi kuwa kilichotokea October 29, kimesababishwa na chuki iliyopitiliza!. Japo Ripoti ya Jaji Chande, imepunguza kidogo...
Serikali ilitangaza kuanza kwa mchakato wa kuboresha eneo la Sinza ili kulifanya kuwa la uwekezaji na kwamba Wananchi watapewa maelekezo ya kuyaachia maeneo yao kwa makubaliano maalum ya...
WAZIRI MKUU AAGIZA BIDHAA ZILIZOCHUKULIWA KWA WAFANYABIASHARA SHELUI KUREJESHWA MARA MOJA
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza bidhaa zilizochukuliwa kutoka kwa baadhi ya wafanyabiashara...
Wanabodi,
Hii ni Makala yangu kwenye Gazeti la Mwananchi la leo nikiizungumzia Ripoti ya Jaji Chande ni hatua moja mbele, ripoti hiyo imepooza tuu kiu ya kujua kilichotokea, ila haijakata kiu ya...
SAME - Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema ziara ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan nchini Urusi inathibitisha dhamira ya Tanzania kutofungamana na upande wowote...
Mambo yanazidi kuwa mengi.... Wazanzibari ni wabaguzi sana. Hawataki tumiliki ardhi Zanzibar, hawataki tufanyekazi Zanzibar, hawataki tutibiwe Zanzibar na mengine yanakuja soon.
Anaandika John...
Wapo wanaotazama ukubwa wa Goliati kwa sababu ana mwili mkubwa, mashamba mapana, madini tele, mito, misitu na hazina nyingi.
Lakini historia hufundisha kwamba si kila mamlaka hutegemea ukubwa wa...
Kukitangazwa TU maandamano basi wao huanza kusitisha huduma ya maji kwa kusingizia TANESCO..Lengo lao kuwatia hasira wananchi waichukie serikali Yao Kisha watoke waandamane ..
Walianza hii michezo...
Hapa Tanzania , mambo ya kisiasa bado sana.
Sisi bado tunapambania survival kuhakikisha unapata mlo wa Kila Leo.
Hata kama watanzania waruhusiwe kuandamana bado wasingeweza na hawawezi.
Huku...
WAZIRI MKUU: FEDHA ZA MAJI, BARABARA NA UMEME KWENDA MOJA KWA MOJA KWENYE MIFUKO HUSIKA
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imewasilisha bungeni mapendekezo yatakayowezesha fedha...
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile akizungumza Novemba 5, 2025 katika Mjadala wa Nafasi ya Vyombo vya habari katika uchaguzi wa Tanzania na DW ameelezea kuhusu...
Sisi wazalendo wa kweli tulimkubali John Joseph Pombe Magufuli mapema sana na tulimtetea kadri inavyowezekana dhidi ya kundi la wahuni.Yoyote anayejidai kumpenda Magufuli sasa ni mnafiki...
The issue centers around a proposed U.S. Senate bill called the "Reassessing the United States–Tanzania Bilateral Relationship Act", introduced by U.S. Senators Jeanne Shaheen and Ted Cruz in May...
Wanabodi,
Hili ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo, nikitoa pongezi kwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF, Deodatus Balile, kwa uzalendo wake kuhusu kile kilichotokea...