situjadiriane
Member
- Jan 5, 2023
- 53
- 67
Wa Tanzania wenzangu ni vema tujiulize tumefikaje hapa? Ni mezaliwa Tanzania toka mwaka 1967 sijawai kuona Hali ya kutoaminiana Kati ya vyombo vya Dola na wananchi.
Niwazi kuwa enzi hizo kama mwananchi angefukuzwa kwa tuhuma zozote Inge kuwa hauweni kwake kama angeona polisi au kituo cha polisi angejiona yuko salama. Swali tumefikaje hapa? Raia wanaofia maisha Yao zaidi wanapokamatwa na polisi. Wananchi wamegeuza ukamataji wowote wa polisi kuwa utekaji.
Nawaomba selikari wafanye kila linalowezekana hofu hii ya wananchi kwa polisi iondoke. Polisi waondoe ubabe watumie njia halali za ukamataji. Kama hofu hii ya wananchi haitaondolewa kwa polisi wananchi hawatakubali mharifu yeyote akamatwe. Matokeo yake itakuwa Vita ya polisi na wananchi.
Madhara makubwa yameanza kuonekana wananchi Hawaii tayari kukamatwa na polisi. Hofu ya kutekwa imekuwa kubwa. Chonde chonde selikali Rejesheni umoja upendo na amani