Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Endelea kufanya kazi professionally na si kuteka watu. Basi mtoe Soka et al! Mtoe Mdude basi! Na wengine
3 Reactions
6 Replies
170 Views
1. Chalamila 2. Kihongosi 3...,.........
3 Reactions
25 Replies
492 Views
Kama umewahi kusikia usemi wa nyani haoni..., basi hiyo ndio Tanzania ya uongozi wetu wa sasa. Hebu Fikiria. Huko Afrika Kusini, tarehe 16 mwezi wa sita mwaka 1976, wanafunzi waliandamana kwa...
6 Reactions
9 Replies
129 Views
Kama taifa kuna mambo yanatudharirisha sana. Huu mjadala kunapotokea pande mbili zinabishana , lazima anayeufuatilia atajiuliza sana kuhusu utimamu wa akili wa upande mwingine hadi kuwa na mfumo...
16 Reactions
46 Replies
1K Views
Joseph Kasheku Musukuma, amemuomba Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi, kuchukua hatua kali za kinidhamu dhidi ya mawaziri wake wanaotoa kauli za kibaguzi. Soma Pia: Musukuma: Mawaziri wa...
0 Reactions
0 Replies
81 Views
Mchungaji Godfrey Malisa amesema; "Bado tuna safari ndefu sana. Demokrasia ya Tanzania inatakiwa kuendelea kuipigania, bado sana. Bado kuna safari ndefu. Kwa sababu kuna wanaotaka demokrasia na...
4 Reactions
11 Replies
245 Views
Ummy Mwalimu afunguka mazito baada ya kuteuliwa na Rais Samia; Alichokiandika katika akaunti yake ya X Alhamdullilah. Sifa zote njema ni za Mwenyezi Mungu. Kwa shukrani za dhati, heshima, na...
2 Reactions
15 Replies
317 Views
Mwalimu anahangaika kufundisha, anajituma kufundisha anajaza PEPMIS kama inavyotakiwa, kuna mtu katikati anatakiwa ku-approve, huyu mtu ndiye ana taarifa kama mtumishi ana mapungufu au hana, ajabu...
1 Reactions
3 Replies
189 Views
Wakati akiritirisha maoni, ushauri kwenye kuchangia Bajeti Kuu ya Serikali ya Mwaka 2025-2030, Mbunge wa Gairo kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Ahmed Shabiby amesema kuwa, kwa mara ya kwanza...
0 Reactions
3 Replies
166 Views
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb), amewasilisha ujumbe maalum wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa...
2 Reactions
7 Replies
170 Views
Mtu ni mtuhumiwa halafu anaunda tume! Rubbish!
1 Reactions
4 Replies
204 Views
Afrika Kusini hivi sasa kunavurugu dhidi ya raia wa kigeni, nchi zinazothamini raia wake huwatahadharisha na kuwashauri nini cha kufanya huku ikifuatilia kwa karibu usalama wao. Jambo linalotia...
13 Reactions
107 Replies
8K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imekanusha madai ya CCM kuwa imefanya vikao vya siri na wanaharakati wanaoishi nje ya nchi ili kupanga kufanya vurugu nchini kupitia maandamano. Madai...
6 Reactions
11 Replies
396 Views
Ujumbe ni huo, hakuna zaidi Hapa yatapanda mara dufu
8 Reactions
22 Replies
537 Views
Hakuna wanachokihofia wala hawajali tena wanafanya nini kibaya Kwa watanzania. Leo hii wanajiuliza ni jambo gani baya hawajawahi kufanya. Kama kila aina ya uovu wamefanya na Bado watanzania wapo...
3 Reactions
5 Replies
177 Views
Na GULATONE MASIGA Katika zama za teknolojia na mawasiliano ya kidijitali, mitandao ya kijamii imekuwa sehemu muhimu ya maisha yetu ya kila siku. Kupitia majukwaa mbalimbali, wananchi wanapata...
1 Reactions
5 Replies
111 Views
Taarifa ya sasa inaonyesha kwamba Boniface Jackob ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani ameitwa n.a. Polisi kwa Lengo la kuhojiwa kwa mambo yasiyofahamika Ameitwa tarehe 16/6/2026 Bali...
4 Reactions
8 Replies
294 Views
Kaeni na wataalamu wa mambo ya usalama hata kama kuwatafuta nje ya nchi, wawape namna mtu akiitwa na polisi afanye nini kabla ya kwenda polisi. Nimesoma Mwenyekiti wa Vijana Kanda serengeti...
5 Reactions
9 Replies
222 Views
Sheikh anatoa nasaaha nzito akitaka kuwepo kwa uwazi kabisa kuhusu mambo ya Muungano ili kuondoa migogoro na migawanyiko kati ya wananchi wa Tanzania Bara (Tanganyika) na Zanzibar. Anatoa wito wa...
1 Reactions
20 Replies
437 Views
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mbeya, Suma Ikenda Fyandomo amesema kuwa Askari Polisi Wilaya ya Kyera wanaishi kwenye bwalo ambalo walilijenga kwa nguvu zao wenyewe, lakini pia wanaishi pamoja na...
3 Reactions
16 Replies
434 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…