Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 18,590
- 22,200
Afrika Kusini hivi sasa kunavurugu dhidi ya raia wa kigeni, nchi zinazothamini raia wake huwatahadharisha na kuwashauri nini cha kufanya huku ikifuatilia kwa karibu usalama wao. Jambo linalotia mashaka ni ukimya wa serikali yetu juu ya usalama wa ndugu zetu walioko huko!
Swali langu ni nini faida ya kuugharamia ubalozi wetu huko kama hauwezi kuwahudumia ndugu zetu?
Swali langu ni nini faida ya kuugharamia ubalozi wetu huko kama hauwezi kuwahudumia ndugu zetu?