Ambassador's Message on the General Elections 2020 / Ujumbe kutoka Balozi kuhusu Uchaguzi Mkuu 2020
2020/11/4
I am troubled by the information of widespread irregularities and wrongdoings during...
Chama kiliniamini kikarudisha mamlaka kwa wananchi na wananchi wamenipa mamlaka. Kama niliapa Chadema siwezi isaliti hali kadhalika siwezi wasaliti wananchi wa Nkasi Kaskazini.
Naomba nitoe...
The way things are going on in this part of the world, the horror of the dictatorial regime, we the people of Tanzania have no choice except to vote out president Magufuli in the forthcoming...
Kiongozi wa Chama cha ACT- Wazalendo, Ndugu Zitto Zubeir Kabwe kesho Novemba 7, 2020 anatarajia kuzungumza na vyombo vya habari kuhusiana na masuala mbalimbali yaliyojili kwenye Uchaguzi Mkuu...
Walifikiri hataenda kwenye sherehe za kumuapisha JPM.
Sasa nashauri waanze kujipanga kwa 2025
===
"Bado nasumbuka sana na mwenendo wa uchaguzi uliofanyika Octoba 28 na ukiukaji wa haki za...
The United States commends the Tanzanian people for attempting to exercise their right to vote in the October 28 general elections. However, we remain deeply concerned by credible reports of...
Amani iwe kwenu wajumbe!
Tunaposema upinzani katika nchi hii bado sana ieleweke kwamba bado mbichi kweli kweli hata uwezo wa kuendesha nchi bado.
Mbowe kama kiongozi Mkuu wa kambi Rasmi ya...
Umoja wa Ulaya (EU) umesikitishwa na kitendo cha kuiminya mitandao ya kijamii kabla na baada ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 28 ambao umelalamikiwa kuwa na viashiria vya udanganyifu.
Pia...
Rais anayeongoza muhula wa 2020 – 2025 anakuwa ni Rais wa kwanza kuapishwa katika Makao Makuu ya nchi, ambayo ni Dodoma.
Miaka ya awali marais waliokuwa wakichaguliwa katika Uchaguzi Mkuu...
Kufuatia kauli aliyotoa bwana Polepole kuwa CHADEMA walichapisha kura fake ili kuchafua uchaguzi, ni vyema CCM ikawashtaki hawa CHADEMA kwa kutenda kosa hilo la jinai.
Kama ambavyo CCM imekuwa...
Mtafiti Mkuu Tanzania kupitia taasisi ya Redet Prof Mukandara amesema uangalizi wa taasisi yake umegundua uchaguzi ulikuwa huru na wa haki.
Prof Mukandara amesema 44% ya waangalizi wake wamesema...
Nianze kwa kusema democracy sio kuondoa chama fulani madarakani ama lazima kuondoa vyama vikongwe vilinavyotawala tangu taifa husika lianze hadi sasa.
Democracy sio kuwa chama fulani kisikae...
Ni kweli kuwa CCM ni chama kikongwe Afrika. Kitendo cha vijana wadogo akina Malema na wenzake akina Mbuyiseni Ndlozi kwa kushirikiana na wenzao akina Mnyika na Zitto kutaka kupambana na vyama...
Nichukue Fursa Hii kukupongeza Dokta John Joseph Pombe Magufuli kwa ushindi wa Kishindo wa 84% ya kura zote. Nikupe pole kwa uchovu wa hekaheka za kampeni kwa Siku 60 wakati pia ukitekeleza...
Mkuu wa Mkoa huo, Godfrey Zambi, ameyaeleza hayo mjini Lindi, alipokuwa akitoa taarifa kwa waandishi wa habari kuhusiana na uharibifu uliofanywa wakati wa uchaguzi mkuu Oktoba 28, mwaka huu.
Watu...
To cut to the chase, Lissu kapata kura ambazo hazifiki hata 2 million. Kama Lissu ni mshindi, maana yake Magufuli amejaziwa kura za bandia zaidi ya 10 million. Registered voters ni chini ya 30...
Uchaguzi umekwisha na matokeo yaneshatoka (yawe halali au sio hilo sio dhumuni la post hii).
Lakini kuna maeneo bado kuna manung'uniko makubwa, na hapa ntazungunzia kwa sehemu nilisikia na kuona...
Sina mengine zaidi ya hayo, heading inajieleza vizuri.
Ni kweli mtakosa mapato, lakini mnaweza kujibidisha na kupata shughuli nyingine hata ikiwezekana kilimo.
Tuachieni hii miaka mitano ili...
Jimbo la uchaguzi la HAI liko mkoa wa Kilimanjaro. Ni jimbo ambalo "the most wanted person" na watawala wa CCM, mwenyekiti wa taifa wa chama kikuu cha upinzani Tanzania - CHADEMA ndugu Freeman...
Mwenyekiti wa Tume ya Maridhiano Tanzania, Sheikh Alhad Mussa Salumu amewasihi watanzania kuendelea kumshukuru Mungu kwa wema aliowatendea baada ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania kufanyika kwa salama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.