Ujumbe wenyewe ni salamu na kumpongeza kwa kazi nzuri
======
Mhe. Rais Magufuli akutana na Mjumbe wa Rais wa Urusi na pia akutana na timu ya ujenzi wa uwanja wa mpira Jijini Dodoma.
Kwa hali ilivyo sasa hivi ni Kwamba CCM haiwezi kumfukuza Chenge, Lowasa wala Rostam, kitu kilichokuwa kinapanfwa ni wao kuwaomba hao Jamaa wajitoe. Huu ni Mchezo wa Kuigiza ambao CCM wameshaona...
Taarifa za kusikitisha kutoka Wilayani Kyela zinaeleza kwamba, ule Mradi mkubwa wa ujenzi wa Barabara kutoka Ibanda (Njia panda ya boda) hadi Kajunjumele kuelekea Itungi Port umeyeyuka huku...
Kihistoria, ustaarabu wa mapema zaidi katika eneo la Tanzania ulianza zaidi pwani, hasa Zanzibar na miji ya pwani ya Bahari ya Hindi.
Zanzibar
Zanzibar ilikuwa sehemu ya:
Ustaarabu wa Waswahili...
Katika siku za karibuni, dunia ya michezo imeshuhudia tukio lililozua mjadala mkubwa baada ya mwamuzi wa Somalia, Omar Abdulkadir Artan, kuzuiwa kuingia Marekani licha ya kuwa miongoni mwa waamuzi...
Haya tuyategemee sisemi Mengi,
Ila Taasis zetu hazijajiimarisha kusimamia wanayoyahubiri ,
Ni sawa kwa Chama makini si rahis kujua mgombea wake Mapema, lakin pia si vizuri kumdanganya na...
Moja ya hadithi mbaya ambayo ipo siku Rais Samia atawahadithia wajukuu zake akiwa madarakani ni ya mauaji ya Oktoba 29. Hii hadithi ataisimulia akiwa anajuta mithili ya hayati Mkapa na mauaji ya...
Kuna kijipointi cha kipuuzi mnakig'ag'ania sana kuwa CHADEMA ni wanaharakati.
Harakati hizo ni zipi?
Kupinga utekaji, ufusisadi na CHADEMA kutaka Katiba mpya ili tuwe na demokrasia na maendeleo...
Waziri wa fedha, Balozi Khamis Mussa Omar akiwasilisha hotuba ya bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2026/2027 amesema .....
Ninapendekezwa kufanya marekebisho ya Sheria ya Usalama...
Bajeti ya leo Watanganyika mmeingizwa mjini mnajiona. Ushuru wa Magari umepanda Hadi 50% huku sheria ikibadilishwa ili mruhusiwe kusajili magari Zanzibar.
Maana yake ni kwamba ili mpate unafuu...
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM, Ally Hapi, amemkosoa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, akidai kuwa amekuwa akitoa kauli zinazopotosha kuhusu majukumu ya mbunge na nafasi yake...
Asubuhi na mapema jitu zima lina ndevu na mavuzi linadamka kwenye ofisi ya bosi kuanza kupeleka umbea na unafiki.
Jitu linakuwa kama linaajike linaloimba taarabu.
Wanaume watumishi msiokunywa...
Sijawai wapenda wazinzibar BILA shaka nao hawanipendi.
Natamka tu kero za muungano zimeisha Sasa kero ni muungano wenyewe.
Mzanzibari kutawala BARA ni sawa ILA mtanganyika kutawala zenji ni haramu
There is no publicly available evidence that cooperation between Russia's Federal Security Service and Tanzania's Tanzania Intelligence and Security Service is intended to "eliminate" people who...
Katika Hali ya kushangaza,Jarida Maarufu la Biashara kutoka kubwa la Mabeberu USA limeripoti taarifa ya kushangaza kwamba Licha ya Tanzania Kunyimwa misaada ila Serikali ya Tanzania imeongeza...
Huyu Haji Manara aliutaka udiwani wa Kariakoo dola ya CCM ikamuweka lakini baada ya kuwekwa hapo kama diwani namuona amekuwa mtangazaji Wasafi na pia anaigiza maigizo ya Kombolela!
Muda gani...