Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kati ya vitu ambavyo Hayati Nyerere alivipinga sana ni pamoja na kabila kubwa kushika madaraka ya urais na hili alikuwa na sababu kubwa sana ambazo tumejidhihirisha katika kipindi cha awamu ya...
16 Reactions
103 Replies
7K Views
Wakuu Katika hali isiyokuwa ya kawaida, ugomvi wa ngumi umezuka nje ya Ukumbi wa Ubungo Plaza unapofanyika mkutano wa uchaguzi wa Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha). Ugomvi huo ulikuwa kati...
5 Reactions
23 Replies
3K Views
Huenda Dkt Mwigulu Nchemba ni unstoppable kwenye hii rarely ya Urais wa 2030. Hapa hebu msikilize Bw David David Kafulila Mkurugenzi mkuu wa PPP-Cetre anavyommwagia sifa kede kede na kumwombea...
7 Reactions
41 Replies
2K Views
Naunga mkono hoja za wengi hii Crown Redio iko mbele sana, Huyu Mtangazaji wa zamani wa BBC Bw Salim Kikeke anajua mambo mengi hasa ya kidunia hivyo ukienda kwenye interview kuwa makini na elewa...
13 Reactions
60 Replies
2K Views
Inapitishwa katika njia ngumu mno iliyojaa miba, mbigili na kila aina ya uchafu kisa wasiyempenda anagombea uenyekiti taifa! Ni kwavile tu ni wazito wa kusoma alama za nyakati. Lakini huu ni...
37 Reactions
157 Replies
5K Views
CHADEMA inachezewa na walewale wajulikanao wasiojulikana🤬🥵 . Na ili kuharibu mambo zaidi wameamua kuside na upande ambao wanaona sio radical Na ni wazi huo upande umeamua kushiriki hii dhambi...
13 Reactions
77 Replies
3K Views
Nimetenga muda sana kufuatilia hotuba ya John Heche akıtangaza nia ya kugombea umakamu mwenyekiti wa CHADEMA. Nimemsikiliza kwa makini Tundu Antipas Lisu (TAL) na kisha Ezeckiel Dibojo Wenje kabla...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Ningependa kusema kuwa PPP (Public Private partnership)yaani ubia kati ya secta ya Umma na binafsi ni mkombozi na mfumo ambao unaweza kutusaidia sana katika kuharakisha...
1 Reactions
18 Replies
855 Views
Zipo picha kadhaa ila hii ni kielelezo tosha.
8 Reactions
62 Replies
3K Views
Anaandika Tundu AM LISSU. ==== " Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa BAWACHA kama wewe unataka au mwanamke mwenzako anayefaa nae apate fursa za uongozi bungeni au kwenye udiwani miaka ijayo, nakushauri...
20 Reactions
92 Replies
6K Views
Habari wadau Ukweli CCM siipendi kwa sababu nyingi. Ila nawapa maua yao kwamba wameijenga nchi sana kwenye miaka mitano ya awamu ya 5 iliyoongozwa na Magufuli na miaka mingine mitano ya awamu...
0 Reactions
4 Replies
404 Views
Tundu Lissu kageuzia bunduki yake kwa Freeman Mbowe, wakati bunduki yake ikimpiga Hayati Rais Magufuli, walifurahia, wakati bunduki ya Lissu ikimpiga Paul Makonda, Mbowe alifurahia, Leo anasema...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Baada ya uchaguzi wa kesho kutwa. Na sababu kubwa itakayomuondoa Wenje ni kua tayari ameshawekwa wazi kubwa ni Project ya watu. Kama umesikiliza Hotuba ya Wenje na kudadavua mistari yake , Wenje...
3 Reactions
6 Replies
677 Views
=== FREEMAN MBOWE kama kweli wewe ni mwanasiasa lazima ujue kuyatazama matokeo kabla ya Uchaguzi, Hii game umepigwa jiondoe ubaki na heshima yako
23 Reactions
57 Replies
4K Views
Yaliyojificha uwekezaji wa Hayati Dk Magufuli Chato yawekwa vitabuni Ijumaa, Aprili 14, 2023 Dar es Salaam. Ikiwa ni miaka miwili tangu aliyekuwa Rais wa Tanzania, Dk John Magufuli kupoteza...
46 Reactions
533 Replies
36K Views
Sorry ni awamu ya 5 ya bullzoda sio ya nne! Awamu ya 4 ilikuwa baba wa demokrasia. Kabla ya 2015 angalau kulikuwa na uhuru wa kusema, ukweli ulijulikana na uliachwa usemwe kwa kiasi kikubwa, na...
22 Reactions
223 Replies
11K Views
Tujikumbushe majembe ya awamu ya 5. Kuna waliowapenda na kuna waliowachukia ila wafuatao walikuwa ndo majembe ya awamu ya 5; 1. JPM himself 2. Paul Makonda 3. Biswalo 4. Job Ndugai 5. Ole Sabaya...
2 Reactions
32 Replies
2K Views
Katoa tuhuma za pesa za join the chain kwamba zilichangwa kwa ajili ya uasi. Kaulizwa, iwaje pesa zilizoingia kwenye fuko la Chama rasmi zitumiwe na waasi? Kaulizwa, kwa nini aulizwe Lema kuhusu...
4 Reactions
37 Replies
2K Views
mnamo 16-1-2025 chombo kimoja kikubwa cha habari kimefanya mahojiano na Tundu Lissu nyumbani kwake Tegeta -Dar es salaa, Tanganyika. Waandishi / Watangazaji watatu wamemuhoji :- Sam Sasali PJ...
1 Reactions
5 Replies
537 Views
Hakika nasadiki kusema hivyo kama kichwa cha habari kinavyojieleza! CCM wanasiasa bora sana na zenye demokrasia nzuri na sio kuchafuana kama walivyo wale wengine kila kukicha wao ni kupakazana...
1 Reactions
11 Replies
476 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…