Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) mkoa wa Kagera, Faris Buruhani, amesema CHADEMA haina ukubwa huo, sasa hivi kimepata Platiform kinasemea Mahakamani na Misibani, ikitokea Msiba kwao...
0 Reactions
2 Replies
244 Views
Jalida kubwa kabisa duniani, limemwelezea Samia Suluhu Hassan kama kiongozi aliyeiletea matatizo makubwa sana Tanzania toka nchi ipate uhuru. The Economist wanasema chini ya Samia, Serikali imeua...
5 Reactions
16 Replies
533 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amesema watu wengi wanahoji kuhusu masuala ya maridhiano, akiuliza, “Unakaa na nani? Nakaa na mtu ambaye amemkamata...
4 Reactions
7 Replies
519 Views
  • Featured
"Maridhiano ni jambo la hiari" Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa akizungumza Februari 10, 2026 katika mahojiano na BBC Swahili, amesema endapo kutakuwa na wadau watakaokataa kushiriki...
1 Reactions
24 Replies
1K Views
Napenda kuwakumbusha Raisi Samia na CCM wote kwamba neno demokrasia halina maana sawa na haki, na wala demokrasia haihalalishi haki, na pia inaweza kupindisha haki au hata kuhalalisha ukosefu wa...
6 Reactions
17 Replies
369 Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi imeahirisha usikilizwaji wa mashahidi wa upande wa mashtaka katika kesi ya makosa ya mtandao inayomkabili Mchungaji Godfrey Malisa, baada ya mshtakiwa kuomba...
1 Reactions
6 Replies
403 Views
Hakuna sababu yoyote inayoweza kuhalalisha mauaji ya tarehe 29.Habari njema ni kwamba Mungu amesikia sauti ya vilio vya watanzania waliouawa pamoja na vilio vya ndugu zao.Hukumu ipo tayari kwa...
19 Reactions
84 Replies
1K Views
Mahakama imetoa uamuzi kuhusu mapingamizi matano dhidi ya Jamhuri yaliyowekwa na mshtakiwa Tundu Lissu mnamo Novemba 12, 2025, ikiwemo pingamizi kuhusu utaratibu wa usikilizwaji wa shahidi wa...
3 Reactions
68 Replies
2K Views
Wimbo wa maridhiano umekuwa ukisikika masikioni mwa Watanzania kabla na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025. Hata hivyo, hadi sasa umebaki kuwa kitendawili kinachohitaji kuteguliwa...
0 Reactions
2 Replies
244 Views
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, leo Jumatano, Februari 18, 2026, inatarajiwa kutoa uamuzi kuhusu mapingamizi yaliyowekwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na...
3 Reactions
3 Replies
777 Views
Kesi ya Uhaini namba 19605/2025 inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo 'CHADEMA' Tundu Antiphas Lissu inatarajiwa kuendelea leo Febriari 9, 2026 Mahakama Kuu, Masjala ndogo...
4 Reactions
39 Replies
3K Views
Hawa jamaa tunaomba watoe kipaumbele kwenye mashitaka dhidi ya hawa waauji na ambao mpaka sasa wameshindwa kuwajibika wala kuwajibishana.. Hawatakiwa kukalia ofisi za umma hata kwa sekunde moja...
16 Reactions
36 Replies
755 Views
“Rais Samia Kumteua Mtoto wake (Wanu Hafidh Ameir) Kuwa Naibu Waziri imekuwa Nongwa kila siku Mnasema Mtandaoni, Eti Nchi imeuzwa, Hivi kweli mkimuangalia Abdul na wema wake ule anavaa Sandal na...
6 Reactions
51 Replies
1K Views
Wakati risasi zilipolia mtaani wananchi walikimbia kuokoa maisha yao na maandamano yakikabiliwa na nguvu ya Dola, vyombo vya habari nchini Tanzania vilikaa kimya. Kwa wananchi kama Ismail Issa...
2 Reactions
4 Replies
326 Views
Mashirika ya haki za binadamu nchini Tanzania, yakiwemo Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) na Chama cha Wanasheria Tanganyika...
1 Reactions
2 Replies
328 Views
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, Samuel Malecela, amekemea vikali tabia ya kuwatukana Viongozi wa Dini, akieleza kuwa ni ukosefu mkubwa wa adabu...
5 Reactions
4 Replies
298 Views
  • Featured
Bunge la Umoja wa Ulaya (EU) limepitisha azimio linalopendekeza kusitishwa kwa ufadhili wa fedha za maendeleo kwa Tanzania, likieleza wasiwasi juu ya mazingira ya kisiasa na ukiukaji wa haki za...
5 Reactions
68 Replies
4K Views
CHAMA CHA ACT WAZALENDO TUNALAANI NA KUPINGA MPANGO WA ZEC WA KUCHOMA USHAHIDI WA WIZI WA KURA ZANZIBAR – 4 FEBRUARI, 2026 – Wakati timu yetu ya Wanasheria ikiwa mbele ya Mahakama Kuu kuomba...
2 Reactions
15 Replies
505 Views
Hizi lugha za CCM kwamba watu wasizungumzie yaliyotokea 29Oktoba lengo lake ni nini hasa? Mbona CCM wapo bize kuonesha kuwa yaliyotokea 29Oktoba ni mambo madogo sana na yanayotakiwa kusahauliwa...
15 Reactions
44 Replies
658 Views
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar George Joseph Kazi amejibu ametoa maelezo juu ya kauli zilizotolewa na Chama Cha ACT Wazalendo juu ya hatua hiyo ya ZEC kutaka kuteketeza nyaraka zote za...
1 Reactions
2 Replies
197 Views
Back
Top Bottom