Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wapinzani wamepewa penati isiyo shaka,nani aiipige na kwa vigezo vipi mpigaji apewe? This might be their Only chance,..NB: wengi wakitaka wanapata
1 Reactions
5 Replies
457 Views
Japo nafasi ni chache ndani ya ccm lakini hadi sasa kwa haya yanayo endelea chadema, chama pekee ambacho hakina maslahi binafsi ni CCM. Sikuwahi kuamini kelele za watu kwamba chadema ni chama cha...
0 Reactions
5 Replies
393 Views
Kwa mujibu wa mnyetishaji aliye karibu na mmoja wa wale Wabunge (Covid 19) amedai Wajumbe hao wa Kamati Kuu ya Chadema wameshakubaliana endapo Lissu ataibuka mshindi wa kiti cha Mwenyekiti wa...
13 Reactions
122 Replies
6K Views
Wafuasi na Wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoani Mbeya wamewataka wajumbe wa mkutano mkuu wa chama hicho watakaoshiriki uchaguzi wa kumpata mwenyekiti wa chama hicho...
2 Reactions
5 Replies
684 Views
Ukisikia hekaya za aAbunuwasi ndiyo hizi. Jana Samia amekataza watu kuanza kampeni kabla ya muda. Strange enough wao wamechaguana tayari kabla ya Jogoo kuwika. Ukisikia chama cha kishenzi ndiyo...
3 Reactions
11 Replies
587 Views
Hamtakaa muwe salama ndani ya mioyo yenu. Na kumbuka THE EVILS THAT MEN DO LIVE AFTER THEM! by Marc Antony
0 Reactions
0 Replies
292 Views
John Pambalu, Mwenyekiti mstaafu wa Baraza la Vijana CHADEMA (BAVICHA) akizungumza na wanahabari leo Januari 19, 2025 amesema "Wakati tulionao unahitaji kuona tuna mabadiliko kwenye chama huo...
2 Reactions
8 Replies
515 Views
Wengi tulipoona uteuzi wa mtu mwenye tuhuma ya cheti feki cha uzamivu 'Phd' kua katibu mkuu wa ccm tukajua lazima kutakua na upigaji mizinga na mambo yasiyo sahihi kwenye ccm. Wanaccm wengi...
2 Reactions
8 Replies
616 Views
Maridhiano ndio turufu ya Dr Mbowe kuchaguliwa tena na tena hadi mwisho wa uhai wake
0 Reactions
4 Replies
405 Views
Leo ni pres conference ya 3 ya Godbless Lema akihaha kujieleza na kumuelezea Tundu Lisu kwa umma ambao hauna kura katika mkutano mkuu wa chadema taifa, watakao piga kura Jan.21.2025, kumchagua...
4 Reactions
35 Replies
2K Views
1. Bila Mheshimiwa Dr Bilionea Freeman Mbowe (Kiongozi wa Kambi rasmi ya upinzani Bungeni Mstaafu (KB Mstaafu) basi hakuna CHADEMA. 2. Mheshimiwa kakipigania Chama toka Enzi, anatokea...
3 Reactions
28 Replies
1K Views
Ijulikane mwanzoni kabisa kuwa Mkutano Mkuu wa CHADEMA ndiyo, kwa mujibu wa Katiba ya chama hicho, chombo mahsusi cha kumchagua Mwenyekiti na Makamu wake wawili-wa Tanzania Bara na yule wa...
8 Reactions
54 Replies
3K Views
Wakuu, Maria Sarungi ameendelea kumwaga mchele kuhusu tukio la kutekwa kwake ambapo amesema kuwa anaamini Mtanzani anahusika katika kutekwa kwake kutokana na sababu mbalimbali. Maria amesema...
8 Reactions
44 Replies
3K Views
Baada ya kifo cha Magufuli na Samia Suluhu Hassan kuanza kuachana na yule aliyemtengeneza, kumekuwa na juhudi za makusudi kwake na chama cha Mapinduzi kushikilia dola. Hata hivyo, wawili hawa...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
Kuna kitongoji kimoja huko mashariki ya kati wamekaa viongozi wao ambao ndio wasomi, ndio wenye uono wa mbali, ndio ma genius. Hao viongozi kwa pamoja wanashangalia na kushinikiza kitongoji chao...
8 Reactions
18 Replies
1K Views
Wakuu, Lissu anazidi kumwaga mchele! Anasema kwenye mkutano ule BAWACHA hawakumualika Rais Samia kama mgeni rasmi bali aliakiwa na Mbowe! Baada ya kuwa kamualika ndio alikuja kuwajulisha wengine...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Tumeandika humu JF kwa miaka mingi kwamba kwa namna yoyote ile Chadema haikuwahi kuteua Wabunge wa Viti Maalum baada ya Uchaguzi wa 2020, tulifafanua kisomi kwamba Chadema haikuwa na uwezo wa...
7 Reactions
33 Replies
2K Views
Baada ya wazee wenye maono kama Pinda na Mama Makinda kukataa kazi ambayo itafanya historia yao iharibike ya kuwa makamu wa CCM kwenye chama ambacho kwa sasa kinategemea Polisi na usalama...
5 Reactions
11 Replies
1K Views
Godbless Lema akizungumza na wanahabari leo Januari 19, 2025 amesema kuwa mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA taifa, Tundu Lissu anaungwa mkono na asilimia kubwa ya wenyeviti mkoa "Mheshimiwa...
5 Reactions
4 Replies
737 Views
Nimekusikia katika hotuba Yako unasema kuwa hautafanya maridhiano na mtu mmoja na kwamba utafanya maridhiano na jamii, asasi za kiraia, jamii za kimataifa n.k Sasa nakuuliza tu Kuna ugomvi gani...
6 Reactions
18 Replies
837 Views
Back
Top Bottom