Vijana: Tukitaka kuibadiri nchi hii tujiunge na CCM

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,206
18,549
Japo nafasi ni chache ndani ya ccm lakini hadi sasa kwa haya yanayo endelea chadema, chama pekee ambacho hakina maslahi binafsi ni CCM.

Sikuwahi kuamini kelele za watu kwamba chadema ni chama cha familia ya mbowe hadi juzi alipo chokonolewa na kusema ukweli.

Chadema is a very good business kwa mbowe and his family kwa kutumia vijana wasio na hatia kwa lugha ya kutetea maslahi ya nchi.

Hata hayo majengo mwisho wa siku yatauzwa na fedha kulipa madeni mbowe na familia yake wanadai.

Ccm ni chama ambacho kimfumo hakina mtu mmoja, na ni sehemu nzuri kwa vijana makini kukua na kufikia malengo ya kuleta mabadiriko katika nchi hii.

Vijana wengi makini tumewapoteza kwa kutumia vyama vya upinzani ambavyo vipo kwa maslahi ya wachache .

Kwa mtazamo wangu, vijana wote makini tuchukue kadi za CCM, hatuta kosa kazi ya kufanya na ipo siku haya tunayo yatafuta nje ya ccm yatapatukana ndani ya ccm.

Wabangaizaji ndio mtaji wa hawa majizi.
 
Attachments

  • 20241223_124459.jpg
    20241223_124459.jpg
    117 KB · Views: 5

Hivi kuna kijana mwenye akili timamu CCM!
 
bora nibaki nilivyo kulikokuisaliti nafsi yangu kujiunga na ccm kwa afya ya ubongo wangu
 
Si kila kijana ni muumini wa uchawa. Hakuna chama cha kipuuzi nchi hii kama ccm. Kama unaendekeza shida ndio unatakiwa ukawe mateka huko ccm.
 
Japo nafasi ni chache ndani ya ccm lakini hadi sasa kwa haya yanayo endelea chadema, chama pekee ambacho hakina maslahi binafsi ni CCM.

Sikuwahi kuamini kelele za watu kwamba chadema ni chama cha familia ya mbowe hadi juzi alipo chokonolewa na kusema ukweli.

Chadema is a very good business kwa mbowe and his family kwa kutumia vijana wasio na hatia kwa lugha ya kutetea maslahi ya nchi.

Hata hayo majengo mwisho wa siku yatauzwa na fedha kulipa madeni mbowe na familia yake wanadai.

Ccm ni chama ambacho kimfumo hakina mtu mmoja, na ni sehemu nzuri kwa vijana makini kukua na kufikia malengo ya kuleta mabadiriko katika nchi hii.

Vijana wengi makini tumewapoteza kwa kutumia vyama vya upinzani ambavyo vipo kwa maslahi ya wachache .

Kwa mtazamo wangu, vijana wote makini tuchukue kadi za CCM, hatuta kosa kazi ya kufanya na ipo siku haya tunayo yatafuta nje ya ccm yatapatukana ndani ya ccm.

Wabangaizaji ndio mtaji wa hawa majizi.
CCM DAIMA
 
Back
Top Bottom