Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,561
- 246,020
Tumeandika humu JF kwa miaka mingi kwamba kwa namna yoyote ile Chadema haikuwahi kuteua Wabunge wa Viti Maalum baada ya Uchaguzi wa 2020, tulifafanua kisomi kwamba Chadema haikuwa na uwezo wa kwenda Gerezani usiku wa manane kumtoa Mfungwa Nusrst Hanje na kumpeleka Bungeni kuapishwa ili awe mbunge wa viti maalum, Watu wajinga walitupinga na kututukana matusi ya nguoni huku lengo lao likiwa kuchafua Chadema, (Hata hivyo hawakufanikiwa).
Sasa Andiko hili la Askofu Mwamakula limewavua nguo na kuwaacha watupu wale wote waliohusisha Uchafu ule wa serikali ya awamu ya 5 wakishirikiana na Baraza lote la Mawaziri pamoja na Spika Ndugai na Tulia Ackson.
Huyu hapa Baba Askofu Mwamakula.
Ni vema wale wote walioshambulia Chadema bila ushahidi wowote wajitokeze hadharani, Tena kwenye Ukurasa wa mbele wa JF kama vile walivyokuwa na kiherehere wakati wanaandika uongo hapa JF, Vinginevyo nitawataja kwa majina yao yote matatu na nitawatangaza kama Maadui wa Nchi wa Milele, NAWAPA WIKI MOJA TU YA KUOMBA RADHI.
Mungu Ibariki Chadema