Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Watu wengi walifikiri patakuwepo ushindani kidogo wa kumpata Mgombea uRais kupitia CCM na hapo ndipo Mwenyekiti wa Chadema Mh Mbowe aliona atahitajika sana kusaidia Sasa alichofanya Mzee Kimbisa...
2 Reactions
6 Replies
700 Views
Ukweli ni kuwa Mbowe aliamua kwa makusudi kutenga great thinkers wote ndani ya Chadema. Na kuna picha nilipost humu akiwa na machawa wake hii hapa. Ukweli ni kuwa hii picha alikuwa kwenye kikao...
6 Reactions
12 Replies
589 Views
https://www.youtube.com/live/FqER78na70U?si=fdkhYBIEbHCPvXlP Huenda kweli safari ya Mbowe imewadia wimbi la mabadiliko ni kubwa sana ndani ya CHADEMA lazima tusikilize sauti za watu. Ukipewa...
0 Reactions
0 Replies
332 Views
Pascal Mayalla, anabidi kutazmwa kama hazina . Naomba Mh SSH umteue huyu Kijana ili akapate kuitumikia nchi.
6 Reactions
18 Replies
646 Views
Je, hawakubaliki wala kuaminika kwasababu ya miongoni mwao kuishi sana uhamishoni nchi za magharibi, na kwahivyo wanaonekana kama ni vibaraka na makuwadi wa nchi za magharibi kupenyeza ukoloni...
1 Reactions
34 Replies
1K Views
Ni Gharib Said Muhammad (GSM) Naomba wana jamvi nisaidie huyu Tajiri ana cheo/nafasi gani kwenye Chama? Saa nane mchana alikuwa Dodoma kwenye mkutano wa CCM saa 10 yupo Dar uwanjani hii...
10 Reactions
42 Replies
2K Views
Uchaguzi wa Mabaraza yote umekamilika kwa Asilimi 100 Namba zinasema hivi 👇🏽👇🏽 Mabaraza yote yana Jumla ya kura 99 1. BAZECHA 33 -TAL 15 -FAM 18 2. BAWACHA 33 TAL 17 FAM 16 3. BAVICHA 33...
13 Reactions
72 Replies
5K Views
Katika kipindi cha utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), pato la wastani la kila mtu nchini limeendelea kuongezeka kutoka shilingi 2,653,790 mwaka 2020 hadi shilingi 3,055,606 mwaka...
0 Reactions
4 Replies
555 Views
Ni mjinga pekee ndiyo anaweza kuunderestimate Nguvu ya Mbowe ndani ya CHADEMA, Namshauri Lissu awamu hii akubali amekosea hesabu zake za kisiasa na ni wazi hatamuweza Mbowe atashindwa ila anaweza...
7 Reactions
21 Replies
1K Views
Kuna nchi ambazo zinatakiwa either tukajifunze kwao au tuwaite wataalamu wao waweke input zao katika dira yetu. Moja ya nchi hizo ni china. Tuna haha ya kuuchimba mfumo wao wa elimu ili kuchukua...
0 Reactions
0 Replies
244 Views
Wagombea wa nafasi za juu za uongozi wa Chadema, wanafanyiwa usaili leo Jumapili, Januari 19, 2025, ikiwa ni maandalizi ya kinyang'anyiro cha uchaguzi unaotarajiwa kufanyika keshokutwa Jumanne...
0 Reactions
0 Replies
496 Views
tarehe 19 januari, miaka saba iliyopita Mungu alimnyanyua kitandani na kuziinua tena hatua za miguu yake mtu wake, Tundu antipasi Lisu Mungu akiwa na kusudi na wewe mipango yote ya binadamu...
5 Reactions
3 Replies
394 Views
Ndugu zangu Watanzania, Mkurugenzi Mkuu wa PPP Mheshimiwa David Kafulila amewatoa hofu watanzania ambao wameonyesha kuwa na hofu kubwa sana juu ya mikataba ya Ubia .hasa kwa kurejea majeraha na...
4 Reactions
110 Replies
3K Views
Aliwakosea nini hawa wenyeviti wa chadema wa mikoa, hata asiwepo hata moja wao tu kumuuunga mkono Kibaraka kwenye nafasi ya mwenyekiti wa Taifa? Nimemskia mwenyekiti wa chadema mkoa wa Mbeya, kwa...
5 Reactions
69 Replies
3K Views
Kwa Hesabu za Kimamajusi wa nyota ya Mashariki Tundu Lisu ameshashinda uchaguzi wa Chadema labda tu Polizia wamsaidie Mwamba Kwa kutumia maguvu CCM - Yanga Africa - Chadema Ahsanteni Sana 😃
1 Reactions
0 Replies
231 Views
Mhe. Stephen Wasira anaanza kuiongoza CCM kama Makamu Mwenyekiti akiwa na umri wa miaka 80. Pengine, huu ni umri mkubwa sana kwa mtu yeyote kupewa uongozi wa juu katika chama cha siasa...
9 Reactions
52 Replies
3K Views
ANAANDIKA MHADHIRI WA CHUO KIKUU TUMAINI DR DLB “Kinachoniumiza ni baadhi ya wanaChadema kutoliona hili la wanaharakati ambao siyo wana Chadema ndiyo wanaongoza mapambano ya kutaka Mbowe atoke...
3 Reactions
24 Replies
1K Views
Wadau kama mtakumbuka Waziri Silaa alipoteuliwa tu kuwa Waziri ktk siku zake 100 za kwanza moja ya maagizo yake mazito ni hili la kuzuia ujenzi wa vituo vya mafuta nchi nzima na kuwataka...
0 Reactions
4 Replies
687 Views
Mwenye macho haambiwi tazama. Kuna mikutano miwili. Wa CCM Dodoma na hii ya uchaguzi wa CHADEMA wakipanga safu yao ya uongozi. Kwa upande wa CCM tunaona hakuna hoja za msingi kuufanya mkutano...
17 Reactions
62 Replies
3K Views
Wakuu, Nawaonea huruma sana wakazi wa Dodoma katika kipindi hiki. Inawezekanaje bodaboda wachache waruhusiwe kufunga barabara? Yaani kila sehemu ni vurugu na mabendera ya CCM sehemu zote. Na...
0 Reactions
0 Replies
175 Views
Back
Top Bottom