Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Na; Bob Chacha Wangwe Mhe. Mbowe na Mhe. Lissu wote ni viongozi wetu. Mchango wao ni mkubwa sana na tunawapenda. Lakini tunaipenda zaidi CHADEMA. Katika kuchagua mmoja kwenye nafasi ya Uenyekiti...
18 Reactions
33 Replies
3K Views
Na Shabani Lissu Jaribio la panya la kumchagua mmoja wao kwenda kumfunga paka kengele si jaribio la lelemama linamhitaji panya shujaa wa kufanya hivyo, vivyo hivyo jaribio la kukabiliana na...
10 Reactions
40 Replies
3K Views
==== Swali moja la msingi kwa WAJUMBE wa CHADEMA ni hili , Ikiwa utapewa pesa , usafiri , pombe na chakula wakati huu lakini hukuletewa pesa wakati wa uchaguzi wa serikali za Mitaa , Kijiji na...
29 Reactions
112 Replies
4K Views
Hakika Umma wa Watanzania na Mungu wa Mbinguni wako na Lissu, Mbowe ajitafakari sana kulinda heshima yake kidogo aliyosalia nayo atangaze kujiondoa tu kwa heri bila kukigawa chama
3 Reactions
11 Replies
533 Views
Wenje naona Kuna kitu hakiko sawa kwake nadhani ni PRESHA ya Uchaguzi inamzidia, Akiwa Wasifi TV alituambia ni Lissu aliyeasisi Maridhiano na moja ya sharti alilotoa kwa Rais Samia ni kumwachia...
5 Reactions
14 Replies
974 Views
=== Katika hali isiyo ya kawaida Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA ) Taifa wameshindwa kujizuia na kuonesha hisia zao kwa Mgombea wa nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA Taifa Mhe Tundu Lissu alipokuwa...
6 Reactions
33 Replies
2K Views
TATHMINI FUPI PRESS YA WENJE: 1. Waandishi wa Habari wamemuonyesha Wenje kwamba wamechoka kusikia uongo wake. Maswali aliyoulizwa Wenje katika Taaluma ya Sheria kwenye hatua za Dodoso (Cross...
13 Reactions
25 Replies
1K Views
=== Lissu akijibu swali kuwa yeye hana "KABA" yaani hana siri, Lissu amesema Kuna Siri aina mbili Kuna Siri kwa masilahi ya chama hizi zinaitwa Siri HALALI lakini Kuna zile ziri zinazokigharimu...
7 Reactions
13 Replies
809 Views
Kuna haja washauri wa Mwenyekiti Mbowe kumshauri upya. ====== Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Jimbo la Ukonga jijini Dar Es Salaam, Gaston Makweta pamoja na Katibu wa Jimbo hilo...
12 Reactions
53 Replies
3K Views
Na Samson Mwigamba MKAKATI WA MABADILIKO 2013 UTANGULIZI: Taasisi tunayozungumzia ilisajiliwa rasmi mwezi Januari 1993. Tangu wakati huo, imeongozwa na wakuu wapatao wawili, na aliyepo kwa sasa...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Hii ndio tabia ya masikini, hawapendi watu wenye kipato, badala wawapende ili waonyeshwe njia. Mbowe alikaa katikati ya kundi hilo, akatoa fedha, magari na kila kitu awanyanyue. Lahaula...
1 Reactions
8 Replies
440 Views
Halima Chadema moto unawaka 🔥 Kichwa Cha Habari ni ujumbe wa Kamanda Twaha Mwaipaya wa Bavicha Kwa Wajumbe wa mkutano mkuu wa uchaguzi huko Ukurasani X TLS ni Chama Cha Wanasheria nchini...
6 Reactions
16 Replies
830 Views
Anaandika Mohonia Joseph Mwenyekiti Mstaafu BAVICHA Mkoa wa Mara. Wenyeviti wa CHADEMA wa Mikoa. Makatibu wa CHADEMA wa Mikoa. Wenyeviti wa CHADEMA wa Majimbo. Makatibu wa CHADEMA wa Majimbo...
24 Reactions
54 Replies
3K Views
Anaandika Rev Dkt BENSON BAGONZA "Tatizo kubwa la hivi vyama vyetu vya upinzani vikianzishwa hugeuzwa kuwa vyama vya watu badala ya kuwa vyama vya wanachama. Viongozi hufikia hatua ya...
14 Reactions
61 Replies
3K Views
Huenda ni kweli Mbowe hatakiwi na wengi ajitafakari aache kuendeshwa na hao COVID-19
15 Reactions
40 Replies
3K Views
Anachokifanya Lema na wenzake sasa kwa hivi kwa Mbowe ni sawa na kile walichokifanya CHADEMA enzi za Lowassa kumgeuza kuwa mbuzi wa kafara na kumuhusisha na kila ufisadi mkubwa nchini? Soma Uzi...
1 Reactions
5 Replies
658 Views
Freeman Mbowe amekodi kampuni binafsi ya ulinzi kulinda uchaguzi wa CDM. Amefanya hivi bila idhini ya Kamati Kuu. Hakutaka uamuzi huo uhojiwe. Maswali: kampuni imepatikanaje. Ni ya nani...
11 Reactions
48 Replies
3K Views
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Bara. Benson Kigaila akitoa ufafanuzi wa taarifa za baadhi ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama hicho unaotarajiwa kufanyika kesho...
0 Reactions
12 Replies
977 Views
Barua ya Wazi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Amiri Jeshi Mkuu, na Mwenyekiti wa CCM Taifa Kwako, Mheshimiwa Rais Dr. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
3 Reactions
22 Replies
960 Views
Nimekutana na hii picha, imenifanya nitafakari sana. Ngoja tuone. Huyu mbowe hawezi kushinda kirahisi labda system iingilie kati kwa nguvu zote. Pia nikakumbuka na thread ya Pascal Mayala...
1 Reactions
4 Replies
668 Views
Back
Top Bottom