Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Heshima kwenu wanajamvi. Lema kafanya press conference 3 ndani ya week hoja zake ni zile zile hana jipya. Uhuni wa Lema ni pale alipowaburuza wenyeviti wa mikoa wasiozidi wanne na kuwachanganya...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Akizungumza leo Januari 20, 2025 katika ufunguzi wa Kikao cha Baraza Kuu Mbowe amesema “kila mmoja wetu katika ukumbi huu waliofika Dar Es Salaam na watakaoendelea kuja Dar Es Salaam wote tuje...
1 Reactions
13 Replies
687 Views
Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X (zamani Twitter), Lema ameonesha kushangazwa na mwelekeo wa chama kuelekea uchaguzi mkuu wake unaotarajiwa kufanyika kesho, Jumanne, Januari 21, 2025...
1 Reactions
4 Replies
461 Views
Ccm oyee,wazee taifa la leo
4 Reactions
75 Replies
4K Views
Mwaka wa uchaguzi ndio huoo, lakini umepooa kama uji wa mgonjwa? Hakuna zile amsha amsha tulizo zizowea kama kipindi kile cha mwaka 2015 ambapo vijana wa 4u Movement waliungana na vijana wa M4C...
0 Reactions
1 Replies
303 Views
Ili Chadema kiweze kuwa Chama mbadala, kinahitaji major overhaul ya kiuongozi na utendaji. Matokeo ya uchaguzi mkuu wa 2010, yamoenyesha wazi kuwa safari ya Chadema kuinga Ikulu na kushika hatamu...
8 Reactions
162 Replies
20K Views
Mwenyekiti wa Chadema alipotambulishwa mbele ya Baraza Kuu na katibu mkuu mh Mnyika alisimama na kuwaamkia Wajumbe Mbowe: Shikamoo Wajumbe Chadema imeelekezwa kibra na TAL dadeki 😂😂 Sisi CCM...
18 Reactions
60 Replies
3K Views
Kama CHADEMA mtakataa kuwa tawi la CCM basi DP (Chama Cha Demokrasia) kitawafaa sana au njooni CCM, Mbowe aendelee tu na SACCOS yake. Haya ndio majibizano kati ya Mwanachadema na MwanaCCM...
3 Reactions
12 Replies
796 Views
Uchaguzi wote upo live, na hata waliokatwa kumbe sio wapiga kura wa kesho. Waliokatwa uchaguzi wao utakuwa kesho kutwa Sababu kubwa ni ipi?
1 Reactions
5 Replies
471 Views
Wasalaam, Kuna taarifa za uhakika kutoka kwa mjumbe mmoja wa kamati kuu kwamba CCM wameingilia kati uchaguzi kwa lengo la kuhakikisha Mbowe anashinda na wajumbe wengi wametumiwa miamala kwa simu...
5 Reactions
42 Replies
2K Views
Baraza kuu la CHADEMA, kwa kauli moja, limekubaliana na maamuzi ya Kamati Kuu ya kuwaengua kina Twaha na genge lao kutogombea ujumbe wa kamati kuu kwa kupiga kura za wazi. Demokrasia inazidi...
4 Reactions
7 Replies
840 Views
Wajumbe wa Mkutano Mkuu salini kwa Mungu wetu ili mtuletee Mwenyekiti anayefaa hata kama mmepewa pesa. Hiyo si hoja Muogopeni Mungu wa Mbiguni. Hofu ya Mungu iwaongoze kesho. Usiku mwema.
0 Reactions
1 Replies
177 Views
Kura zinapigwa na wajumbe;nikiangalia muundo wa CHADEMA na wajumbe wapiga kura sioni Lissu anakura
5 Reactions
37 Replies
2K Views
Katika vikao vya Baraza Kuu vinavyoendelea leo hii, tayari mambo kadhaa yameanza kutolewa maamuzi. La kwanza ni hili la kuidhisha mtanange wa Wagombea wa Juu wa uongozi wa Chama hicho. Taarifa...
13 Reactions
55 Replies
3K Views
Kwanini Marekani haijampa mwaliko kabisa? Ni bora hata ingemwalika akatae kuliko hiki walicho mfanyia. Hawajui kuwa huku tumempa mi5 tena? Kwa taarifa yenu wamarekani nasisi hatumwaliki Trump...
8 Reactions
60 Replies
2K Views
Dr. Philip Mpango alikuwa waziri wa Fedha wakati wa utawala wa Rais John Magufuli, ambapo alionesha uwezo wa kipekee katika kusimamia masuala ya kifedha ya nchi. Katika nafasi yake, alifanya kazi...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Tukiwa katikati ya mtanange mkali wa kidemokrasia wa CHADEMA ambao umetoa usawa na fursa kwenye kugombea nafasi mbalimbali hivo kuibua vipaji vipya vya uongozi; CCM waliibuka na wao Dodoma kwenye...
13 Reactions
62 Replies
2K Views
Wakiwa katika Mkutano Mkuu Maalum wa CCM msanii maarufu Baba Levo akiwa na mfanyabiashara mkubwa Tanzania Fred Vunjabei Babalevo amemtaka mfanyabiashara huyo kuacha uoga kutaka kugombea kiti cha...
2 Reactions
7 Replies
895 Views
CCM HUYU MTU HAFAI KABLA HATA HAJAJADILIWA KWA FOMU YAKE YA KUTAKA KUWA MBUNGE... RUSHWA kwenye chaguzi ni mbaya sana! Hatuwezi kukalia kimya matendo machafu sana anayoyafanya huyu mtu anajiita...
2 Reactions
3 Replies
389 Views
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema msomi aliyetukuka kwenye maswala ya Fedha na Uhasibu ACCA Ahobokile Mwaitenda ( mheshimiwa) ametangaza Kujiuzulu nafasi ya Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema Mh...
5 Reactions
60 Replies
2K Views
Back
Top Bottom