Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Taarifa zilipofika Bungeni, chap watu wakawahi eneo la tukio kisha Hospital. Kufika Hospital, Katibu Wizara ya Afya wa wakati huo , this great man , Dr. Ulisubisya , Daktari wa Kuua na Kufufua (...
72 Reactions
288 Replies
18K Views
Amani iwe nanyi wana JF, Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) kijenotyipia ( ki-mtazamo wa ndani ) kimeshakufa kibudu ila kifenotyipia ( ki-mtazamo wa nje ) bado kinaishi hali hii...
14 Reactions
144 Replies
9K Views
Wadau kweli hayati baba wa taifa kaanza kupuuzwa kabisa.Haingii akilini hayati baba wa taifa kazikwa butiama kaburi lipo butiama lakini maombolezo yapo chato na maua yanawekwa kwenye kaburi la...
7 Reactions
29 Replies
2K Views
Kwa vyovyote tulitegemea mbowe awe dictator ndani ya chama mana nje ya siasa hana cha kufanya mana hata form four hakumaliza vile vile mnyika alidisco pale udbs alipokuwa anasoma bba. Watanzania...
4 Reactions
30 Replies
1K Views
Kupitia maandamano, kwamba tumejifunza hatuna jeshi la polisi lenye uwezo wa kudhibiti watu 5Mil tu walioamua kutafuta haki yao. Ili kufanikisha maandamano ya watu mil 5 tu , ni lazima Chadema...
18 Reactions
41 Replies
2K Views
Askofu Mwamakula amesema RC Makonda alipopewa nafasi ya kusalimia Waumini kwenye Ibada ya Mwamposa alisema Eliya hakuwa Nabii na Biblia haimtaji popote kama Nabii Mwamakula amemtaka RC Makonda...
4 Reactions
49 Replies
2K Views
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika anazungumza na Waandishi wa habari muda huu, Makao Makuu ya Chama hicho, Mikocheni Dar es salaam. Fuatilia live mazungumzo yake hapa...
6 Reactions
75 Replies
5K Views
Mpo salama! Watanzania wanaamini Wachagga ni watu wote wanaotokea Kilimanjaro na Arusha bila kujali mikoa hiyo inamakabila mengine kama Wapare, Wameru, Wambulu, Wamasai, Wachagga na Wasambaa...
10 Reactions
72 Replies
2K Views
Kamati Kuu ya CHADEMA, katika kikao chake kilichofanyika tarehe 14 Desemba 2024 jijini Dar es Salaam, ilitangaza uteuzi wa wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi kwa Kanda ya Kaskazini na Kati...
1 Reactions
31 Replies
2K Views
Huyu ndiye Freeman Mbowe Mwenyekiti anayemaliza muda wake. == Sasa ni dhahiri mnyukano mkali ndani ya CHADEMA kati ya mafahari wawili waliowahi kuwa wenyeviti wa Baraza la Vijana BAVICHA ngazi ya...
14 Reactions
75 Replies
4K Views
Mwenyekiti wa BAVICHA, John Pambalu amesema amepita kwenye ofisi kadhaa huko Newala na kukuta ofisi zimefungwa. Akitolea mfano Kijiji cha Mnyambe, Kata ya Mnyambe ambapo mpaka saa saba mchana...
3 Reactions
51 Replies
2K Views
Mmoja wa waandishi wa habari leo ndugu Marwa amesema amewahi kuona maazimo ya kamati kuu ya CHADEMA kama yalivyo yakiwa mezani kwa kada wa CCM Mchungaji Msigwa ili ku preempt hotuba za viongozi wa...
3 Reactions
41 Replies
2K Views
Wakuu, Ni huduma gani ambayo tunaweza kusema kwa 90% na kuendelea kuwa serikali imetimiza? Yaani hata mtu akilalamika tutasema hapa ni roho mbaya tu ya watu kulalamika lakini huduma ni nzuri? Si...
3 Reactions
32 Replies
1K Views
Kama kuna mtu mwenye Ilani ya chama cha Mapinduzi 2020 hadi 2025 atusaidie kufahamu kama ipo ahadi yakutoa huduma ya afya bure kwa mama na mtoto. Kama ilikuwa ahadi maana yake haijatekelezwa na...
0 Reactions
1 Replies
384 Views
Hebu kamuulizeni Mzee Wasira tofauti ya TV na online TV tuone kama anajua. Tanzania inabadilika kwa haraka na wazee wengi hawajui
1 Reactions
3 Replies
565 Views
Ni aibu Mkuu wa mkoa kuwa mropokaji kiasi hiki,ni maajabu kama hatapigwa chini kwenye hiyo nafasi,amekuwa mropokaji kwenye jambo lolote.
3 Reactions
27 Replies
1K Views
Katika uhalisia kupitishwa kwa mgombea uraisi wa chama cha CCM haukuwa wa utaratibu na ulikiuka katiba ya CCM ambapo mgombea alipitishwa tu kwasababu ni raisi hii inapeleka taifa kwenye siasa...
0 Reactions
0 Replies
358 Views
Nimekuwa nikishangaa mnoo mara kwa mara kusikia mijadala ya kujadili namna ya kuwarejesha au kuwakataa wabunge wa Covid 19, Mchungaji Msigwa na Dr. Slaa. Hizi hoja zilishika kasi kipindi cha...
8 Reactions
36 Replies
1K Views
1. Ndugu zetu Diaspora kimewaka tayari. Mzee hataki utani anawapakia kwenye madege ya kukodi na kuwarejesha makwao. 2. Waziri Mambo ya nje TZ hawezi kuongea na viongozi wenzake huko? Nyani Ngabu
15 Reactions
85 Replies
5K Views
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, akifurahi jambo na Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA, Mhe. Halima Mdee Jijini Dodoma...
2 Reactions
34 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…