K Kamundu Platinum Member Joined Nov 22, 2006 Posts 9,589 Reaction score 14,912 Jan 26, 2025 #1 Hebu kamuulizeni Mzee Wasira tofauti ya TV na online TV tuone kama anajua. Tanzania inabadilika kwa haraka na wazee wengi hawajui
Hebu kamuulizeni Mzee Wasira tofauti ya TV na online TV tuone kama anajua. Tanzania inabadilika kwa haraka na wazee wengi hawajui
Msakaa Jr JF-Expert Member Joined May 18, 2017 Posts 7,450 Reaction score 7,928 Jan 26, 2025 #3 Ni maendeleo yaliyotengenezwa na CCM
4 4 7mbatizaji JF-Expert Member Joined Dec 8, 2019 Posts 11,518 Reaction score 13,356 Jan 26, 2025 #4 Mzee wangu hajui, that's kila akivaa koti anapitanisha vifungo