Uchaguzi wa CHADEMA ngazi ya Taifa Sasa ni dhahiri timu mbili za Heche na Mbowe zaanza kutoshana nguvu moja yasikika toka Arusha nyingine toka Singida

Patriot missile

JF-Expert Member
Jun 16, 2024
214
268
IMG-20241114-WA0061(1).jpg

Huyu ndiye Freeman Mbowe Mwenyekiti anayemaliza muda wake.
==
Sasa ni dhahiri mnyukano mkali ndani ya CHADEMA kati ya mafahari wawili waliowahi kuwa wenyeviti wa Baraza la Vijana BAVICHA ngazi ya Taifa kwa vipindi na nyakati tofauti tofauti na wote wakionesha mageuzi makubwa ya kimfumo na kitaasisi hiyo mara hii wanaenda kupambana wakiwania kukuongoza chama hicho katika kipindi Cha miaka mitano ijayo kwa ngazi ya Taifa.

Freeman Mbowe akimtumia Benson Singo Kigaila Masalamakali na John Mrema kama wakuu wake wa itifaki kuelekea Uchaguzi huo ndani ya chama hicho wakati kwa Upande wa Heche akimtegemea zaidi Tundu Lissu kama mkuu wake wa itifaki akisaidiwa kwa karibu na John Mnyika, Boni Yai na wengine.

Freeman Mbowe anayekabiliwa na tuhuma lukuki zikiwemo za kupozwa na chama tawala ili CHADEMA iwe kama ilivyo sasa huku ikisadikiwa pia kuwa ni yeye aliyeruhusu wake za manaibu Katibu wakuu Salumu Mwalim na Benson Kigaila pamoja wenzao 17 kwenda kuapishwa Bungeni na aliyekuwa Spika wa Bunge wa wakati huo aliyejiuzuru Mhe Job Yustino Ndugai anatupa karata yake nyingine tena kukiongoza chama hicho kwa muhula mwingine wa nne mfufulizo.

Itakumbukwa ni Lissu, Mnyika na Heche pekee kwa muda mwingi ndio wamekuwa wakionesha misimamo dhabiti ya kuwagomea wamama hao 19 kurudi CHADEMA ambao hata hivyo baadhi yao wameanza kutafuta hifadhi CCM huku wengine wakiamini aliyewaruhusu kwenda kuapa Bungeni kwa siri anapashwa pia kuwarudisha chamani.

Freeman Mbowe mwanasiasa mzalendo kwa Taifa lake amekuwa kinara wa utulivu wa Upinzani kwa miongo Mitatu Sasa hasa akisalia kuwa mtu wa kupenda siasa za maridhiano na Chama Tawala Cha CCM kama ilivyo kwa majirani zetu wa Msumbiji na chama Chao kikuu Cha Upinzani rafiki CHADEMA Cha RENAMO kilichoshika nafasi ya tatu katika Uchaguzi wa hivi karibuni na huenda huko ndiko anakoelekea CHADEMA.
IMG-20241114-WA0060(1).jpg

Huyu ndiye John Heche anayetajwa kumrithi Freeman Mbowe.

John Heche mwanasiasa kijana mwenye mvuto wa aina yake hasa kwenye siasa za majukwaani anatajwa kuwa ndio Chaguo pekee na sahihi kwa Tundu Lissu, Mnyika na asilimia 70 ya kamati kuu ya chama hicho wakiamini ni mtu pekee anayeweza kurudisha imani ya wanachama na Wafuasi wa Chama hicho ambao wengi wao wanaonesha kukata na kukatishwa tamaa na mienendo ya Freeman Mbowe kwenye awamu hii ya sita.

Wakati haya yote yakiendelea wahafidhina ndani ya CHADEMA wanaamini chanzo cha chama hicho kuzorota Kwa Sasa na kushindwa vibaya kabla ya Uchaguzi kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni matokeo ya aina ya uongozi wa Freeman Mbowe ambao ni uongozi wa kubembelezana na dola tofauti kwa ilivyo kwa Heche na Lissu wanaoamini zaidi dola inaweza kuchukuliwa kwa nguvu ya Umma tu na sio maridhiano kama anavyoamini Mzalendo Freeman Mbowe Mwenyekiti anayemaliza muhula wake wa tatu.

Kwamantiki hiyo, Uchaguzi wa ngazi ya Taifa CHADEMA safari hii ni baina ya Siasa mpya za ukondoo za Freeman Mbowe na Siasa kali za John Heche na Tundu Lissu.
 
View attachment 3152200
Huyu ndiye Freeman Mbowe Mwenyekiti mwenyekumaliza muda wake.
View attachment 3152201
Huyu ndiye John Heche Mwenyekiti mtarajiwa

Sasa ni dhahiri mnyukano mkali ndani ya CHADEMA kati ya mafahari wawili waliowahi kuwa wenyeviti wa BAVICHA ngazi ya Taifa kwa nyakati tofauti tofauti na wote wakionesha mageuzi makubwa kwenye taasisi hiyo mara hii wanaenda kupambana wakiwania kukuongoza chama hicho katika kipindi Cha miaka mitano ijayo kwa ngazi ya Taifa.

Freeman Mbowe akimtumia Benson Singo Kigaila Masalamakali kama mkuu wake wa itifaki kuelekea Uchaguzi huo ndani ya chama hicho wakati kwa Upande wa Heche akimtegemea zaidi Tundu Lissu kama mkuu wake wa itifaki akisaidiwa kwa karibu na John Mnyika, Boni Yai na wengine.

Freeman Mbowe anayekabiliwa na tuhuma lukuki zikiwemo za kupozwa na chama tawala ili CHADEMA iwe kama ilivyo sasa huku ikisadikiwa pia kuwa ni yeye aliyeruhusu wake za Salumu Mwalimu na Benson Kigaila pamoja wenzao 17 kwenda kuapishwa Bungeni na aliyekuwa spika wa Bunge wa wakati huo aliyejiuzuru Mhe Job Yustino Ndugai anatupa karata yake nyingine tena kukiongoza chama hicho kwa muhula mwingine wa nne mfufulizo.

Itakumbukwa ni Lissu, Mnyika na Heche pekee kwa muda mwingi ndio wamekuwa wakionesha misimamo dhabiti wakuwagomea wamama hao 19 kurudi CHADEMA ambao hata hivyo baadhi yao wameanza kutafuta hifadhi CCM huku wengine wakiamini aliyewaruhusu kwenda kuapa anapashwa pia kuwarudisha chamani.

Freeman Mbowe mwanasiasa mzalendo kwa Taifa lake amekuwa kinara wa utulivu wa Upinzani kwa miongo Mitatu Sasa hasa akisalia kuwa mtu wa kupenda siasa za maridhiano na Chama Tawala Cha CCM kama ilivyo kwa majirani zetu wa Msumbiji na chama Chao kikuu Cha Upinzani Cha RENAMO kilichoshika nafasi ya tatu katika Uchaguzi wa hivi karibuni.

John Heche mwanasiasa kijana mwenye mvuto wa aina yake hasa kwenye Siasa za majukwaani anatajwa kuwa ndio Chaguo sahihi kwa Tundu Lissu, Mnyika na asilimia 70 ya kamati kuu ya chama hicho wakiamini ni mtu pekee anayeweza kurudishwa Imani ya wanachama na Wafuasi wa Chama hicho ambao wengi wao wamekata na kukatishwa tamaa na mienendo ya Freeman Mbowe.

Wakati haya yakiendelea wahafidhina ndani ya CHADEMA wanaamini chanzo cha chama hicho kuzorota na kushindwa vibaya kabla ya Uchaguzi kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni matokeo ya aina ya uongozi wa Mbowe ambao ni uongozi wa kubembelezana tofauti kwa ilivyo kwa Heche na Lissu wanaamini zaidi Dola inaweza kuchukuliwa kwa nguvu ya Umma tu na sio maridhiano kama anavyoamini Mzalendo Freeman Mbowe.

Kwahiyo Uchaguzi wa ngazi ya Taifa CHADEMA safari hii ni baina ya Siasa za ukondoo za Freeman Mbowe na Siasa kali za John Heche na Tundu Lissu.
Siku ambayo Mzee Mbowe ataondoka chadema nitaamini ule usemi kuwa hakuna kisichokuwa na mwisho.Huyu Mzee alishajiamisha kuwa bila yeye CDM haiwezi kuwepo.
 
Mbowe ni "wa kunyumba", lakini siasa zake zimekuwa laini sana kwa CCM hii ya wasiokuwa na hoja bali maguvu.

Hapo Heche anafaa zaidi kwani kuwaondoa CCM kwenye " meza ya chakula" ni swala ambalo linahitaji no compromise.
Ngoja tuone
 
View attachment 3152200
Huyu ndiye Freeman Mbowe Mwenyekiti anayemaliza muda wake.
View attachment 3152201
Huyu ndiye John Heche anayetajwa kumrithi Freeman Mbowe.

==
Sasa ni dhahiri mnyukano mkali ndani ya CHADEMA kati ya mafahari wawili waliowahi kuwa wenyeviti wa Baraza la Vijana BAVICHA ngazi ya Taifa kwa vipindi na nyakati tofauti tofauti na wote wakionesha mageuzi makubwa ya kimfumo na kitaasisi hiyo mara hii wanaenda kupambana wakiwania kukuongoza chama hicho katika kipindi Cha miaka mitano ijayo kwa ngazi ya Taifa.

Freeman Mbowe akimtumia Benson Singo Kigaila Masalamakali kama mkuu wake wa itifaki kuelekea Uchaguzi huo ndani ya chama hicho wakati kwa Upande wa Heche akimtegemea zaidi Tundu Lissu kama mkuu wake wa itifaki akisaidiwa kwa karibu na John Mnyika, Boni Yai na wengine.

Freeman Mbowe anayekabiliwa na tuhuma lukuki zikiwemo za kupozwa na chama tawala ili CHADEMA iwe kama ilivyo sasa huku ikisadikiwa pia kuwa ni yeye aliyeruhusu wake za manaibu Katibu wakuu Salumu Mwalim na Benson Kigaila pamoja wenzao 17 kwenda kuapishwa Bungeni na aliyekuwa Spika wa Bunge wa wakati huo aliyejiuzuru Mhe Job Yustino Ndugai anatupa karata yake nyingine tena kukiongoza chama hicho kwa muhula mwingine wa nne mfufulizo.

Itakumbukwa ni Lissu, Mnyika na Heche pekee kwa muda mwingi ndio wamekuwa wakionesha misimamo dhabiti ya kuwagomea wamama hao 19 kurudi CHADEMA ambao hata hivyo baadhi yao wameanza kutafuta hifadhi CCM huku wengine wakiamini aliyewaruhusu kwenda kuapa Bungeni kwa siri anapashwa pia kuwarudisha chamani.

Freeman Mbowe mwanasiasa mzalendo kwa Taifa lake amekuwa kinara wa utulivu wa Upinzani kwa miongo Mitatu Sasa hasa akisalia kuwa mtu wa kupenda siasa za maridhiano na Chama Tawala Cha CCM kama ilivyo kwa majirani zetu wa Msumbiji na chama Chao kikuu Cha Upinzani rafiki CHADEMA Cha RENAMO kilichoshika nafasi ya tatu katika Uchaguzi wa hivi karibuni na huenda huko ndiko anakoelekea CHADEMA.

John Heche mwanasiasa kijana mwenye mvuto wa aina yake hasa kwenye siasa za majukwaani anatajwa kuwa ndio Chaguo pekee na sahihi kwa Tundu Lissu, Mnyika na asilimia 70 ya kamati kuu ya chama hicho wakiamini ni mtu pekee anayeweza kurudisha imani ya wanachama na Wafuasi wa Chama hicho ambao wengi wao wanaonesha kukata na kukatishwa tamaa na mienendo ya Freeman Mbowe kwenye awamu hii ya sita.

Wakati haya yote yakiendelea wahafidhina ndani ya CHADEMA wanaamini chanzo cha chama hicho kuzorota Kwa Sasa na kushindwa vibaya kabla ya Uchaguzi kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni matokeo ya aina ya uongozi wa Freeman Mbowe ambao ni uongozi wa kubembelezana na dola tofauti kwa ilivyo kwa Heche na Lissu wanaoamini zaidi dola inaweza kuchukuliwa kwa nguvu ya Umma tu na sio maridhiano kama anavyoamini Mzalendo Freeman Mbowe Mwenyekiti anayemaliza muhula wake wa tatu.

Kwahiyo Uchaguzi wa ngazi ya Taifa CHADEMA safari hii ni baina ya Siasa mpya za ukondoo za Freeman Mbowe na Siasa kali za John Heche na Tundu Lissu.
Kwa yanayoendelea ndani ya CHADEMA hili ni kweli
 
Back
Top Bottom