Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kakistocracy A kakistocracy is a government run by the worst, least qualified, or most unscrupulous citizens. kakistocracy, is a government in which the worst people are in charge. This obscure...
2 Reactions
4 Replies
566 Views
Tanzania na Hungary kuimarisha ushirikiano katika sekta ya nishati. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), ametembelea Wizara ya Nishati...
1 Reactions
2 Replies
421 Views
Wakuu, Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche akiongea hivi karibuni amesema kuwa vyombo vya habari nchini Tanzania vinaipendelea CCM na kwamba vyombo vingi vinaripoti vibaya CHADEMA Akitolea...
3 Reactions
5 Replies
657 Views
Nawashauri Ndugu zangu Wana Rorya twende na Namba Tatu (Ndugu Kiboye) awe Mbunge wetu kuanzia Bunge lijalo. Namba Tatu ni jasiri na haogopi. aliyepo naye amekula vya kutosha sasa ni zamu ya...
2 Reactions
1 Replies
461 Views
Niaje niaje..........Leo katika pita pita zangu mtandaoni....nakutana na habari kutoka kwa majirani (kenya) kuhusu kifo cha mwenyekiti wa tume ya uchaguzi.......nikakakumbuka stori nyingi sana...
1 Reactions
2 Replies
320 Views
Tanzania kuchangamkia fursa ya ufadhili wa masomo kutoka Umoja wa Ulaya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), katika mwendelezo wa...
0 Reactions
0 Replies
523 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara, John Heche amewataka wanachama wa chama hicho kutokuingia kwenye kile alichokiita mtego wa kukipasua chama. Soma: John...
2 Reactions
1 Replies
444 Views
Ninawahakikishia, Siku mtakayotoa Kauli Moja tu ya kwamba, HAMTASHIRIKI UCHAGUZI WOTE BILA MABADILIKO , mchakato waabadiliko hayo utaanza mara Moja . Waachieni CCM uchaguzi wao, wajifanyie...
3 Reactions
7 Replies
414 Views
Wakuu naona sasa kila mkate utalainika kwa wakati wake ni suala la kupata chai tu. Wasanii waliokuwa wakii Support Chadema sasa wamekwenda kujiunga na Chama cha mapinduzi. Kwanza lini wamewahi...
5 Reactions
100 Replies
5K Views
Kuna Taarifa za kitetesi kuwa Mwenyekiti wa CUF Prof Lipumba amekutana faragha na Viongozi waandamizi wa Upinzani Wastaafu Mzee Mbowe na James Mbatia Nini kimejiri, zikitufikia utafahamishwa hapa...
3 Reactions
23 Replies
1K Views
Wakuu naandika haya kuwakumbusha wapinzani kitu muhimu zaidi ambacho nmekiona, ambacho either chadema ambacho ni chama kikuu cha upinzani mnakiona pia na mnakifanyia kazi au mnakidharau. In short...
0 Reactions
1 Replies
232 Views
Ni vema ukawa unajikumbusha Safu za Uongozi katika Awamu mbalimbali Watu wametoka mbali kufikia malengo yao ya kisiasa Ahsanteni sana 😄
1 Reactions
8 Replies
443 Views
WanaJF! Binafsi nina amini katika 'uongozi' na sio hali ya taasisi, hii ni kwa kumaanisha kuwa endapo akipatikana kiongozi bora, basi hata taasisi iwe hoi namna gani itanyooka tu na kuwa yenye...
8 Reactions
226 Replies
14K Views
Wakuu nimeona nivema nikawapa majina ya kamati kuu mpya ya CHADEMA ili wale wasioifahamu basi waifahamu. 1.Freeman Aikael Mbowe -Mwenyekiti 2.Said Amour Arfi (MB)- M/Mwenyekiti Bara...
0 Reactions
84 Replies
10K Views
Mh. Zitto Kabwe, Kwa heshima na taadhima naomba nikuzungumze pamoja na wasifu wako. Ni wasifu gani alionao Zitto Kabwe? Kijana, Msomi, Mwanaharakati, Mwanasiasa, Mwanataaluma, na kadhalika...
0 Reactions
180 Replies
19K Views
Nakuhurumia Zitto Kabwe05/02/2014| Kwa wasomaji ambao hawakubahatika kuisomamakalahii, basi watambue kuwa iliandikwa na SAMSON MWIGAMBA Desemba 9, 2009. WakatihuoMwigamba alikuwa na mtazamo huu...
12 Reactions
48 Replies
16K Views
Huyu jamaa anaonekana hana shida na mtu, ni mchapa kazi na hana kambi. Kwa umri ni mdogo kuliko hata baadhi ya mizee ila anaonekana kujiheshimu sana (hata kujizeesha kiasi fulani). Ninacho jiuliza...
0 Reactions
11 Replies
11K Views
Wananchi wa Tanzania wanapaswa kuchukua hatua madhubuti ili kuepuka udanganyifu wa wazi unaofanywa na vyama vya siasa kuelekea uchaguzi. Serikali na wanasiasa mara nyingi hutumia mbinu za...
0 Reactions
0 Replies
379 Views
Kwa anayefuatilia kinachoendelea DRC, hasa katika mkoa wa Goma, atakuwa anajiuliza: Liko wapi lile jeshi jasiri la JWTZ ambalo mwaka 2012-2013 liliwafurusha waasi wa M23 na kuwafanya wasambaratike...
15 Reactions
103 Replies
5K Views
WASIRA AIHAKIKISHIA MAREKANI UCHAGUZI KUWA HURU NA HAKI Na Mwandishi Wetu MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Stephen Wasira amesema kipaumbele cha Chama wakati wote ni...
1 Reactions
66 Replies
3K Views
Back
Top Bottom