Profesa Tibaijuka: Mikataba yote tunayoambiwa ni ya Siri ni mibovu. Ashangaa kwanini wananchi wapo kimya

The Phylosopher

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
1,860
2,790
Akihojiwa na watangazaji wa Clouds fm ni kwanini licha ya kuwa na wasomi wengi lakini bado nchi inaingia hasara kwenye mikataba mbalimbali amesema kuna shida kubwa sana kuamini kwamba eti wasomi watatusaidia kwani hata hao wasomi hupitiwa na shetani na kuingia mikataba mibovu.

Amesema kiashiria cha mikataba kuwa mibovu ni hiyo mikataba kuwa ya Siri. Ukisikia tu mkataba wa Siri jua huo ni mibovu. Kama sio mibovu ni kwa maslahi ya umma kwa nini uwe Siri?

Aidha Profesa Tibaijuka anashangazwa sana na ukimya wa wananchi hasa wanapobaini kuna mikataba ya ovyo namna hii inayoitwa ya Siri.

Akihojiwa na watangazaji wa clouds fm ni kwa nini licha ya kuwa na wasomi wengi lakini bado nchi inaingia hasara kwenye mikataba mbalimbali amesema kuna shida kubwa sana kuamini kwamba eti wasomi watatusaidia kwani hata hao wasomi hupitiwa na shetani na kuingia mikataba mibovu.

Amesema kiashiria cha mikataba kuwa mibovu ni hiyo mikataba kuwa ya Siri. Ukisikia tu mkataba wa Siri jua huo ni mibovu. Kama sio mibovu ni kwa maslahi ya umma kwa nini uwe Siri!?

Aidha pro huyo anashangazwa sana na ukimya wa wananchi hasa wanapobaini kuna mikataba ya hovyo namna hii inayoitwa ya Siri.
Huyu Mama naye...!, mkataba ni wa siri, wanasheria wenyewe wanaojua sheria wako kimya, unategemea nini kwa mwananchi wa kawaida?.
Hebu atuache...!.
Tuko hapa ukumbini tunamsubiri Mama tusemezane.
P
 
Akihojiwa na watangazaji wa clouds fm ni kwa nini licha ya kuwa na wasomi wengi lakini bado nchi inaingia hasara kwenye mikataba mbalimbali amesema kuna shida kubwa sana kuamini kwamba eti wasomi watatusaidia kwani hata hao wasomi hupitiwa na shetani na kuingia mikataba mibovu.

Amesema kiashiria cha mikataba kuwa mibovu ni hiyo mikataba kuwa ya Siri. Ukisikia tu mkataba wa Siri jua huo ni mibovu. Kama sio mibovu ni kwa maslahi ya umma kwa nini uwe Siri!?

Aidha pro huyo anashangazwa sana na ukimya wa wananchi hasa wanapobaini kuna mikataba ya hovyo namna hii inayoitwa ya Siri.
Well wananchi wako busy na yanga na simba na udaku, i wonder the same why hawaulizi? Until mkataba wa bandari kidogooo ndio wakaamshwa.
Back to prof alipokuwa kwenye systems alikuwa wapi?
 
Akihojiwa na watangazaji wa clouds fm ni kwanini licha ya kuwa na wasomi wengi lakini bado nchi inaingia hasara kwenye mikataba mbalimbali amesema kuna shida kubwa sana kuamini kwamba eti wasomi watatusaidia kwani hata hao wasomi hupitiwa na shetani na kuingia mikataba mibovu.

Amesema kiashiria cha mikataba kuwa mibovu ni hiyo mikataba kuwa ya Siri. Ukisikia tu mkataba wa Siri jua huo ni mibovu. Kama sio mibovu ni kwa maslahi ya umma kwa nini uwe Siri!?

Aidha Profesa Tibaijuka anashangazwa sana na ukimya wa wananchi hasa wanapobaini kuna mikataba ya ovyo namna hii inayoitwa ya Siri.
Usiri kwenye mikataba umeanza hata yy akiwa madarakani, Asilete ujinga hapa yeye na wasomi wengine wote wabovu kama mikataba ilivyo!
 
Back
Top Bottom