Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais wetu kipenzi cha Watanzania wote Dkt Samia Suluhu Hassani, hakika kazi unayoifanya ni kubwa sana maana kila kona ni maendeleo. Kwenye huduma za afya umeweka hela nyingi kama vile ujenzi wa...
1 Reactions
23 Replies
855 Views
Hellow Tanganyika, Nchi yetu Ina mfumo wa vyama vingi vya siasa, Mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi, na ikitokea Watanzania wakaamua kuipa CHADEMA kuongoza Nchi kutokana na udhaifu au kutokubalika...
1 Reactions
6 Replies
465 Views
Mtu yeyote mwenye akili anajua kikao cha marais wa zamani wa TLS cha kujadiili haki za uchaguzi ni kikao cha Chadema tu, hakuna lingine. Kama marais wa zamani mbona wakili Edward Hossea hakuwepo?
1 Reactions
8 Replies
662 Views
Ikiwa imebaki miezi michache kipyenga cha uchaguzi kupulizwa viongozi pamoja na wanachama wa CCM mkoani Geita wamepewa angalizo kuepuka makundi yanayoweza kusababisha mpasuko na badala yake...
0 Reactions
0 Replies
400 Views
WanaJf, Salaam! Kila baada ya Uchaguzi Mkuu huwa nasikia vyama vya upinzani (CDM, ACT, CUF, NCCR, UDP, DP) nk vikilalamika kuwa hawakushinda kwa sababu ya hujuma za kuibiwa kura. Kwa uongozi wa...
1 Reactions
11 Replies
986 Views
Kamati ya Siasa Mkoa wa Kilimanjaro imeridhishwa na utekelezaji wa mradi wa maji unaosimamiwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mjini Moshi MUWSA Mradi huo unaogharimu Tshs; Milioni...
2 Reactions
1 Replies
383 Views
Taarifa iliyosambazwa na Chama hicho Duniani kote hii hapa.
3 Reactions
7 Replies
587 Views
Wanabodi Niko hapa Morena Hotel Morogoro kuwaletea live, warsha ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi na Jukwaa la Wahariri (TEF) kuhusu dhana ya ulinzi wa taarifa binafsi. Karibuni. ====...
4 Reactions
24 Replies
1K Views
Wakuu salama… Enzi za uhai wake, Rais wa awamu ya tano, hayati John Pombe Magufuli alikuwa ni mpenda drama sana. Angeweza kusafiri kwa gari kutoka Dodoma pengine kuelekea Chato. Angeweza kufika...
8 Reactions
39 Replies
2K Views
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema wanaolipa kodi halisi Nchini ni Watu milioni mbili tu kati ya Watu milioni 65 ambapo amesema idadi hiyo ni ndogo sana hivyo amewataka Watanzania...
3 Reactions
56 Replies
3K Views
Wakuu Machawa wameunganisha nguvu mpaka kisiwani na kushiriki Pilau Day. Hawa wanasiasa wanachukulia poa uchawa lakini baadae utawageukia baada ya wananchi kuamua kubadilika na kuupizia porojo...
2 Reactions
6 Replies
750 Views
Ni kawaida kupaniki pale unakuwa denied. Lakini Europe is never safe. Hakuna binadamu wanafiki kama wazungu, sio wote lkn niseme serikali zao wote ni wanafiki. Tuliowahi kuishi na hawa viumbe...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Dkt. Tulia Ackson Mwasau, Spika wa Bunge la Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), alionesha ujasiri wa kipekee alipokataa kuburuzwa na propaganda za kijinga zinazolenga maslahi ya...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
KUKANUSHA TAARIFA YA KUKAMATWA KWA MWANDISHI DICKSON NG'HILY NA MKUU WA WILAYA YA UBUNGO Kumekuwa na taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu Mkuu wa Wilaya ya Ubungo kumkamata...
6 Reactions
37 Replies
2K Views
Rais Samia akiweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa LPG Terminal GBP GAS-Tanga, leo tarehe 01 Machi, 2025. https://www.youtube.com/live/yU7aLIfGklo?si=e92RxILwhAd_xAwv Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
1 Reactions
10 Replies
855 Views
Kuna uwezekano mkubwa kwamba malalamiko kuhusu ubovu wa katiba ya Chadema, yalichochewa na chuki binafsi dhidi ya wagombea uongozi Fulani ndani ya chadema, na kwahivyo hakuna haja ya viongozi hao...
2 Reactions
25 Replies
830 Views
Mwanasiasa na Waziri Mstaafu, Sophia Simba, amesema ni wakati muafaka kwa wanawake waliokaa muda mrefu kupitia Viti Maalum Bungeni kuwaachia nafasi vijana ili kuendeleza harakati za uwezeshaji wa...
2 Reactions
42 Replies
3K Views
Mama Samia: Kiongozi wa Maendeleo, Je, Atakuwepo Mwingine Kama Yeye? Nimekaa nikatafakari kwa kina kazi nzuri anazofanya Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan. Kwa muda wake madarakani, tumeona...
3 Reactions
24 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, CCM yaendelea kuunguruma maeneo mbalimbali Nchini, CCM yaendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya mamilioni ya watanzania, CCM yaendelea kujiweka karibu na watu, CCM...
1 Reactions
57 Replies
2K Views
Back
Top Bottom