Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nakukaribisha mwenyekiti mpya Tundu Lissu katika uongozi wako mpya ndani ya chama cha demokrasia na maendeleo natumahi mengi mapya pia umekuja nayo katika nafasi yako hii mpya ya uenyekiti wa...
0 Reactions
1 Replies
432 Views
Machache lakini mazito Soka na wenzake wanasadikiwa kukamatwa na jeshi la polisi. Soka aliitwa kufuatilia pikipiki yake iliyopo polisi (ni vigumu raia kujua taarifa za kitabu cha RB cha polisi)...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Simba wa Kizimkazi mh Tundu Antipas Lisu amepeleka kilio chake kwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia juu ya kutekwa na kupotea kwa kijana Deus Soka Makamu Mwenyekiti huyo wa CHADEMA...
14 Reactions
57 Replies
5K Views
Godbless Lema amesema kuwa hana taarifa zozote kuhusu Soka, lakini hisia zake zinaonyesha kuwa Soka hayuko hai. Alisema: "Sina taarifa zozote lakini hisia zangu zina nambia Deus Soka hayuko hai...
6 Reactions
17 Replies
2K Views
Wanaharakati wa haki za binadamu na wanachama wa CHADEMA wamekuwa wakipaza sauti kupitia X kijana wao Deusdedith Soka kuchukuliwa na wanaosemekana na polisi na mpaka sasa hajulikani alipo. Vijana...
17 Reactions
151 Replies
9K Views
Jeshi la Polisi Tanzania limeeleza kuwa linafanyia uchunguzi madai ya kutekwa kwa Katibu wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Mkoa wa Mwanza, Amani Manengelo (30). Inadaiwa kuwa Manengelo...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Amani Manengelo, Katibu wa BAVICHA Mkoa wa Mwanza, ameripotiwa kutekwa na kupotea tangu tarehe 14.02.2025 huko Misungwi, Mwanza. Pia Soma: Kupata matukio ya nyuma kuhusu watu wasiyojulikana ingia...
8 Reactions
57 Replies
3K Views
Hamis Lisu, mmoja wa makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Ikungi, mkoani Singida, ameamua kutogombea ubunge wa jimbo la Singida Magharibi. Uamuzi huo umetokana na kile alichosema kuwa...
1 Reactions
1 Replies
465 Views
Siku kiongozi KUTOKA hapa Tz akaenda UAS kusaini mkataba wowote wenye Maslai kati ya Tz na Us inabidi awe makini sana maana viongozi wa USA na wapo makini sana na watanguliza utaifa mbele
0 Reactions
2 Replies
318 Views
Badala ya kupiga madongo na kuweka uchawa tubadilike kwa manufaa ya nchi
10 Reactions
18 Replies
2K Views
Hii ndio Taarifa ya ghafla iliyotufikia hivi Punde No Reform No Election ======== Mengineyo: Inatarajiwa ITV kuvunja rekodi ya Watazamaji Tangu kuanzishwa kwake. UPDATES ======= Tayari Tuko...
7 Reactions
74 Replies
3K Views
Wakuu Baada ya Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema, kudai kuwa chama hicho kimezuiwa kufanya mkutano wake uliopangwa kufanyika jioni ya leo, Februari 27, 2025, katika hoteli ya Sea...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Ni jambo la busara kuwawezesha akina Mama katika uteuzi wa viti maalum Bungeni. Wanapokuwa Bungeni wanapata uzoefu jinsi ya kuongoza na kuishi na jamii kwa ujumla. Pamoja na mazuri yote...
1 Reactions
2 Replies
244 Views
Tanzania yaunga mkono jitihada za CTBTO kupiga marufuku majaribio ya Nyuklia Mapambano dhidi ya matumizi ya Nyuklia duniani kote yanaendelea, huku Tanzania ikiwa miongoni mwa nchi 178 zilizosaini...
0 Reactions
4 Replies
346 Views
Tukio la jana, ili tuelewe kwamba ana moyo wa kukubaliana na matokeo, nilitegemea dj angekuwepo kuhamasisha. au amekaa pale asubiri wakose hela ya kuendeshea chama kama alivyosema?
2 Reactions
38 Replies
2K Views
Akiwa katika Kata ya Chanzulu Baada ya mkutano wa wananchi Mhe DC Shaka Hamdu Shaka apokea mahaba toka kwa Wananchi anaowaongoza. Wananchi wa vijiji vya Chanzuru na Muungano wameshindwa...
4 Reactions
33 Replies
2K Views
Jana nilikuwa Tanga na ile Ziara ya Raisi Samia Tanga ina sio chini ya V8 300, Bado hujazungumzia Nisan Patroo, bado Toyoto landcruser hardtop na magari mengine. Hapo jirani tu Hospitali ya Bombo...
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Baada ya kugundua nia yenu ovu mliyokua mmeipanga nikifika makao makuu, sasa kuna jambo mnaniandalia ofisin makao makuu muda huu. Nipo tayari kupokea. Mimi ni kiongozi mwenye address na address...
0 Reactions
5 Replies
712 Views
Matukio mbalimbali katika mkutano wa hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika uwanja wa Mkwakwani mkoani Tanga tarehe 28 Februari, 2025.
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Bismillahir Rahmanir Rahiim SHURA YA MAIMAMU TANZANIA KAMATI YA MAADILI WARAKA WA WAZI KWA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI JUNI 18, 2024. ‘MLINZI MWANAMUME WA RAIS KUVAA HIJABU NA KUINGIA...
58 Reactions
223 Replies
12K Views
Back
Top Bottom