Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Serikali ya Uingereza imeifikisha Tanzania katika Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa (UNHRC), ikitaka kufanyika kwa uchunguzi huru na wa kina kufuatia kile ilichokiita "ukatili wa...
18 Reactions
61 Replies
2K Views
Kabla ya kufanyika kwa uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 serikali ilitangaza kuwa imefanya marekebisho katika Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) ili iwe huru na haki. Moja ya maeneo ni...
3 Reactions
4 Replies
247 Views
Makamu Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar, Said Issa Mohamed akiongea na Waandishi wa Habari, leo Machi 5 akizungumzia mazingira ya kisiasa nchini ameeleza...
2 Reactions
30 Replies
638 Views
Akizungumza leo Novemba 26, 2025, katika ufunguzi rasmi wa wiki ya usafiri endelevu ardhini, uliofanyika kwenye ukumbi wa kimataifa wa JNICC jijini Dar es Salaam, Waziri mkuu wa Tanzania Dkt...
11 Reactions
44 Replies
1K Views
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, Mhe. Shirley Botchwey, amemteua Mhe. Dkt. Lazarus Chakwera, Rais wa zamani wa Malawi, kuwa Mjumbe Maalum wake katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Dkt...
2 Reactions
60 Replies
2K Views
  • Featured
Msimamizi wa Uchaguzi mdogo wa Jimbo la Peramiho Exavery Luyagaza amemtangaza Dkt. Lazaro Kiliani Komba wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuwa mshindi wa kiti cha Ubunge wa jimbo la Peramiho kwa...
4 Reactions
41 Replies
2K Views
Kuzimwa kwa intaneti wakati wa uchaguzi mkuu kuanzia Oktoba 29 hadi Novemba 3, 2025 kumesababisha hasara inayofikia zaidi ya dola milioni 250, sawa na shilingi za Tanzania bilioni 637.8 Hayo...
2 Reactions
7 Replies
461 Views
Kanisa la Roman Catholic linajitosheleza kwa kila idara lina kitengo cha ujasusi The Jesuit lina benki yake Bank of Vatican, lina miradi mikubwa dunia nzima, uchumi wake Tanzania ikasome...
21 Reactions
36 Replies
2K Views
Historia inaonesha uongozi unaweza kuwa halali Kisheria lakini ukakosa uhalali wa kijamii Takribani miezi minne baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Tanzania inakabiliana na kipimo halisi...
1 Reactions
1 Replies
210 Views
Idara zetu zipo makini kweli ? nani katoa kibali kuruhusu website hii inayozagaa kwenye magroup kupewa ruhusa ya kuwekwa kwenye serva ? Pia kuna sehemu ya kurekodi majina, tuna uhakika gani...
4 Reactions
41 Replies
2K Views
Rais Samia Suluhu Hassan amewahutubia wazee wa Dar es Salaam leo Desemba 2. Kiini cha ujumbe wake kilikuwa ni maandamano yaliyofanyika Oktoba 29, 2025. Kwa kiasi kikubwa hotuba yake ni kama...
2 Reactions
11 Replies
576 Views
  • Featured
Wakuu, Naona Jeshi la Polisi linatumia nguvu sana kukanusha uwepo wa kundi hili la Tanzania Freedom Fighters badala ya kutuoneyesha wamefanya nini kuwakamata/kuwadhibiti na kurejesha 'amani'...
5 Reactions
44 Replies
2K Views
Nimeona video kiongozi wa kikundi Cha uasi Cha kutetea raia akitoa tamko dhidi ya serikali haramu ya tanzania hususani kwawataja sana polisi aisee kumeanza kuchangamka ni moto hii ni screenshot...
25 Reactions
235 Replies
8K Views
Wasira anadai mauwaji yalikuwa sahihi wakati ni kinyume cha sheria na wali uwawa hadi watoto na wajawazito. kwa sheria za nchi na kimataifa hakuna mauwaji sahihi tuna sheria za nchi na mahakama...
1 Reactions
9 Replies
289 Views
Hili swali najiuliza Sana, kama CHADEMA wangeamua kushiriki uchaguzi na hii bogus INEC je maandamano ya October 29, yangetokea? Katika kitu kiliwaudhi Sana CCM ni Chadema kujitoa kushiriki kiini...
8 Reactions
13 Replies
423 Views
Wanasheria Tito Magoti na Bob Chacha Wangwe kupitia Kesi Na. 59 ya mwaka 2025 wameishtaki Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki katika...
5 Reactions
8 Replies
476 Views
Hamjambo Watanzania wote! 1. Nilipendekeza mbinu kadhaa za kudhibiti maandamano huku mbinu kuu niliyoitoa ni kupiga Lockdown ( Curfew). Hii mbinu ni kabambe na ikipigwe ni ngumu kufanya...
5 Reactions
59 Replies
1K Views
Wakuu, Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (#CHADEMA), Brenda Rupia ameyasema hayo wakati akizungumza na Waandishi wa Habari, leo Februari 21, 2026.
4 Reactions
4 Replies
267 Views
Haya ndugu zangu Lissu anaendelea kupitisha dozi huko. Hii statement alivyoitoa mahakamani kila mtu alicheka Soma Pia: Shahidi wa Kesi ya Lissu (P7): Nauli ya kuja mahakamani leo nimepewa na...
4 Reactions
7 Replies
705 Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimewasilisha taarifa rasmi kwa Mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU), kikieleza wasiwasi wake kuhusu hali ya kisiasa na...
4 Reactions
14 Replies
491 Views
Back
Top Bottom