BBC wameshamuweka Bulembo kwenye list ya USA ban na kimsingi Mambo yanazidi kunoga Sana tena sana kinachofanyika sSasa ni kuendelea kuuthibitisha ukweli Mambo yanayoendelea Tanzania.
Zitto...
Dear ambassadors who represent their countries in Tanzania.
We humbly request you to employ people who will follow what is being posted on jamiiforums.
Jamiiforums is the only trusted source in...
Kwa siasa za Tanzania amabazo sio za kistarabu kabisa yaani za uchafuzi naamini tunaenda kupata vikwazo vya uchumi ambavyo vitatuathiri hata watu wengine tusio na kosa sababu ya wajinga wachache...
Mbunge wa Tarime Mjini Mh Esther Nicholas Matiko ( Mb) aibua Ufisadi wa kutisha TBC.
Kampuni ya Star Media Tanzania LTD( Star Times & TBC ) kwa pamoja wameidanganya Serikali ya Tanzania kwamba...
Habri za wakati huu;
Nimekuwa nikifuatilia kwa kina mitazamo ya wananchi hasa vijana wa umri kati ya miaka 18 hadi 45 ambao wengi wao ndio wapiga kura watakaoshiriki katika kuamua nani awe rais...
Uchaguzi ukiisha matajiri wataendelea kufanya biashara na serikali huku wakiachana na vibaraka wao. Hakutakuwa na burned Visa wala kikwazo chochote.
Matapeli na wapiga deal za uchonganishi...
Namtahadharisha ZITTO awe makini huku nyumbani si shwari walimkosakosa sana sasa sio ajabu wanamtengenezea sherehe kamili.
Hatungependa ya Lissu yajirudie tena maana makovu yale hayaponi...
*Lengo awasaidie ubunge Diamond, Babu Tale
Na MWANDISHI WETU
WAKATI homa ya Uchaguzi Mkuu wa Udiwani, Ubunge na Rais likipanda Kundi la Wasafi Classic Baby (WCB) linaloongozwa na msanii Nasibu...
Sitabiri ila ndio ukweli wabunge na madiwani mliopo katika majiji na wilaya zilizo changamka changamka jiandaeni kupokea na kukubali msichokipenda.
Jua liwake au mvua inyeshe kila Mtanzania...
Na Comrade Leonard Waziri
Assalam Alaikum Mabibi kwa Mabwana Katika harakati za kuijenga Tanzania yenye Uchu wa Kupiga hatua kubwa za kiuchumi na kisiasa.
Naomba nitangulize maneno ya Waswahili...
Nakubaliana na tafiti za watu mbalimbali kwamba CCM ITASHINDA KWA 99% hii ni kweli na mimi kama superbug naiamini CCM ila naomba niuthibitishie umma kwamba CCM inapendwa sana Tanzania.
Naiomba...
Amani iwe kwenu!!
Tutumie thread hii kupendekeza wale wanaofaa kugombea 2020, Tetesi za watu watakaogombea
Mimi naanza na Dr. Tulia, Huyu dada amekuwa msaada kwetu na jamii ya Wana Mbeya kwa...
Kwa namna upepo wa siasa za Tanzania bara unavyokwenda ni wazi vyama vya upinzani vina nafasi finyu ya kushinda mwaka 2020. Hii inatokana na ukweli kwamba vyama hivyo vimekosa ajenda na hoja...
Mimi naongea haya kwa moyo safi. Nimetoka Mbeya jana. Mara nyingine kabla ya jana nilienda Mbeya mwaka 2018.
Leo hii baada ya ziara ya Mh.Rais Jijini Mbeya na kusuluhisha mambo yake na Wanamkoa...
Huyu hapa kijana anakwenda kumg'oa mbowe kwenye jimbo lake, kijana ni hatari sana. Anajulikana kwa jina la Revocatus Lazaro atasimama kwa kiti cha CCM.
Hivi Watanzania mnahisi kulingana na mazingira ya kisiasa yalivyo hivi sasa, hili linaloitwa "Bao la mkono" linaweza kutumika kuhakikisha ushindi wa chama tawala katika uchaguzi wa mwaka 2020...
Ikumbukwe kuwa wagombea wengi wa ubunge wa Chadema katika majimbo mwaka 2015 ni wale waliotoka CCM baada ya kushindwa kura za maoni na kumfuata Lowassa pale Ufipa.
Mwaka huu fursa hiyo...
Natazama hapa mahojiano Mubashara Clouds TV kipindi cha 360 wakimuhoji huyu Mbunge na Mhe 1st Lady Mstaafu.
Ukweli ni kwamba ametulia sana akijieleza kama Mwalimu wa hesabu shule ya Msingi...
Rais wa Tanzania, John Magufuli amesema Serikali imejipanga kuhakikisha uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba, 2020 unakuwa wa amani, uhuru na haki.
Kiongozi mkuu huyo wa nchi amesema utakapofika...
Hivi Mh TAL ANASOMA post zetu sisi wapenzi wake ambao tunamkubali mno kuliko maelezo?
Je tal anamjua/ anazijua I'd hizi?
Sky eclat
Erthrocyte
Na wengineo? Je nitahakikisha vipi tal amesoma post...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.