Kuna uwezekano mkubwa bunge la 2020 wapinzani watakuwa CUF pekee ile ya maalimu Seif! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna uwezekano mkubwa bunge la 2020 wapinzani watakuwa CUF pekee ile ya maalimu Seif!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by johnthebaptist, Jun 5, 2018.

 1. j

  johnthebaptist JF-Expert Member

  #1
  Jun 5, 2018
  Joined: May 27, 2014
  Messages: 10,657
  Likes Received: 8,626
  Trophy Points: 280
  Kwa namna upepo wa siasa za Tanzania bara unavyokwenda ni wazi vyama vya upinzani vina nafasi finyu ya kushinda mwaka 2020. Hii inatokana na ukweli kwamba vyama hivyo vimekosa ajenda na hoja.

  Ile hoja iliyokuwa inawabeba katika umri wake wote wa zaidi ya miaka 25 yaani mapambano dhidi ya ufisadi sasa imebebwa kikamilifu na CCM na kuwaacha wapinzani kubakia kama walalamikaji tu.

  Hadi sasa hakuna jimbo lolote huku bara ambalo upinzani una uhakika wa kushinda na chama kikuu cha upinzani kwa sasa Chadema ndio kimevurugwa kabisa.

  CUF bado wana ngome yao Pemba ambayo haitashindwa kutoa angalao wabunge watano na hivyo kulibakiza bunge letu katika hali ya mfumo wa vyama vingi.

  Niishie hapo!
   
 2. Feberia

  Feberia JF-Expert Member

  #2
  Jun 5, 2018
  Joined: Aug 5, 2013
  Messages: 456
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 60

  Manunuzi ni kwa viongozi kwani wapiga kura nasi tunanunuliwa?

  Watanzania hatuwezi kuwa wajinga kwa fikra hizo maana sisi ndio tuliowachagua na tunakuagiza waambie waliokutuma TUTAWACHAGUA TENA NA TENA 2020 NANYI MJITAHIDI KUIBA HADI YA MGOMBEA MWENYEWE MAANA NDIO ZENU ila ukae ukijua malipo ni hapa hapa na MUNGU ANAWAONA
   
 3. tamuuuuu

  tamuuuuu JF-Expert Member

  #3
  Jun 5, 2018
  Joined: Mar 10, 2014
  Messages: 9,287
  Likes Received: 5,965
  Trophy Points: 280
  Huko Tz kuna tume huru ya uchaguzi?Nani asiyejua kuwa Sasa mkurugenzi kumtangaza mpinzani ni kosa la Karne?Nani asiyejua kuwa risasi zinatumika kuua upinzani?
  Very shithole Tanzania
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Jun 5, 2018
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 42,116
  Likes Received: 37,548
  Trophy Points: 280
  CCM imekufa. Namshukuru sana Mungu kwa kutuletea Magufuli ambaye amebeba agenda zote za upinzani ikiwemo agenda kuu kuimaliza CCM
   
 5. j

  johnthebaptist JF-Expert Member

  #5
  Jun 5, 2018
  Joined: May 27, 2014
  Messages: 10,657
  Likes Received: 8,626
  Trophy Points: 280
  Sanduku la kura ndio msema kweli hizo nyingine ni porojo tu!
   
 6. j

  johnthebaptist JF-Expert Member

  #6
  Jun 5, 2018
  Joined: May 27, 2014
  Messages: 10,657
  Likes Received: 8,626
  Trophy Points: 280
  Hahahaa...... na sasa imezaliwa upya!
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...