Uchaguzi 2020 Mbowe kwaheri jimbo la Hai

nyahinga

Member
Dec 18, 2016
45
23
Huyu hapa kijana anakwenda kumg'oa mbowe kwenye jimbo lake, kijana ni hatari sana. Anajulikana kwa jina la Revocatus Lazaro atasimama kwa kiti cha CCM.
 
Dkt.Revocatus Lazaro ni kiboko yao.Ata pale chuo kikuu anakubalika sana
 
Kwani 'uyu' mzee anataka tena...? Kwani hakuna vijana watoane jasho na vijana wenzie hapo jimboni?....
 
Hii nchi imejaa matahira kila mahali! Eti "anakubalika sana"!! Nani amewaambia kuwa CcCM huwa wanategemea kura kuchukua dola mahali? Mnajifanya vipofu?!
 
Mzee yupi kwani, ni kijana tu mwangalie fb ameweka profile picture ya rais Magu, kijana huyu ni hatari sana
Ni yule yule Dkt.Revocatus wa pale Moshi mjini.Ametoa misaada mingi pale hai.Wengi wamemkubali.Nyota yake imeng'aa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom