Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Ndg. Kenani Laban Kihongosi akizungumza kwenye kipindi cha PB cha Clouds Fm amesema CCM ni chama cha Demokrasia na kinacholeta maendeleo kwa jamii
1 Reactions
9 Replies
96 Views
Ally Hapi akijiwa kupitia Wasafi FM amesema "Siamini kama tutafanikiwa kuwa na Katiba Mpya kabla ya 2030"
2 Reactions
17 Replies
411 Views
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi, amesema chama hicho hakitasita kuchukua hatua dhidi ya watumishi wazembe wanaosababisha migogoro kwa wananchi...
3 Reactions
13 Replies
300 Views
Na njia zake ni kama kina katambi,mkumbo hawa tayar wapo kwenye mfumo wa nchi ila upinzani wanazuga au walizuga tu
3 Reactions
9 Replies
115 Views
Ndugu zangu Watanzania, Siku ya Kesho Asubuhi na Mapema sana Mnapaswa Kuamka na kufungulia Redio zenu ama Tv Zenu na kuweka Clouds FM Sehemu ambayo Msemaji Mkuu wa CCM Taifa atakuwa akisikika...
0 Reactions
31 Replies
271 Views
Asilimia kubwa huku tunakoleta mizigo rushwa imetawala kwasababu unaweza kuona mtu anafika leo akaanza kushusha kwa sababu tu ametanguliza chochote kitu, lakini yule aliyemkuta ambaye anafuata...
16 Reactions
45 Replies
980 Views
Kuna mjadala unaendelea kuhusu MoU iliyosainiwa jana kati ya Tanzania na Uganda, huku baadhi ya vijana wa Lumumba wakisema moja kwa moja kwamba “Tanzania na Uganda wamekubaliana kujenga refinery...
5 Reactions
9 Replies
247 Views
Nimewaza tu hilo na hasa kwa historia na tabia ya serikali hii ya sasa tuliyo nayo.
5 Reactions
14 Replies
265 Views
Katika zama hizi ambazo maendeleo ya nchi yamekuwa makubwa upo umuhimu wa kuwa na Serikali au Dola lenye maguvu na makucha zaidi ...la sivyo kila aliyefanikishwa kuwa tajiri atatutawala sana...
0 Reactions
3 Replies
60 Views
Mheshimiwa nakusalimia ✍🏻😁 Britanicca
24 Reactions
121 Replies
5K Views
  • Featured
Wanapeleka wizi wa kura kwenye taifa la Kikristo, Wanatumia mbinu za Tanzania.👇 "UNPD hawawezi kushinda uchaguzi huu, hakuna muujiza. Sasa wameamua kutumia “mbinu (formula) ya Tanzania.” Zambia...
24 Reactions
96 Replies
3K Views
Kwa tetesi zilizopo nasikia Simbachawene ameambiwa apashe misuli moto kuna namba uwanjani inapwaya vibaya mno... kikwazo ni kwamba hakuna kocha mwenye mamlaka wa kumtoa huyo mchezaji mchezoni...
5 Reactions
21 Replies
651 Views
Location: Dar Es Salaam, Tanzania Project Work Status: Ongoing Projects Dar-es.Saloam, is peculiar in its urban texture. The old waterfront abutting the harbor edge is now incapable of...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Huwa najiuliza sana ninapoona baadhi ya watu wanamchukia Tundu Lissu bila kutoa sababu za msingi. Mh. Tundu Lissu tangua miaka ya 90 amekuw akitetea wananchi waliokuwa wanaonewa, amekuwa...
4 Reactions
10 Replies
113 Views
Mkuu wangu, Dr. William, ninapenda kukuarifu kuwa kisheria na kimantiki, shauri hili linahesabika kama limefikia ukomo wake (functus officio/fait accompli). Uamuzi wangu wa kimkakati wa...
23 Reactions
26 Replies
777 Views
Wanabodi Hili ni Bandiko la Voices from within,hivyo naomba kulianza kwa disclaimer Wanabodi Haya mambo ya mtu kusikia sauti, sio mambo ya ulimwengu huu wa mwili, haya ni mambo ya ulimwengu wa...
28 Reactions
102 Replies
7K Views
Akizungumza mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila hivi karibuni, Elias ametaja changamoto kadhaa zinazowasibu kwenye eneo hilo ikiwemo mrundikano wa mizigo mingi kupita uwezo...
8 Reactions
10 Replies
287 Views
DK. NCHIMBI NA DHANA YA “VICE-PRESIDENTIAL DILEMMA” Tafakuri ya Habibu Mchange Katika sayansi ya siasa kuna dhana inayojulikana kama “Vice-Presidential Dilemma” yaani mtego unaoweza kumkabili...
7 Reactions
16 Replies
429 Views
16 August 2026 Chief Odemba ambana na VAR (video) Dorothy Semu wa ACT Wazalendo / aishia kusema no comment https://m.youtube.com/watch?v=Ux8YPPuItcM Uhusiano wa ACT wazalendo na dola Mahusiano ya...
3 Reactions
9 Replies
324 Views
Wakuu, Akiwa anatekeleza majukumu yake ya kitaalamu katika Mahakama Kuu ya Tanzania (Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa) iliyopo Kivukoni, Dar es Salaam, wakili Peter Madeleka ameeleza jinsi...
4 Reactions
22 Replies
444 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…