Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanabodi Nimeona majina ya wagombea Uspika wa Bunge la JMT Thread 'Vigogo Sita wa CCM kuwania nafasi ya uspika wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania' GE2025 - Vigogo Sita wa CCM kuwania...
7 Reactions
31 Replies
1K Views
Padre Charles Kitima anasema aliyetumwa, aliyetoa mamlaka kupiga risasi akijua kabisa ni kinyume cha sheria atawajibishwa tu ni suala la wakati. Anasema masuala ya kesi za kibinadamu hayafutiki...
14 Reactions
36 Replies
819 Views
Human Rights Watch imesema kuwa vikosi vya usalama vya Tanzania vilikandamiza maandamano wakati na baada ya uchaguzi mkuu wenye utata wa mwaka 2025, viliua na kujeruhi watu ambao hawakuwa...
8 Reactions
20 Replies
940 Views
Mkoani Arusha katika ukumbi wa Centre House, Kanisani Road, Uzunguni kunafanyika mjadala wa wazi ukiangazia suala la Amani na yaliyotokea wakati wa uchaguzi wa Octoba 29, 29. Viongozi wa Dini...
1 Reactions
15 Replies
362 Views
Katika Mjadala wa wazi Kati ya Viongozi wa Dini na Wananchi kuhusu Amani na yaliyotokea Oktoba 29, 2025 unaoendelea leo Machi 18, 2026 Arusha kwenye ukumbi wa Centre house, kijana mmoja amehoji...
1 Reactions
6 Replies
352 Views
Hamjambo wote! 1. Kumekuwa na vuguvugu mitandaoni la kuwapiga Pin Wasanii kwa sababu mbalimbali. 2. Nitaeleza sababu halisi bila kuficha kama ifuatavyo; a) Wasanii kutokemea maovu yanayohusishwa...
1 Reactions
2 Replies
244 Views
  • Featured
Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kilifungua kesi mahakamani kupinga amri ya Mkuu wa Polisi (IGP) ya kuzuia watu kutoka nje (curfew) wakati wa vurugu za uchaguzi wa Oktoba 2025. Lakini...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imeidhinisha uhalali wa Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, baada ya kutupilia...
4 Reactions
14 Replies
442 Views
Kutoka kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam kesi mbili (2) tofauti zinazowakabili vijana watatu (3) wanaodaiwa kuvunja, wizi na kukutwa na mali zinazodhaniwa kuwa ni za wizi...
1 Reactions
1 Replies
280 Views
Chama cha Denokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimemwandikia barua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), António Guterres, kikieleza wasiwasi wake juu ya iwapo mwakilishi waliyekutana naye, Parfait...
12 Reactions
33 Replies
831 Views
Ni kilio cha wasanii kila kona.. Wamekumbuka shuka kumeshakucha.. ! Hakuna drama tena Hakuna new followers tens Hata wanaotoa nyimbo mpya hazi hit tena! Ni kilio na mahangaiko.. Gen Z...
22 Reactions
40 Replies
2K Views
Sorry to say this! Lakini kina vitu vinatia kinyaa kuvisikiliza Inakera sana kuona mtu mzima kwa kutumia rasilimali za taifa na kodi za wananchi anawakusanya watu wazima na vyombo vya habari ili...
9 Reactions
33 Replies
1K Views
Fikiria kuwa nchi zote, taasisi zote za kimataifa, wananchi walio wengi wa Tanzania, mpaka nchi marafiki wa kihistoria, wametamka kuwa yeye ni Rais haramu, kwa sababu hakuchaguliwa na wananchi...
21 Reactions
39 Replies
1K Views
Jamaa wameimgia Mitini kwa sababu WANAJUA Watanzania tunawasubiri kwa Hasira walete ushenzi wao wa kutupia jumba bovu Chadema ya Lissu. Sasa wameona wataingia kwenye 18 za WATANZANIA. NAO...
19 Reactions
52 Replies
1K Views
Akihutubia na kutoa majibu na ufafanuzi muhimu sana dhidi ya upotosha uliotolewa na mataifa mablimbali kuhusu matukio ya kabla ya uchaguzi mkuu, wakati wa uchaguzi na baada ya uchaguzi mkuu huru...
7 Reactions
124 Replies
3K Views
Ikumbukwe awali serikali ya Tanzania ilikataa kuupokea ujumbe wa Chakwera. Masharti waliyopewa na Mkutano wa Commonwealth uliopita 71, Dec 5, 2025. ============...
23 Reactions
90 Replies
2K Views
Umoja wa Ulaya umekiri kuweka vikwazo vya kifedha kwa serikali ya Tanzania kufuatia Uchaguzi wa 2025 ambao wadau wengi walikiri kuwa ulidhoofisha demokrasia. Katika mahojiano ya kina na ya...
15 Reactions
35 Replies
1K Views
Mahakama imesikiliza hoja za upande wa mashitaka na mshitakiwa kuhusu notice inayohusiana na ushahidi wa ziada, ambapo mshitakiwa Tundu Lissu amesisitiza kwamba jambo hilo halina msingi kisheria...
7 Reactions
15 Replies
731 Views
Tangu kurejeshwa kwa mfumo wa vyamavingi Mwaka 1992, Tanzania imejengwajuu ya msingi wa kikatiba unaotambuademokrasia, utawala wa sheria na heshimakwa haki za binadamu. Katiba ya Jamhuri ya...
0 Reactions
1 Replies
226 Views
Wakuu, Balozi wa EU Christine Grau, amejibu lile swali la Who Are You kutoka kwa Rais Samia Hapa Balozi alikuwa anazungumza na The Chanzo na alivyoulizwa kuhusu wapi ambapo Umoja wa Ulaya...
6 Reactions
11 Replies
588 Views
Back
Top Bottom