Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hellow Tanganyika!! IPO Ile Sala ambayo Mungu katika mwili wa mwanadamu, Yesu Kristo aliwafundisha wanafunzi wake akisema, Msalipo,semeni hivi: BABA yetu uliye Mbinguni, Jina lako litukuzwe...
2 Reactions
12 Replies
645 Views
Vyama Nchi hii ni zaidi ya 10, Mkutano Mkuu ulikubali No Reforms, No Election. Inawezekana Mwenyekiti Mbowe na Genge lake walikua wanafanya Siasa za udalali Kwa Lengo la kuwafanya CCM wapandishe...
5 Reactions
7 Replies
595 Views
Imeelezwa kuwa Shule ya Sekondari Nyang’hwale iliyopo wilayani humo inakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo Uchakavu wa Majengo , Upungufu wa walimu pamoja na Upungufu wa vifaa vya kutumia...
1 Reactions
16 Replies
761 Views
Wanabodi Wahariri 200, tuko hapa ukumbi wa Kanisa Katoliki Bombambili Songea kwenye Mkutano Mkuu Maalum wa Uchaguzi wa Jukwaa la Wahariri Tanzania(TEF) kwa ajili ya kuwachagua viongozi wetu...
2 Reactions
11 Replies
708 Views
Huruma sio malezi , safarii hii hakuna kuwahurumia Ccm kauli ni moja nchi nzima hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi
8 Reactions
26 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Barazaa la Makanisa ya Kipenteksote Mkoa wa Dar es Salaam, Mchungaji Emmanuel Mwasota amesema tamasha la kuombea Uchaguzi Mkuu 2025 lipo kwa ajili ya maombi ya kuombea uchaguzi...
1 Reactions
12 Replies
802 Views
Helow! Tusijisahaulishe kuwa, toba huanza kwanza, Kisha sadaka hufuata baadaye. Uraiani tunawaulizeni, wapi alipo ndugu Soka na wenzie, badala ya kutujibu wapi waliko, mnawahi madhabahuni...
3 Reactions
3 Replies
374 Views
No Reform, No Election inakwenda vizuri na muda SI mrefu mabadiliko makubwa yanakwenda kutokea katika kupiga kura, utaratibu wa Tanzania Ili uweze kupiga kura ni lazima uwe unejiandikisha katika...
2 Reactions
5 Replies
439 Views
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema akiwa Lindi jana Aprili 3, amesema watu wa Lindi wana Waziri Mkuu mzuri, mweupe lakini watu wake wana maisha magumu sana, na kutaka wajue kwanini...
8 Reactions
19 Replies
1K Views
Daraja la Pangani ni mradi muhimu unaoendelea kujengwa ili kuunganisha mikoa ya Tanga na Pwani kupitia barabara ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC). Daraja hili litakuwa na urefu wa mita 525 na...
1 Reactions
2 Replies
545 Views
Kwa niaba ya Dkt. Tulia, tuzo hiyo imepokelewa na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais -Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Zainab Katimba. Alizaliwa Novemba 23, 1976 kijijini Mabonde...
0 Reactions
4 Replies
438 Views
Hili ndilo linalotusumbua Tanzani ,yaani sisi tuko bize kumfundisha mwizi njia nzuri ya kiiba asikamatwe, lakini siyo kutunga sheria ambazo atakapokatwa atakumbana na adhabu kali. Haya yote ni...
1 Reactions
4 Replies
387 Views
Laiti siasa ingeangaliwa ku muktadha wa timu za mpira wa miguu, basi CCM tunajua uwezo wao wa kusakata soka. Timu hii ikiongozwa na nahodha machachari sana kutoka visiwa vya Zanzibar, je...
0 Reactions
0 Replies
174 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa Tundu Lissu akizungumza wakati wa mkutano kati ya CHADEMA na Jukwaa la Wahariri (TEF) unaofanyika siku ya Jumapili Machi 2, 2025...
7 Reactions
31 Replies
3K Views
Wakuu, Kuna hizi ajira mpya zimetolewa na tume huru ya Uchaguzi Zanzibar siku ya jana. Nafasi ambazo zilitangazwa ni Mratibu wa Uchaguzi (Unguja na Pemba), Msimamizi wa Uchaguzi (kila wilaya)...
0 Reactions
8 Replies
874 Views
Fatma anahoji kwa nini Tume inawabagua wasio watumishi wa watu umma? anahoji pia, kwa nini wenye ajira wanaongezewa ajira na kuwaacha vijana wengi wasomi wasio na ajira mitaanani. Tume ya...
1 Reactions
1 Replies
534 Views
Ndugu zangu Watanzania, Tanzania ni Kubwa sana kama hutafutwi na Jeshi la Polisi na wewe ni mtu Mwema. Lakini kama ukiingia kwenye 18 za jeshi la polisi kwa vitendo vya uhalifu na uvunjifu wa...
1 Reactions
33 Replies
2K Views
Yanaanzaga hivi hivi kama mchezo! Tulio na umri wa kutosha na kuyaona wenyewe, Chadema inaenda "kufa" kama hatatokea mtu wa busara kulikekemea hasa viongozi wakuu TLP na CUFwalianza hiv hiv na...
5 Reactions
49 Replies
2K Views
Katika maeneo mengi nchini, hivi sasa joto la teuzi ndani ya vyama vya siasa kuelekea uchaguz mkuu wa October mwaka huu 2025 linaendelea kupanda taratibu, lakin ni kali mno. Vipo vyama vya siasa...
0 Reactions
46 Replies
1K Views
Kuna wakati Watanzania tunaanza kuamini Freeman Mbowe alizungukwa na vijana hatari sana huku yeye akila na kulala nao. Kama wanavyojitambulisha hawa vijana wanaojiita G55 ni vijana toka team...
12 Reactions
26 Replies
2K Views
Back
Top Bottom