Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Akizungumzia miradi ambayo inatarajiwa kukamilika hivi karibuni, Rais Samia amesema 4R kutumika utoaji Haki Mahakamani, na kuongeza kuwa Maabusu wamepungua wasio na Kesi za Msingi.
0 Reactions
4 Replies
361 Views
Sababu ziko nyingi lakini kwa uchache tu haya ndio yanayooneka waziwazi: 1. Wameshindwa kuvunja makundi waliyoyatengeneza kipindi cha kampeni za uchaguzi wao wa ndani. Makundi yanazidi kukomaa na...
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Ikitokea bahati mbaya kibaraka na roporopo Lisu anakuwa Rais basi Tutarajie Ujamaa mwingine kurudi Tanzania zaidi ya ule wa awamu ya Magufuli. Hao watu wanafanana Kwa Kila kitu tofauti Yao ni...
4 Reactions
65 Replies
2K Views
Katibu wa NEC, Itikadi Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, CPA. Amos Makalla akizungumza na Wanachama maeneo ya Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam, alipokuwa kwenye mkutano na Mabalozi, Viongozi wa...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Ivi watanzania sijui ni nani alie tuloga? NYERERE angekuwa na roho ya uoga kiasi hiki mpaka leo tusingepata uhuru. Nimesoma hoja zao hao G55, hazina mashiko zaidi ya uroho,ubinfsi, na tamaaa, za...
17 Reactions
71 Replies
2K Views
Tulipokea ndege zetu kwa furaha na ndereno lakini leo hii machozi yanatutoka.Shirika linaendesha kwa ruzuku ya serikali ,Fedha ambayo ingenunua dawa kwenye hospitali zetu-,kujenga barabara na...
5 Reactions
18 Replies
778 Views
Katika operesheni za mwishonimwishoni chini ya uongozi wa Freeman Mbowe kama mwenyekiti wa chama ni hii operesheni ya No Reforms no Election. Operesheni hii ilipitishwa na vikao vyote vikuu vya...
13 Reactions
39 Replies
2K Views
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amewataka watendaji wa chama hicho kuhakikisha wanatekeleza mambo yanayojibu changamoto za wananchi, akisisitiza kuwa CCM si...
1 Reactions
6 Replies
491 Views
Hili ni jambo la kushangaza unakuta unaenda kununua bidhaa dukani unakutana na machinga mbele ya duka la muuza duka. Machinga huyo amepanga bidhaa zake chini ya duka la muuza duka. Kuna baadhi...
4 Reactions
7 Replies
667 Views
Habari Wakuu! Jana na Leo nilikuwa busy na mambo ya changamoto za kiafya. Aiseeh! Nimefika hapa Muhimbili Mloganzila, jamani! Jamani! Huku usije kama pesa zako za Mawazo. Gharama za hapa ni...
24 Reactions
110 Replies
5K Views
ili nchi iweze kupata mabadiliko makubwa yanoyohitajika, kupata katiba mpya pekee kama suluhisho la mambo yote kwenye nchi haitoshi kama kitu cha kuleta usawa, haki na uwajibikaji bali lazima pia...
1 Reactions
3 Replies
709 Views
Simjui hata jina ila huyu mpambe anatakiwa kuwa na sura ya kazi. Kwenye tuzo za comedy alikuwa akicheja cheka. Juzi tena kule Tanga ziarani,alionekana akitabasamu baada ya yuke binti kukalia...
3 Reactions
85 Replies
5K Views
Salaam! Nichukue fursa hii kukupa ushauri ewe Tundu lissu, u mtu upendwaye sana na watu na Mungu, Lengo la mada hii ni kukustua uache kupokea utukufu wa aliye juu ya yote, Yesu Kristo. Nimeona...
8 Reactions
23 Replies
983 Views
Juzi Waziri Mkuu katoa kauli eti wahitimu wa degree waende VETA kujifunza ufundi ili wajiajiri. Kauli kama hizi ndizo zinathibitisha kwamba serikali yetu haijui kiini cha tatizo la ajira nchini...
7 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari za Muda huu ndugu zangu na wanafamilia wa NYANZA FM COMMUNITY!? Binafisi najua mko salama Kwa asilimia kubwa na niseme poleni kwa wenye changamoto mbalimbali zinazo wakabili. Nimesoma...
0 Reactions
0 Replies
330 Views
Katika siasa za kisasa, viongozi wengi wanatumia ajenda zao kuimarisha nchi zao na kujenga mwelekeo wa baadaye. Rais Donald Trump wa Marekani alipochaguliwa mwaka 2024, alileta ajenda yake maarufu...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imefanikiwa kukusanya Sh. Trilioni 7.53 katika kipindi cha robo ya tatu ya mwaka wa fedha 2024/25, sawa na ufanisi wa asilimia 101.32 ya lengo la kukusanya...
4 Reactions
28 Replies
1K Views
Hellow Tanganyika!! IPO Ile Sala ambayo Mungu katika mwili wa mwanadamu, Yesu Kristo aliwafundisha wanafunzi wake akisema, Msalipo,semeni hivi: BABA yetu uliye Mbinguni, Jina lako litukuzwe...
2 Reactions
12 Replies
645 Views
Vyama Nchi hii ni zaidi ya 10, Mkutano Mkuu ulikubali No Reforms, No Election. Inawezekana Mwenyekiti Mbowe na Genge lake walikua wanafanya Siasa za udalali Kwa Lengo la kuwafanya CCM wapandishe...
5 Reactions
7 Replies
595 Views
Imeelezwa kuwa Shule ya Sekondari Nyang’hwale iliyopo wilayani humo inakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo Uchakavu wa Majengo , Upungufu wa walimu pamoja na Upungufu wa vifaa vya kutumia...
1 Reactions
16 Replies
761 Views
Back
Top Bottom