Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katika moja ya ushauri wa G-55 kwa Lissu ilikuwa ni kwamba kitendo cha kuzuia uchaguzi kinaweza kufanya wanachama watende makosa ya jinai. Lissu kwa ujuaji au kiburi, akawaita G-55 wajinga...
3 Reactions
72 Replies
2K Views
Lissu alipanga kunifukuza uanachama wa chadema kwa kosa dogo tu la kusema tushiriki uchaguzi. Akaagiza tawi langu liniandikie barua ya kujieleza. Kwa kweli la kumkuta limkute, ndivyo madikteta...
4 Reactions
19 Replies
877 Views
Mbunge wa Viti Maalum Nusrat Hanje amesema hakuna mtu mwenye uwezo wa kuzuia uchaguzi nakudai uchaguzi utafanyika nakuwataka watu kuacha kuwapa kiki Wanaodai wanauwezo wakudhibiti Uchaguzi ujao...
2 Reactions
49 Replies
2K Views
Binafsi naamini kampeni zinapaswa kuanzwa mapema kwa jambo lolote lile kama nia ni kushinda. CCM wameshateua mgombea Urais tayari japo sijui kama sheria ya uchaguzi inawaruhusu kafanya hivyo...
1 Reactions
18 Replies
716 Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Albert Chalamila , amesema kuna mabadiliko ya maendeleo makubwa sana Dar Es salaam ya Miundombinu kulinganisha na Mikoa mingine. Hivyo kawataka Wafanye kazi...
0 Reactions
0 Replies
328 Views
Kwa ufupi sana, 1. Huyu Kigaila anayesema Lissu ni CCM mke wake yuko Bungeni tena bila ya baraka za Chama hii kwa akili ya kawaida kabisa inawezekana kweli Kunti hakutumwa na mumewe? 2. Hata...
13 Reactions
54 Replies
5K Views
Leo Aprili 10, 2025, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mwanasheria Tundu Lissu amehojiwa kwenye na Polisi kanda Maalumu ya Dar es Salaam kwa makosa mawili ya Uhaini na kutoa taarifa za Uongo. Pia Lissu...
16 Reactions
153 Replies
10K Views
Morogoro region is the legend town soon to be called a city! My memories tell me this...Morogoro used to be a city of all vibes ranging from variety of sports,sport persons and other entateirment...
9 Reactions
69 Replies
4K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Chama cha siasa kinachotajwa kuwa na wanachama wengi zaidi kuliko chama chochote cha siasa nchini Tanzania (wanachama mil 15), leo kimeingia rasmi...
32 Reactions
93 Replies
8K Views
Habari ya leo wanajamvi. Ndugu Heche sasa TAWANYIKENI, baada ya concentration of power kuwa Kanda moja yaani Kanda after Kanda, sasa hivi ni vyema mkatawanyika. Mpige Kanda zote at ounce, hii...
0 Reactions
4 Replies
372 Views
Taarifa kutoka Mbeya zinadokeza kwamba Wakili Msomi Peter Kibatala , anatarajiwa kuwa miongoni mwa Mawakili wa Utetezi kwenye kesi ya uongo ya uhaini iliyobadilishwa kutoka kwenye Uchochezi ...
18 Reactions
114 Replies
11K Views
Wadau wote tunajua Watanzania wenzetu tena Wazalendo wa kweli wenye Uchungu na Raslimali za Nchi yetu yenye Wananchi wake Masikini na Wanyonge walikamatwa na kushtakiwa kwa Kosa la UHAINI Kosa...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Fikiria DPP ,anakaa anashauriana na Polisi ,wanaamua kumkamata MH LISSU na kumpa Kesi za kusema Uongo. Uongo wenyewe Sasa 1-Mh LISSU kusema Wagombea wa Upinzani walienguliwa Kwa maelekezo ya...
6 Reactions
10 Replies
880 Views
Katika kipindi hiki ambacho Tanzania inapiga hatua kubwa katika kuimarisha demokrasia na maendeleo ya kijamii na kiuchumi, ni jambo la kusikitisha kuona baadhi ya wanasiasa wakichagua njia za...
3 Reactions
55 Replies
2K Views
Hao ndio wanasema watazuia uchaguzi ulipo kikatiba!?? Wepesi kama biskuti? Na moto huu huu wapelekewe mpaka walioficha familia zao ulaya na Canada wakimbilie huko. Keyboard warriors wa hapa Jf...
12 Reactions
213 Replies
6K Views
Serikali ya Tanzania imekamilisha upembuzi yakinifu wa kuwezesha Wakazi wa Tegeta hadi Bunju kutumia Usafiri wa Treni. Treni hii itajengwa kuanzia Ubungo Maziwa, Kupitia Mlimani City, Mwenge hadi...
11 Reactions
33 Replies
2K Views
Fokas, Brown, Dunia Adonis. Aluu Ally, Vincent Mkude, Hussein Ngulungu, Ahmad Amasha, Zamoyoni Mogella, Miraji Salum, Peter Tino, Mohamed Salim, Abdurahman Jalala, Salim Omari...
2 Reactions
71 Replies
18K Views
Serikali inaendelea na ukarabati wa meli ya mafuta ya MT Sangara mkoani Kigoma kwa gharama ya Dola za Marekani milioni 3.60 ambao umefikia asilimia 98. Mradi huu utakapokamilika utawezesha kubeba...
0 Reactions
0 Replies
240 Views
Hebu fikiria hili. Chakula cha familia kinatayarishwa. Halafu kabla ya kula mtoto anamshauri baba kwamba ni vema kila mtu anawe mikono kabla ya kuanza kula, kwa sababu huko nyuma waliumwa matumbo...
19 Reactions
67 Replies
2K Views
Mwaka 2020/21 NHIF ilipata hasara ya Bil 109 huku mfumo ulikuwa ukijiendesha kwa hasara kwa zaidi ya asilimia 49 2. Mwaka 2022 NHIF ilipata hasara ya Bil 204 huku taasisi ikijiendesha kwa hasara...
18 Reactions
74 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…