Yawezekana kuna upotoshaji wa makusudi kabisa juu ya uwepowa viti maalum bungeni kuwa ni nafasi wanazopewa vyama vya Siasa kuchagua Wanawake wa vyama hivyo kuingia Bungeni kama Wawakilishi wa...
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema haijapokea orodha ya majina ya wabunge wa viti maalumu kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Akizungumza na Nipashe jana kwa njia ya simu...
Kama watumishi wa NEC, TISS, Wakurugenzi, Watawala, Wasimamizi wa vituo na mtu yeyote anayehusika na uchaguzi wanataka waendelee kuishi kwa baraka katika maisha yao, basi wajichunge sana namna...
Tumebakiza dakika chache ili tuweze kufanya mabadiliko ya kweli, chagua Tundu Lissu na Madiwani wake pamoja na Wabunge wake!
Tukumbuke vifo vya Watanzania wasio na hatia kama Aquelina, Azory...
Miaka mitano iliyopita niliandika uzi kuhusu jimbo hili baada ya kutomuona mgombea wa wakati huo akifanya kampeni za nguvu...
Julius Mtatiro toka mafichoni Segerea inakwenda
Leo narudia tena...
CHADEMA na ACT Wazalendo tunautangazia umma na wanaopinga kuvurugwa kwa Uchaguzi Mkuu kushiriki Maandamano ya Amani kesho Jumatatu ya Tarehe 2/11/20. Madhumuni ya Maandamano ni kudai kurudiwa...
Nimesoma kitu kinachoitwa TAARIFA KWA UMMA iliyotolewa na Tume ya Taifa ya uchaguzi, iliyosainiwa na Mkurugenzi wake Dkt Mahera, tarehe 27/11/2020, naomba maswali yafuatayo uyajibu Dkt Mahera:-...
Taarifa zilizo rasmi za kiutafiti katika mikoa ya LINDI na Mtwara yapo majimbo takriban 11 ambayo yapo hatarini kupotea. Majimbo hayo ni kama ifuatavyo,
1. Kilwa Kaskazini
2. Kilwa Kusini...
Mheshimiwa Rais Magufuli leo acha niwashitaki hawa viumbe wawili Polepole na Bashiru kwako.
Hawa ndio watu wanaofanya leo uchaguzi unakuwa mgumu kwako kutokana na mbinu yao ya ushawishi...
Huyu mkuu wa Wilaya ya Magu mkoani Mwanza amekua akikusanya Watumishi wa Umma katika kila tarafa kuzungumza na kuwatisha kwamba yeyote atakayeongelea upinzani au kuupigia kura upinzani. Wakati...
Ameandika hivi kupitia twitter:
Kwa Mateso na Maumivu haya niliyopitia Siwezi kusaliti chama Changu na Wananchi wa Serengeti walioniamini na Kunipa Heshima Kubwa Kama Msubhati wao.
Mwanzoni Kabisa mwa Uchaguzi Bashiru Ally alinukuliwa akisema kuishinda ACT Wazalendo ni rahisi sana kuliko kuishinda CUF.
CCM na CHADEMA au Kama CCM itajigawa ndio vyama vitakavyochuana miaka 20...
Hapa kuna mambo yaliyopo nyumba ya pazia ambayo yamewapata hawa akina Mdee, Bulaya na Matiko.
Lakini hakuna hata mmoja aliyewawazia upande wa pili.
Wote mnachezeshwa ngoma na CCM, mnawaaccuse...
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema, chama hicho hakijateua majina ya wabunge wa viti maalum “ niliandika barua NEC kuwajulisha. Tunafuatilia yanayojiri Ofisi ya Spika wa Bunge na...
Uchaguzi umekwisha,na kwa nguvu za kidola tumerudishwa katika mfumo wa chama kimoja huku kukiwa na vyama vingi vya kuzugia na kudanganyia dunia.
Haya mambo si kwa faida ya Taifa zima, bali ni ego...
Binafsi nimeshindwa kumuelewa kabisa huyu bwana mkubwa wa CCM.
Maneno aliyo yaongea na elimu aliyo nayo sidhani kama vinaendana.
HOTUBA YA DR. BASHIRU KWA UFUPI
CCM inatoa salamu za mwaka mpya...
LISSU(Opening Remarks)
Lissu: Chama chetu cha CHADEMA na chama dada cha ACT-Wazalendo tumekataa kuyatambua matokeo ya uchugazi huu, tumekataa kushiriki kwenye bunge au serikali za mitaa kwani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.