" Miaka kumi na mbili iliyopita Lindi hii na Mtwara waliambiwa mnaletewa utajiri wa gesi, Miaka kumi na mbili iliyopita walichukuliwa Masheikh hapa, Viongozi wa dini na Maaskofu, wakati ule mimi...
Kuna watu wanajiuliza kwanini CHADEMA wanataka kuzuia uchaguzi wakati hawataki kushiriki huo uchaguzi?
Wanajiuliza: Kwanini wasikae pembeni tu wakawaacha wafanye huo uchaguzi?
Jibu:Kitendo tu...
https://www.instagram.com/reel/DIBH73iuz8Y/?igsh=bHV3ZXhqMDU5czRx
Gerald Hando ametafsiri maneno ya Lissu kuwa no reform no election ilikuwa ni chambo ya kuongezewa dau kama matusi kwa Freeman...
Habari JF,
Pamoja na kelele nyingi dhidi ya Rais wetu Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kuongezeka, Wapinzani wakidai uchumi wa Tanzania unadorola.!
Taarifa hii ya IMF naamini itakuwa si njema sana...
===
Akihojiwa na kituo cha runinga cha Clouds Media Group Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania PPP -Centre David Zacharia Kafulila alikuwa na haya ya kusema ;-
"Tafiti...
Mpasuko Mkubwa CHADEMA: Wagombea Wapinga Kauli za Viongozi Wakuu, Wapinga Mpango wa Kususia Uchaguzi
Katika kile kinachoweza kufasiriwa kama dalili za kuporomoka kwa umoja na mshikamano ndani ya...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, ile Neema ya No Reform No Election, Ambayo kwa sasa ndio Habari Kuu Nchini Tanzania, Imefika kwenye Mji wa Kihistoria Kilwa Kivinje na Kupokelewa kwa Shangwe...
CEO wa PPP Bwana David Kafulila katika Ukurasa wake wa tweeter ( X ) ameisifu Serikali ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuwa ndio nchi pekee inayokopa ndani kwa riba ndogo...
Ukichunguza kwa kina kuna tatizo ndani ya chama. Na hii ni kutokana na Mbowe kuwa kimya tangu akabidhi chama hicho.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewapongeza wahariri wa vyombo vya habari kwa kutumia taaluma yao vizuri katika kulinda, kudumisha na kuendeleza amani...
Japokuwa nipo Igunga kwa shughuli za kibiashara Lakini mimi kwetu ni Mwanza . Kwa Sasa ni jimbo la Ilemela.
Nalifahamu hili jimbo kwa mapana maana nimezaliwa na kukulia huko. Nitawatumikia watu...
Kaya 2,874 zimehitimu kupokea ruzuku za TASAF wilayani Chemba.
Wilaya ya Chemba imepokea Shilingi bilioni 2.7 kutoka Mfuko wa maendeleo ya Jamii (TASAF) kwa mwaka 2024 na 2025 ambapo kaya 6,990...
Kuna jambo Watanzania wengi sana hawalifahamu.
Jambo hilo ni matumizi mabaya ya vyombo vya Ulinzi na Usalama linalofanywa na CHAMA CHA MAPINDUZI ambalo kwa namna moja au nyingine linawapa kiburi...
Hivi umewahi kujiuliza, ikiwa Magufuli angeishi hadi kumaliza awamu zake mbili za miaka 10 ya uraisi, angemuandaa nani ndani ya CCM ili awe mrithi wake wa kiti cha uraisi? Nimekuwa nikiwafikiria...
Wanabodi
Leo naendelea na zile makala zangu elimishi kuhusu Ijue Katiba ya JMT kwa jicho la mtunga Katiba, nikiliangazia Bunge la JMT. Kwa mujibu wa Ibara ya 62 ya katiba, Kutakuwa na Bunge la...
Hali hii siyo nxuri G55 imeundwa kwa convenience ya kuendeleza maumivu na kubomoa chama. hapa hakuna nidhamu ingawa wana haki ya kusikilizwa na kisha warejee kwenye vikao halali vya kamati kuu...
Mwenyekiti mstaafu BAVICHA mkoa Kilimanjaro na Mwenyekiti wa wilaya ya Mwanga Lembrus Mchome ametangaza nia yake ya kugombea Ubunge bila kujali harakati za Chama chake, CHADEMA za kuzuia Uchaguzi...
Gabriel Mwita wa CHADEMA unataka Nini?
Nina swali moja Kwa huyu kada wa CHADEMA Gabriel Mwita , Je Gabriel Mwita unataka Nini?.
Kwanza, nakuuliza Gabriel Mwita unataka nini kwa sababu maamuzi ya...
Leo tumehabarishwa na Benki Kuu ya Tanzania(BOT) jinsi shillingi ya Tanzania bado ni HIMILIVU. Binafsi mimi sikuelewa maelezo yao lakini cha ajabu leo Dollar moja ya Kimarekeani ni Tshs.2,642.934...