Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,475
- 23,568
Toka ameshindwa uchaguzi ameamua kukaa mbali na chama hataki hata kuhudhuria vikao vya chama.
Sio tena kuwa CHADEMA wanasambaza Virusi vya M.pox au hiyo CD imegoma kuuzika?Mwacheni Former chairman apumzike mlimtukana sana!
wakati alikuwa anagombania mbona alikuwa na muda wa kuendelea ila aliposhindwa ndio kakosa muda?Wakati anang'atuka Mwamba alisema hadharani kuwa yeye anatafuta fedha yeye ni Mfanyabiashara.
Alikuwa anataka kuonyesha Demokrasia ndani ya Chama.wakati alikuwa anagombania mbona alikuwa na muda wa kuendelea ila aliposhindwa ndio kakosa muda?
🤣🤣Sio tena kuwa CHADEMA wanasambaza Virusi vya M.pox au hiyo CD imegoma kuuzika?
Halafu kistaarabu tu anatakiwa ampe nafasi Mwenyekiti Mpya afanye kazi. Au wanaona Mwenyekiti mpya anapwaya wanataka Mbowe aongeze nguvu!Wakati anang'atuka Mwamba alisema hadharani kuwa yeye anatafuta fedha kumbukeni ni Mfanyabiashara.
Toka ameshindwa uchaguzi ameamua kukaa mbali na chama hataki hata kuhudhuria vikao vya chama.
View attachment 3291924
Alitukanwa na nani?matusi gani? Waliomwita gaidi na kumweka ndani akina nani?Mwacheni Former chairman apumzike mlimtukana sana!
Aling'atuka wapi? Unajua maana ya kung'atuka?Wakati anang'atuka Mwamba alisema hadharani kuwa yeye anatafuta fedha kumbukeni ni Mfanyabiashara.
Unajua wabaya wa Slaa walikuwa nani? Kumbuka walitokea wapi.Wala hautakuwa afya kwa Mbowe kuhudhuria vikao hivyo kwa Sasa. Yeye na M/kiti wa Sasa walikuwa na walishindana kwa agenda tofauti. Leo Mbowe akiwa kiherehere wa vikao na agenda ya Mwenyekiti wa Sasa ikapata upinzani, atanyooshewa kidole Mbowe.
Lakini hata Lissu ni adui wa Mbowe. Wakati akimpokea Slaa Kuna kauli zilitoka kuwa Slaa anarudi kwakua "wabaya" wake ndani ya Chama hawapo tena.
Siasa zina unafki wa kutisha sometimes
He he he.... Mchepuko wake umekuja 🤣Halafu kistaarabu tu anatakiwa ampe nafasi Mwenyekiti Mpya afanye kazi. Au wanaona Mwenyekiti mpya anapwaya wanataka Mbowe aongeze nguvu!
Alitukanwa sana na alivumilia sana.Toka ameshindwa uchaguzi ameamua kukaa mbali na chama hataki hata kuhudhuria vikao vya chama.
View attachment 3291924
ALitukanwa wapi na nani?Alitukanwa sana na alivumilia sana.
Mwacheni apumzike, mwenyekiti mnae sasa mbowe wa nini?