Kondoo wa kike
New Member
- Nov 5, 2024
- 1
- 1
Ukichunguza kwa kina kuna tatizo ndani ya chama. Na hii ni kutokana na Mbowe kuwa kimya tangu akabidhi chama hicho.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kwa hiyo kuna haja ya Lissu kutoshupaza shingo awasikilize hao G55 na ikibidi aongee pia na Mbowe kujua kulikoni. Iundwe kamati ya usuluhishi na maridhiano haraka sana.