Aliyekuwa katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Willibrod Slaa amerejea rasmi CHADEMA na ametangazwa katika mkutano wa hadhara Mbeya leo Jumapili Machi 23, 2025...
Niliwai kupitia ukurasa huu kuandika yakuwa inawezekana Tanzania tuna usalama wa taifa wanao hisi yakuwa viongozi tulio nao kupitia chama Cha mapinduzi ndio usalama wa taifa au ndo rasrimali ya...
Nawasalimu nyote hapa JF.
Niende Moja kwa Moja kwenye mada tajwa hapo juu hasa inayowahusu baadhi ya viongozi wetu wa dini waliokaririwa na vyombo vya habari wakiwaonya waumini wao kuhusu ajenda...
Kwa vitendo vyake Je Raisi Samia ni mkweli au Muongo. Wengi wanalalamika kwamba anayesema anasema kisiasa kuanzia 4R ni uongo, chaguzi huru ni uongo, Ripoti za mauaji ni uongo. Je ni kitu gani...
1. Kukosa Uwazi na Uwajibikaji wa Viongozi: Wananchi wanaposhuhudia viongozi wa CHADEMA kutokuwa na uwazi katika utendaji wao au kushindwa kutoa maelezo ya kina kuhusu mikakati yao, wanapoteza...
Walimu ni watu muhimu lakini umuhimu wao unazidi kupotea siku hadi siku. Kwani wamekuwa ni daraja la wanasiasa pindi wanapotafuta maslahi yao.
Ikumbukwe kwamba waalim ni watu muhimu katika...
Kumekuwa na msuguano mkali sana kati serikali iliyopo madarakani na Vyama vya Upinzani. Vyama vya Upinzani vimekuwa vikilalamika kuwa vimehujumiwa sana hasa kwenye chaguzi za mwaka 2019, 2020 na...
Suala hili limekuwa liwatoa ufahamu baadhi ya viongozi wa vyama vya kisiasa, na kuona kwamba wingi wa watu tayari ni ushindi, kumbe haiko hivyo.
kwani ushindi ni strategy za chama husika...
Anaandika Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD)
KUNA MAMBO HAYAKO SAWA
Kuna mambo yanayotuunganisha wote bila kujali itikadi, dini, jinsia, kabila, hali ya mtu kiuchumi, ufupi au urefu wa mtu...
1. Finance bill imeshakuwa withdrawn, sasa mnataka nini?
2. Ruto aondoke madarakani? If so, Why this demand?
3. Who will be next? and come up fully with your demands?
Let us think together! as...
Bila kupepesa macho, nakiri mbele yenu kwamba nimeukubali kikamilifu muziki wa Tundu Lissu na John Heche.
Yaani, wamepiga kanda moja tu ya Nyasa lakini wale MABEDULI wameshaanza kunena kwa lugha...
Angas Robert Oketch, mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ameikosoa serikali ya Tanzania kwa madai ya kutotekeleza...
U-NYANCHA, U-SUBA, U-GIRANGO NA U-LUO-IMBO UNAVYOITAFUNA JIMBO LA RORYA
Na, Mwl Chacha Matete
Idara ya Elimu ya Ufundi- MUST
Nianze kwa kumnukuu Baba wa TAifa Mwl. J.K. Nyerere akiongea na...
SIo siri hawa wanasiasa wanatuchezea, sisi maboss wao wanatufanya kuwa vijakazi wao, hatuna cha kuwafanya zaidi ya kuwaonyesha boss ni nani; Je Tutafanyaje ?
Box la Kura
Ndio huenda wataiba...
Madai ya kupigwa na kujeruhiwa kwa Katibu Mwenezi wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha), Sigrada Mligo, yameibua upya mzozo wa kambi zinazosigana ndani ya chama hicho, ambazo ni kati ya...
Baadhi ya Wadau waliohudhulia uzinduzi wa shina jipya la Luton wakiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti Tawi la UK, Maina Owino.
Watanzania wengi walifurika Jiji la Luton Uingereza na...
Nimesoma habari ya mbunge wa Rorya kulilalamikia jeshi la polisi Rorya eti linashirikiana na majambazi!. Hakuna asiyejua kuwa Lameck anachokipenda ni kuiweka mfukoni dola, hapo unakuwa rafiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.