Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

TRA YAKUSANYA TRILIONI 7.53 JANUARI HADI MACHI 2025 . Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imefanikiwa kukusanya Sh. Trilioni 7.53 katika kipindi cha robo ya tatu ya mwaka wa fedha 2024/25, sawa na...
0 Reactions
4 Replies
460 Views
Wakati uongozi wa Chadema ukikutana na watia nia ya kugombea ubunge na udiwani katika ofisi ya makao makuu jijini Dar es Salaam Machi 3, 2025, kundi hilo linaundwa na wagombea na watiania wa...
0 Reactions
0 Replies
591 Views
Tanzania imeshika nafasi ya 5 Duniani Kwa Mazingira Bora ya Utayari wa kufanya biashara ikijinyakulia pointi 78.73 kati ya 100. Vipengele vilivyoibeba Tanzania ni Operational efficiency na...
4 Reactions
9 Replies
402 Views
No reforms No election ni kaulimbiu inayopanga kuzuia kufanyika uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025 ikiwa hakutakuwa na Reforms za Uchaguzi. Kwa hiyo itakuwa kama ifuatavyo:- 1. Wapinzani watazuia...
1 Reactions
1 Replies
406 Views
Kwa kifupi No Reform No Election haina madhara yoyote kwake 1. Akiikubali na kufanya Reform anakuwa Rais wa Kipindi cha Mpito cha Miaka 3 na kwa kuwa sifa zote atapata yeye kwa kukubali Reforms...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Huyu ni mwanamke wa shoka. Dodoma ni mkoa wenye harakati nyingi sana za kisiasa na kiserikali. Lakini huyu mama kazimudu bila kuwa na kashfa yoyote ole wala mikwaruzano. Nadhani anastahili...
0 Reactions
22 Replies
918 Views
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk.Emmanuel Nchimbi amesema kuwa ni kosa la kisheria na kikatiba kukilazimisha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kushiriki uchaguzi bali kiungwe...
1 Reactions
11 Replies
546 Views
!!!!!!! Tuache kuingizwa kwenye mtego na watu walio busy kuwaza jinsi ya kutengeneza uchochoro wa kupiga pesa kwa kuongeza zaidi dau la malipo kutoka kwa walipaji maana watu wa aina hii mbele ya...
8 Reactions
33 Replies
2K Views
Inashangaza kuona mgawanyiko wa makundi ndani ya chadema swali muhimu kwa maslahi ya nani?
1 Reactions
2 Replies
346 Views
Naamini Watanzani wengi wanataka mageuzi ila walikosa mtu sahii wa kuwasemea katika mda sahihi,Walipita Viongozi wengi kuanzia kina Mrema, Lipumba,Mbatia mpaka Mbowe,lakini wote waliwasi wanainchi...
3 Reactions
9 Replies
675 Views
CHADEMA wanasema " no election" na wanasikilizwa na watu wengi na hii inaleta taharuki,kwa sababu hawa wana haki gani ya kuhamasisha wananchi wasipige kura. Saa ya Uchaguzi imefika, Uchaguzi...
8 Reactions
64 Replies
2K Views
Ukisoma huo waraka sehemu ya tatu aya ya 2 inasema lengo la kupitisha "No reforms, no election" ilikuwa si kuzuia uchaguzi bali kuhamasisha tu. Huo ndiyo ulikuwa mpango wa kauli mbiu? Tunaposema...
4 Reactions
11 Replies
593 Views
Kama mwaka jana wagombea wa Chadema na ACT waliondolewa uchaguzi wa serikali za mtaa unadhani wasimamizi wale wale wataweza kumtangaza diwani wa upinzani? Uchu wa madaraka umekuwa mkubwa lakini...
0 Reactions
2 Replies
276 Views
Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Richard Shadrack Lyimo, ameweka wazi msimamo wake wa kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, akieleza sera mbalimbali za chama hicho...
2 Reactions
38 Replies
2K Views
Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), imeielekeza Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) kufanya ukaguzi maalum katika mradi wa ujenzi wa kituo cha...
0 Reactions
2 Replies
654 Views
Meneja wa Bandari ya Mtwara, Ferdinand Nyathi amesema Serikali imegharamia na kuisadia Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kusaini mkataba na Mkandarasi ambaye ni kampuni ya China...
1 Reactions
4 Replies
475 Views
https://youtu.be/eUJUVzmpAIg Katibu Mkuu Chadema, John Mnyika Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika, amesema kuwa chama cha Chadema kitaendelea na mpango wake wa kuzuia uchaguzi kwa sababu hakuna...
2 Reactions
6 Replies
567 Views
Kwa mujibu wa taarifa ya Oakland Institute kama ilivyonukuliwa na MongaBay ni kwamba Wananchi wa eneo la hifadhi ya Ruaha walipeleka malalamiko Benki ya Dunia Kisha kufunguliwa Kwa kesi Kwa...
13 Reactions
73 Replies
3K Views
Wakuu Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile akizungumza leo Aprili 4, Songea kwenye Mkutano Mkuu maalum wa Jukwaa hilo, amesema chini ya Uongozi wa Rais Samia Uhuru wa...
0 Reactions
8 Replies
783 Views
Gwiji la siasa Tanzania limesema, nani atabisha? Huyu ni moja ya mabingwq wa tathmini za siasa ambaye nchi hii haijawahi kupata. Mbowe mitano tena.
4 Reactions
62 Replies
3K Views
Back
Top Bottom