Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

JUMUIYA ya Madola (Commonwealth) imeridhia wito wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan wa kuanzisha mpango maalum wa ufadhili wa masomo wa Commonwealth Julius Nyerere...
0 Reactions
3 Replies
482 Views
Chama cha ACT Wazalendo kimesema kuwa kipaumbele cha Chama hicho kwa sasa ni kupigania mageuzi ya mfumo wa uchaguzi na kurejesha thamani ya kura ya kila Mtanzania kwenye uchaguzi. Msimamo huo...
3 Reactions
13 Replies
989 Views
Soma, Pia: CAG: TANESCO wanadaiwa Tsh. Bilioni 238 na IPTL – Deni la Tsh. Bilioni 111, Tsh. Riba Bilioni 127 IPTL dude linalofufuliwa kila Awamu. Mahakama ilishamaliza suala hili tena mahakama ya...
13 Reactions
71 Replies
4K Views
Mwenyekiti wa Kamati ndogo ye fedha ya CHADEMA CHADEMA ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho Godbless Lema amesema wapo tayari kutumia mfumo wa sarafu za kidijitali (cryptocurrency) ili...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Mwamba alikua anaibuka tu sehemu na kutimua yeyote ikiwamo Waziri mwenye dhamana. Hakika nimemiss zile moments za taharuki. Aliwahi kumbuka gerez la butimba akakitana na ujinga-ujingabeti Askari...
1 Reactions
22 Replies
1K Views
Tanzania kama nchi nyingine nyingi inashuhudia ongezeko la wageni wenye historia za kifedha zenye utata hususan kutoka mataifa yanayokumbwa na sakata za utakatishaji fedha, uhalifu wa kimtandao na...
0 Reactions
2 Replies
361 Views
Habari wanajf, Hivi inawezekana mtu aliyegombea nafasi ya mwenyekiti wa kitongoji katika uchaguzi wa serikali za mitaa na akapata anaweza kugombea udiwani katika uchaguzi mkuu mwaka huo huo?
1 Reactions
12 Replies
741 Views
Wakuu, Viongozi wanachangamkia kuonekana wema si mchezo! === Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amekabidhi Sadaka ya vyakula iliyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
0 Reactions
2 Replies
385 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara John Heche amewataka vijana na Watanzania kwa ujumla kuiunga mkono CHADEMA katika mchakato na dhamira yake ya kuiletea nchi...
8 Reactions
56 Replies
2K Views
Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina, amesema kuwa licha ya muda wa kampeni za ubunge ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) bado kutokuwa rasmi, watia nia katika jimbo hilo wanapaswa kuruhusiwa...
1 Reactions
2 Replies
500 Views
Huyu muheshimiwa kila nikimwona ananikumbusha kile kikopo cha mafuta alichoachiwa pale Dodoma. TUKATAE WAHUNI!
1 Reactions
13 Replies
1K Views
deni la taifa mpaka sasa limekishwa kufikia asirimia 97 ambayo ni sambamba na sifa za mchi zisizo weza kukopesheka kwa baadae kama tu halito rejeshwa kwa wakati. nini sababu za kukua kwa deni...
0 Reactions
0 Replies
270 Views
KATAVI KUUNGWA KWENYE GRIDI YA TAIFA Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limeokoa kiasi cha Shilingi Bilioni 58.4 ambazo awali zilikuwa gharama zikitumika kwa mwaka kuzalisha umeme kwa mafuta ya...
0 Reactions
2 Replies
574 Views
Wakati siku za kufanyika kwa Tamasha la Kuombea Uchaguzi Mkuu 2025 zikikaribia, baadhi ya wadau wameshauri kuwa, tamasha hilo lihusishe waumini wa imani zote. Wakizungumza kwa nyakati tofauti...
1 Reactions
2 Replies
376 Views
Wakuu, Mambo yanazidi kuchangamka huko, ni bandika bandua! ===== katibu wa NEC Itikadi Mafunzo na Uenezi Taifa Amos Makalla amemjibu Heche kuhusu kukomesha kubeti wakiingia madarakani...
0 Reactions
0 Replies
341 Views
1. Wenzetu Thailand na Mynamar wamepata na tetemeko lenye ukubwa wa 7.7 (kwenye Richter scale). Nafikiria tetemeko hili lingetokea Tanganyika Hali ingekuaje? Picha lingeanza kwa msafara wa...
3 Reactions
32 Replies
1K Views
Serikali imezindua Mpango wa Kitaifa wa Nishati wa Tanzania (National Energy Compact 2025-2030) ambao unalenga kuongeza kiwango cha upatikanaji wa umeme kutoka cha sasa cha asilimia 78.4 hadi...
0 Reactions
0 Replies
278 Views
Nitamshangaa Rais Samia akikubali kugawa eneo lolote la nchi kiutawala, aendelee na msimamo wa mtangulizi wake JPM, Magufuli aliapa asingegawa eneo lolote na akafa na msimamo wake. Kitu muhimu ni...
10 Reactions
46 Replies
2K Views
''Kwenye tukio ambalo halikutarajiwa na wengi, Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko, alisitisha hotuba yake ili kutoa heshima stahiki kwa askari aliyemtolea amri...
0 Reactions
2 Replies
589 Views
Mbunge wa Jimbo la Butiama na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Jumanne Sagini ameagiza watumishi wa Shirika la Umeme (TANESCO) na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) Wilaya ya Butiama kutoa elimu...
1 Reactions
7 Replies
638 Views
Back
Top Bottom