My Take
Muda utaamua ngoja tuone
---
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema, amesisitiza kuwa ajenda kuu ya chama hicho kwa sasa ni kuhakikisha...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tanzania Bara Tundu Lissu aliwahi kueleza hadharani namna kada wa chama hicho Edgar Edson Mwakabela (SATIVA) alivyomlipia fomu ya...
https://www.instagram.com/reel/DHvHL1bOb01/?igsh=azBpMGl4d2VlbW4z
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania bara, Stephen Wasira amesema hakuna Mtu wala Chama cha Siasa chenye uwezo...
"Mheshimiwa Rais ukaguzi wangu pia ulibaini kuwa halmashauri 37 zilikusanya shilingi bilioni 3.45 ambazo hazikuwekwa kwenye akaunti rasmi za serikali. Hali hii inaashiria uwezekano wa ubadhirifu...
Nimekusikiliza kwenye mkutano wako wa kumshambulia RC Makonda pale Arusha, Bro, Makonda humuwezi, mitaani hata watoto wa shule waliweza kufanya uchambuzi kuhusu mkutano wako.
Umepoteza kabisa...
Wakuu
Ni wazi kuwa kuna jitihada kubwa zinafanyika kumpaisha Rais Samia kila kona ya nchi kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu.
Kwenye michezo yupo!
Mama Ntilie na gesi, machinga yupo!
Sekta...
Diaspora Leteni Fursa Tanzania,Serikali itawaunga Mkono” - Balozi Kombo
Watanzania Waishio Ughaibuni wamehimizwa kuchangamkia fursa zilizoko katika maeneo yao na Serikali itawaunga mkono pale...
Makamu Mwenyekiti wa CCM Mzee Wassira amesema madaktari wanasema yuko Fiti, Yeye mwenyewe hawezi kujua lakini madaktari wanasema yuko Fiti
Wassira alikuwa akiongea na Waandishi wa Clouds media na...
Bado haijajulikana alipata wapi ujasiri wa Kuwapangia Watu wengine mambo yao ikiwa yeye hayuko huko, Au mimi ndio sielewi?
Ujumbe wake huu hapa
Mbunge wa Viti Maalumu kupitia Mkoa wa Singida...
Huyu alishindwa kabisa kufanya majukumu yake bila kupiga picha na kupost Instagram?
Yaani wakati serikali ya Afrika Kusini inahangaika kutafuta dawa ya UKIMWI na Marekani inahangaika kwenda...
Mkurugenzi Mtendaji wa PPP Tanzania Mhe David Kafulila amesema ule mradi wa barabara za kulipia(toll road) uliokwama tangu awamu zilizopita Sasa kwenye awamu hii ya sita umeiva.
Mhe Kafulila...
Wakati Waziri wa Mambo ya Nje Thabit Mohammed Kombo alipomtambulisha Dr Janabi kwa Rais Emerson Mnangagwa. Taarifa ya ukurasa wake wa Facebook iliutambua ugeni huo kama wa kutoka Jamhuri ya...
Leo mimi kama.mmoja wa wakosa ajira Nimeamua kuja na andiko viongozi sikilizeni hili
Namba hazidanganyi
Madhara ya Kuwa na Wasomi Wengi Mtaani ambao Hawana Ajira
Kuwa na wasomi wengi bila ajira...
Katika Ukurasa wake wa tweeter Mhe David Kafulila ameandika haya:-
************************************
"Kwasasa Umuhimu wa kutumia nishati mbadala hauna mbadala,
Tanzania sasa ni...
Ukisikiliza hii video ya Lema akimchana RC wa Chuga utacheka Hadi upasuke lakini ndio ukweli wenyewe.
Maana Jamaa Yuko busy na makongamano kuliko kushughulikia Maendeleo.
On top of that mda wote...
Utumwa unaweza kuwa ni hiari ya moyo. Ina maana miaka mingi hawa watumishi wa serikali wanaidai serikali, hailipi na wao wanaendelea kusifia, " anaupiga mwingi". Hii ni akili ya kawaida? Kwa...
Wakuu,
Hawa Ghasia kimemkuta nini? Mbona alikuwa ni mtu safi tu kipindi ni Mbunge wa Mtwara vijijini?
CCM angalieni sana watu wa kusemea chama chenu.
Nimewaza sana mwanaume angeinuka na kusema...
Tanzania tumeangushwa na vizazi vyetu sana mpaka sasa
1. Vizazi vya wakina Nyerere na Mwinyi- Ujamaa wametuletea umasikini sana kiasi kwamba wakati Nyere anaondoka uchumi ulikuwa mbaya sana
2...
Salaam, shalom!!
Lengo la mada hii ni kuwasaidia wote waombao Kwa Mungu ulinzi wa kimwili na kiroho.
Lengo lingine pia ni kuwaondoa HOFU wale waombao Kwa mashaka, ulinzi atoao Mungu Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.