Kama Maboresho ya Reli ya TAZARA ni ili tutumie treni ya dizeli tukatae huo mradi

Lord denning

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
14,758
30,514
Kuna tetesi kuwa Maboresho yatakayofanyika katika reli ya TAZARA yanahusisha kuifanya reli hiyo kutumia treni ya dizeli kama Kenya.

Kama huu ndo ukweli napenda kuzishauri mamlaka za Tanzania kuukataa huu mradi.

Kama tumeweza kujenga reli yetu ya kati kwa kiwango cha SGR tena umeme itakuwa ni aibu na fedheha kuu tukijengewa kwa mkopo reli ya TAZARA iliyo na kiwango cha kutumia dizeli.

Mchina asitupande kichwani. Kama Zambia hawawezi kuwa na treni ya Umeme tumwambie kwa kujiamini kuwa kipande cha reli hii kwa upande wa Tanzania lazima kiwe na viwango vya kutumia umeme.

Akibisha tuachane nae tufanye kama Magufuli alivyoachana nao na kwenda kwa Waturuki kwenye SGR Reli ya Kati

PIA SOMA
- Maboresho ya Reli ya TAZARA yaangalie usifanyike udanganyifu kama wa Kenya
 
Wajenge hiyo ya dizel sema iwe safi
Na wakija kujenga si pangu pakavu tunapata pa kushika
 
Tuipeleke wapi wakati tushatoka huko??

Tukikubali hilo tutaonekana sie ni majuha wa kiwango cha rami.

Yaaani huku mnatengeneza ya Umeme yenye viwango vya kimataifa katika dunia hii ya ushindani alafu huku mnajenga ya dizeli???

Kenya aliingizwa mkenge wa wachina akajenga ya dizeli tena kwa gharama kubwa saivi anahangaika kutafuta mkopo mwingine ili aiwekee umeme!

Ujinga alioufanya Kenya na sie tunaenda kuufanya huo huo na wala hatujifunzi sasa kama sio ujuha ni nini hiko?
 
Kuna tetesi kuwa Maboresho yatakayofanyika katika reli ya TAZARA yanahusisha kuifanya reli hiyo kutumia treni ya dizeli kama Kenya.

Kama huu ndo ukweli napenda kuzishauri mamlaka za Tanzania kuukataa huu mradi.

Kama tumeweza kujenga reli yetu ya kati kwa kiwango cha SGR tena umeme itakuwa ni aibu na fedheha kuu tukijengewa kwa mkopo reli ya TAZARA iliyo na kiwango cha kutumia dizeli.

Mchina asitupande kichwani. Kama Zambia hawawezi kuwa na treni ya Umeme tumwambie kwa kujiamini kuwa kipande cha reli hii kwa upande wa Tanzania lazima kiwe na viwango vya kutumia umeme.

Akibisha tuachane nae tufanye kama Magufuli alivyoachana nao na kwenda kwa Waturuki kwenye SGR Reli ya Kati
UkiKataa wewe inatosha.

Tutumie hata mkaa wa miti ilimradi iboreshwe Kwa Ajili ya mizigo
 
Kuna tetesi kuwa Maboresho yatakayofanyika katika reli ya TAZARA yanahusisha kuifanya reli hiyo kutumia treni ya dizeli kama Kenya.

Kama huu ndo ukweli napenda kuzishauri mamlaka za Tanzania kuukataa huu mradi.

Kama tumeweza kujenga reli yetu ya kati kwa kiwango cha SGR tena umeme itakuwa ni aibu na fedheha kuu tukijengewa kwa mkopo reli ya TAZARA iliyo na kiwango cha kutumia dizeli.

Mchina asitupande kichwani. Kama Zambia hawawezi kuwa na treni ya Umeme tumwambie kwa kujiamini kuwa kipande cha reli hii kwa upande wa Tanzania lazima kiwe na viwango vya kutumia umeme.

Akibisha tuachane nae tufanye kama Magufuli alivyoachana nao na kwenda kwa Waturuki kwenye SGR Reli ya Kati
TAZARA urefu wake ni 1860km, unajua gharama za kujenga SGR ya urefu huo?

Hiyo bajeti anatoa nani au ndio unataka ulimie meno.
 
Kapimwe akili

Kwa hiyo unaona sawa reli ya kati iwe ya umeme na reli ya TAZARA iwe ya dizeli?

Hujajifunza kwa Kenya ambao walijengewa ya dizeli sasaivi wanaomba tena mkopo ili wajenge ya umeme kama sie?
Ndio ni sawa,Kwa nini sio sawa? Unadhani lengo la kuboresha reli ni kusafirisha Abiria au mizigo? Hiyo reli ya kati imekufaidisha nini kwenye Nchi Hadi sasa?
 
Back
Top Bottom