CCM ndiyo inayoongoza Serikali. Lolote baya au zuri linalofanywa na Serikali, CCM inabeba uhusika mkuu.
Jukumu la kwanza la msingi kabla ya mengine yote kwa Serikali yoyote halali Duniani, ni...
Katika hali isiyo ya kawaida Mbunge wa Masaai amewashambulia wanaodhaniwa kuwa ni watia nia. Mbunge huyo amedai kuwa watu wastaafu hawapaswi kugombea ubunge. Akiongea katika mkutano na wananchi...
Kutokana na kuwepo kwa vikundi vingi vidogovidogo vya wajasiriamali vinavyozalisha bidhaa mbalimbali ikiwemo za vyakula wilayani Rombo Mkoani Kilimanjaro, vikundi hivyo vimeahidiwa kutafutiwa...
Kwa yanayoendelea nchini miaka mitatu ya serikali hii ya Chama hiki na mwenendo' na kauli za Vijana wa Chama hiki, kusema mnajali UTU ni uongo mchana kweupe. Watu waliopotezwa na kuuawa chini ya...
Najiuliza swali kubwa sana kwa aina ya baadhi ya waumini wa pande zote mbili wanavyochuliana kimoyo moyo na kuchekeana kinafiki mdomoni je ni sahihi kwa Kiongozi wa nchi kuchangisha Pesa ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi pamoja na wageni mbalimbali waliohudhuria Mkutano Mkuu wa 39 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania...
Matukio katika picha wakati wa kikao cha Kamati Kuu ya Chama kinachoendelea muda huu Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam.
Kikao hicho kinaongozwa na mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Tundu...
Serikali ya CCM ni moja ya Serikali za Africa zinazo ishi kwa anasa kubwa sana, na katika vitu ambavyo Watawala wetu hawataki kusikiai ni kuishi ndani ya uwezo wa nchi.
Ruto kwa mwaka unao...
Utangulizi
Katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi, masuala ya viti maalum vya ubunge na udiwani yanazungumziwa kwa nguvu, lakini kuna maswali mengi yanayoibuka kuhusu uhalisia wa sera hii...
Mama Samia amekuwa akisifiwa na kupambwa kila mahali hapa nchini.
Watu wanaomsifia mama, hawatekwi, hawapotezwi, wanapata nafasi za uoendeleo na teuzi kedekede.
Lakini kwa wakosoaji hali ni...
Kwa miaka mingi, Watanzania tumeendelea kushuhudia mfumo wa uchaguzi usio wa haki, usio na usawa, na usioakisi matakwa halisi ya wananchi. Tumeshuhudia jinsi mchakato wa uchaguzi unavyotawaliwa na...
Tuliwaambia CCM haina kiongozi mwenye pure intelligence yaani AKILI NA UTASHI wa kubadili resources za Tanzania kuwa hela . Ni Majanga hilo Taifa.
Huyu Biteko aliingia kwenye Uwaziri na...
Tanzania ya kesho haitajijenga yenyewe – inajengwa na sisi, vijana wa leo. Katika dunia inayobadilika kwa kasi, hatuwezi kuendelea kuwa watazamaji wa hatima yetu. Lazima tuamke, tutafakari, na...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ameonesha heshima na kumkumbuka Profesa Philemon Sarungi kama mtu mwadilifu na mtumishi wa umma aliyeitumikia nchi kwa...
Yeye ndie na hakuna mwenye mamlaka juu yake na uwepo wake unadhihilika bila shaka wakuu wangu na waungwana sana wana JF ( sio machawa).
Wana JF amani ya Bwana na ikawe juu yenu popote mlipo kila...
Bila shaka hakuna asiyejua madhara ya TANESCO, iwe mjini au kijijini, awe kiongozi au raia asiye na cheo, awe kijana au mzee, awe msomi au asiyeenda shule kabisa, awe mwenye kiwanda au mmiliki wa...
Tanzania ni muungano wa nchi mbili Tanganyika na Zanz. Bara mtu ana huru wa kula wakati wowote kipindi cha ramadhani lakini Zanzibar hairuhusiwi na mtu akifanya hivyo kuna sheria ya kubana. Je...
Mara nyingi viongozi wakigusiwa jambo hili hutoa wito kwa mashirika mengine ya umma kuongeza ubunifu na uzalishaji ili nao walipane vizuri.
Kuna mashirika ya umma
Kuna taasisi za umma
Kuna...
Kuanzia saa 11 unusu jioni hii imepita mvua kidogo tu Arumeru-Arusha umeme umekata, jamani hii miundombinu imejengwa na nini? Hii ni aibu! Kwa hiyo gizani mtindo moja
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.