Mkoa wa Rukwa ni miongoni mwa Mikoa kongwe hapa nchini, tena ukiwa muhimu sana hasa kwa uzalishaji wa chakula.
Pamoja na hayo, kwa miaka yote hiyo Mkoa huu haukubahatika kuwa na usafiri wa anga...
Kugawa Majimbo ya Uchaguzi Nchini Tanzania Maslahi ya Umma au Wanasiasa?
➠Kugawa majimbo ya uchaguzi ni mchakato muhimu katika kuhakikisha uwakilishi sawa na ufanisi katika mifumo ya...
Ni matumaini yangu kuwa mpo salama,kwa upande wangu namshukuru Mungu.
Kwanza kabisa ni-declare interest kwamba mimi ni wa mkoa wa Mara,wilaya ya Serengeti,tarafa ya Ngoreme,kata ya Kenyamonta...
Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera Faris Buruhani amekishukuru kikao cha Halmashauri kuu ya CCM Taifa [NEC] kilichoketi Mach 10, 2025 kwa kutoka na kauli mbiu ya KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE...
MJADALA HURU WA KITAIFA KUHUSU MRADI WA GESI ASILIA MIMINIKA (LNG) MWAKA 2024
SEKTA NDOGO YA MAFUTA NA GESI
Mabibi na mabwana, wanasiasa, wafanya biashara, wajasiliamali, wanazuoni, wataalam wa...
Gesi asilia ina uhusiano mkubwa na sekta nyingine za uchumi kama vile misitu, kilimo, usafiri, elimu, afya, madini, utalii, biashara, viwanda na nishati. Aidha, shughuli katika sekta ya gesi...
CHADEMA muda huu wanzungumzia kampeni ya Tone tone namna inavyoendelea hadi sasa
Updates...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Godbless Lema na Mwenyekiti wa Kamati ndogo...
Wakati kuna vijana wanabubujikwa na machozi ya furaha humu kila siku.... wanajitahidi kwa kila siku kuanzisha nyuzi hadi 5 kutetea matamko na viongozi then nafasi nyeti anaenda pewa BaBu...
Ni ukweli usiopingika kuwa kwa sasa serikali ina hali mbaya na imeshindwa kutekeleza miradi ya maendeleo kwa kuwa asilimia kubwa ya mipango ya serikali hutegemea wahisani ambao wamegoma kutoa...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mheshimiwa Selemani Kakoso, Wamefanya ziara Mkoa wa Tanga kukagua Miradi ya Miundombinu inayoendelea Mkoa wa Tanga
Kutoka...
Ni jambo lisilopingika kwamba samaki katika Ziwa Victoria wamepungua sana na inawezekana kwa asilimia 80. Kunusuru hali hii inabidi Serikali kupandikiza vifaranga wa samaki hasa wale wa sangari...
https://youtu.be/u5W0p435GHQ?si=mYGJkq3wwCv0b3lZ
====
Katibu Mkuu wa BAWACHA Taifa anayemaliza muda wake Mhe CPA Catherine Ruge ametangaza kutetea kiti chake kwa kipindi cha pili cha miaka...
Binafsi Huwa nashindwa kuelewa hii Nchi inavyoweka na kuratibu mipango yake.
Kwamba inakuaje tuwe na utitiri wa Wawakilishi wa Kisiasa ambao ni Wabunge badala ya kugawa maeneo ya kutawala Ili...
Habari za hapo mjengoni Mheshimiwa, mimi nashukuru Mungu kwa kunipatia afya njema.
Mheshimiwa hawa wachina waliozagaa mjini ni wewe ndiye uliye ruhusu waje kutuuzia yeboyebo, kutembeza matunda na...
Hiki ndicho alichokiandika Kafulila kwenye Ukurasa wake wa X,
"Kati ya mwaka 2000 na 2025, pato la kila Mtanzania liliongezeka mara manne ( 4 ) kutoka US$360 mpaka US$ 1500 kama...
Mbunge wa Moshi mjini MH.PRISCUS TARIMO @Priscus Tarimo B amekuwa mtu wa mwanzo kuleta maajabu ya maendeleo Moshi mjini...
Haikuwa rahisi kwa chama kumpa ridhaa mtu ambaye hajawahi kuwa...
Mwaka 2020 katika Uchaguzi Mkuu wa Rais na Wabunge, nikiwa nimevutiwa na Sera ya CHADEMA kuhusu kuanzisha utawala wa majimbo nchini Tanzania niliandika uzi kuonesha namna gani utawala huu...
Kwa mujibunwa taarifa ya Uchambuzi wa Uchumi kutoka BoT,Kwa mara ya kwanza katika historia ya 🇹🇿,sekta ya Kimo imeshika namba 1 na Kuongoza kama sekta kuu na Kiongozi wa kuchangia ukuaji mkubwa wa...
Slogani hii inaenda kuleta ubinadamu, utu, upendo, heshima katika kazi. Ushalilishaji, uonevu, ukandamizaji katika kazi sasa umefikia mwisho.
Iwe katika kilimo, bei nzuri ya mazao, viwandani na...
Hili nimeliona na kuna watu Lumumba wanazungumza.kuwa dogo sasa anaropoka sana. Yeye anataka kuwa Katibu wa Chama kwa maoni ya watu wengi.
Ameanza kukera baadhi ya watu kuwa ana jikomba mpaka...