Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais Samia alipopendekezwa kuwa mgombea wa urais 2025, kuna mjumbe alisimama na kuwambia yeye na mwinyi inabidi watoke nje ili wapigiwe kura, ambako Rais Samia alijibu hawezi kutoka nje, kama ni...
30 Reactions
133 Replies
14K Views
CHADEMA chini ya mh Tundu Lissu, wameamua na wamejipanga sana na "No reform No election" Nimeona hatua wanazo zichukua ni peaceful means, well organized, and the best plans ever seen in Tanzania...
44 Reactions
135 Replies
6K Views
Jamani moyo wangu umefurahi sana baada ya kuona wanachadema na watanzania wanaendakupata mwenyekiti mpyaaaaaaaaaaaa baada ya miaka 20 na zaidi kupita. Hii kwangu na kwa watanzania wenye akili...
12 Reactions
69 Replies
3K Views
Wajumbe wa kamati ya fedha na uongozi na menejimenti ya manispaa ya moshi ikiongozwa na mkurugenzi wa manispaa Bi. Mwajuma Nasombe Leo wametembelea miradi ya maendeleo iliyotekelezwa na ilani ya...
0 Reactions
26 Replies
1K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI ACT-Wazalendo, tumeshangazwa na kushtushwa na Ujumbe mfupi wa SMS, kutoka Tume ya Uchaguzi Zanzibar, ambao wanatumiwa wananchi, kufika katika Ofisi za Uchaguzi za...
0 Reactions
1 Replies
342 Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu anayeshikiliwa na polisi mkoani Ruvuma yupo njiani kusafirishwa kwenda jijini Dar es Salaam. Lissu...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali imeridhishwa na utekelezaji wa ujenzi mradi wa bwawa la Umwagiliaji Membe lililopo wilayani Chamwino mkoani Dodoma. Kamati hiyo imesema, ujenzi wa...
0 Reactions
2 Replies
390 Views
Salaam! Sasa naanza kupata picha ya kwanini nguvu kubwa ilitumika kuzuia CHADEMA kufanya mikutano yao kuwashawishi wananchi kuunga hoja ya no Reforms no Election, Siasa ni mchezo wa wazi...
16 Reactions
66 Replies
3K Views
Hellow Tanzania. Nani anaingiza HOFU ndani ya chama Cha MAPINDUZI kuwa, pakifanyika Reforms kwenye Katiba tukapata Tume huru ya Uchaguzi, kwamba CCM itaanguka na kushindwa vita ya Uchaguzi mkuu...
12 Reactions
136 Replies
4K Views
Kumjibu kwa maana ya Ku balance story Kujibu kwa maana ya kukanusha alichokiongea Kumjibu kwa fact Ikumbukwe hajataja mtu kwenye hoja kuu bali kaongelea taasisi kwa sehemu kubwa.. Katumia mifano...
25 Reactions
114 Replies
7K Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche akizungumza na Wasafi FM, jana Julai 15, 2025 katika Kipindi cha Jana na Leo.
0 Reactions
0 Replies
339 Views
Hellow! Bandiko hili litunzwe. Nadhani umesikia kuwa CHADEMA haitoruhusiwa kushiriki uchaguzi ujao eti sababu hawajasaini fomu ya maadili feki, hii SI kweli. Utafanyika uchaguzi na CHADEMA...
12 Reactions
43 Replies
2K Views
CDE Samson Kasara, Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ametangaza rasmi nia ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Ukerewe katika Uchaguzi Mkuu wa 2025. Akizungumza na wananchi, Kasara amesema amedhamiria...
0 Reactions
2 Replies
621 Views
Kosa lake ni siku ya kikao cha watia nia, alitumia maneno kuwataka wananchi kufanya uasi dhidi ya dhuluma. Ni kama wenye nchi wamechukia kusikia dhuluma inatakiwa kufanyiwa uasi. Wengine...
13 Reactions
119 Replies
6K Views
Wakuu Daniel Chongolo ameamua kujitosa katika mbio za kugombea ubunge zinazoendelea kupitia tiketi ya CCM. === Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika "Namshukuru Mungu, nimefanikiwa...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Yani Mrema na wenzake wanachakata mambo taratibu sasa wamebadili jina la Youtube ya CHADEMA na kuiita CHAUMMA media TV ila bado video za chadema wameziacha vile vile wanachekesha. Nilijua Heche...
8 Reactions
49 Replies
4K Views
HECHE USIRUSHE MAWE UKIWA NYUMBA YA VIOO - AMOS MAKALLA Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Amos Makalla amemtaka Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche kuacha kusambaza propaganda za...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
1) TUNDU LISSU KUACHIWA HURU NA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUUNDWA UPYA. Ifikapo mwezi Juni TUNDU A. LISSU ataachiwa huru Kwa madai ya jamhuri kuamua kutokuwa na Nia ya kuendelea na kesi hiyo...
79 Reactions
319 Replies
22K Views
Wananchi wazalendo na wanaCCM wenzangu msiwe na hofu kuhusu hii kampeni ya kijinga iliyoanzishwa na mwanamke katili asiye na utu kwa jina la Mange. Ni kampeni ya kijinga sana kuwahi kutokea. Mbaya...
1 Reactions
48 Replies
2K Views
Siasa za Tanzania ni Za kutabirika, Kwasasa tukiweka mambo ya maridhiano kwenda vizuri, yaani kuwe na uchaguzi huru na wa Haki basi uchaguzi wa Urais utakuwa Mrais na Kwa kiasi kikubwa tunajua...
10 Reactions
66 Replies
4K Views
Back
Top Bottom