Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu, NETO walikuja na moto baada ya kuicharukia serikali kuhusu ajira za walimu na suala zima la wao kufanyiwa usaili. Jambo hili lilipokelewa vibaya na serikali ambako viongozi wao wa juu...
1 Reactions
1 Replies
340 Views
Jeshi la kujenga Taifa (JKT) limebaini uwepo wa vyeti vya kughushi vinavyotumika na baadhi ya vijana ambao siyo waaminifu kwa lengo la kujipatia ajira katika taasisi na makampuni yanayohitaji...
2 Reactions
2 Replies
543 Views
Wafanyabiaahara na wajasiriamali wadogo wadogo mara kwa marq wamekuwa na malalamiko kwenye ulipaji wa leseni na kodi.Yani TRA hawaweki wazi kodi itakadiria kulingana na mtaji aliyowekeza...
0 Reactions
0 Replies
234 Views
https://www.instagram.com/p/DHI1LhfoRuR/?igsh=MTB5bGZnMjRteTR0ag== My take: CCM wametuamulia naona kauli ya waziri mkuu inazidi kusisitizwa.
0 Reactions
4 Replies
376 Views
Halmashauri ya Jiji la Dodoma imejipanga kutoa huduma kwa wananchi wote kwa kuzingatia mgawanyo wa Jimbo la Dodoma Mjini wenye mapendekezo ya kuligawa jimbo hilo kuwa Jimbo la Mtumba lenye kata 20...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Sisi Chama cha Mapinduzi tunasema hakuna kazi bila utu, kwani tunawahudumia Wananchi na kuhakikisha tunawapatia maendeleo wanayostahili kwa ueledi wa hali ya juu. CCM 2025 ✅, KAZI NA UTU...
0 Reactions
4 Replies
435 Views
Tangu kuingia madarakani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan mwaka 2021, shule za msingi mpya zaidi ya 468 zimejengwa huku vyumba vya madarasa zaidi ya 15,000 vipya...
0 Reactions
7 Replies
497 Views
Tangu kuingia madarakani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan mwaka 2021, shule za msingi mpya zaidi ya 468 zimejengwa huku vyumba vya madarasa zaidi ya 15,000 vipya...
1 Reactions
10 Replies
646 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC-Organ) Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan...
0 Reactions
0 Replies
467 Views
Inatupa moyo kujua kuna Watanzania wazalendo wa kweli ambao wameweka sababu za kuwa hapa Dunia. Sio Machawa ambao wanaishi akili na moyo upo kwenye matumbo Namtabiria huko mbele Maria atapewa...
4 Reactions
11 Replies
679 Views
Wakuu Joseph Kusaga, Mkurugenzi Mtendaji Clouds Media Group akizungumza kwenye tukio la Uzinduzi wa Malkia wa Nguvu amesema "Huu ni mwaka tunakwenda kwenye uchaguzi na uchaguzi wetu tumeshasema...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Wakati genge la Ufipa likikazana kupotosha umma kuhusu uongozi thabiti wa Mama Samia Hassan, majirani zetu Zambia wameguswa sana na uongozi wa Mama kiasi kwamba wameshindwa kuvumilia na kuamua...
11 Reactions
61 Replies
2K Views
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba CHADEMA imefungua Mafunzo kwa lengo la kuwapiga Msasa viongozi wake Miongoni mwa Wakufunzi yumo CAG Mstaafu Alhaj Mussa Assad, Wakufunzi wengine ni Tundu Lissu na...
10 Reactions
36 Replies
3K Views
Akizungumzia maendeleo yaliyoletwa na chama cha mapinduzi (CCM) tangu tupate uhuru, kada wa chama hiko - Antipas Pamba ambaye ni Katibu wa umoja wa vijana chama cha mapinduzi (CCM) tawi la Milenia...
3 Reactions
14 Replies
550 Views
SWALI NI: JE, MFUMO WA MAJIMBO UTALETA UKABILA NA KUFANYA BAADHI YA SEHEMU TANZANIA KUTOKUWA NA MAENDELEO? Amani iwe nanyi wadau! Leo napenda kuwajibu wana CCM wanaosema mfumo wa Majimbo...
13 Reactions
66 Replies
6K Views
Katika mwaka wa 2024, tulishuhudia mtu mmoja akifanya kazi kubwa kama mkimbiza mwenge wa uhuru, akitafakari na kukagua miradi ya maendeleo katika maeneo mbalimbali nchini. Huyu si mwingine bali...
2 Reactions
8 Replies
562 Views
Hii ndio sababu kubwa ya Prof. Sarungi kuzikwa Kinondoni. Kwa ubavu serikali iliingilia kati na kuteka msiba na kulazimisha Marehemu Sarungi kuzikwa Dar. Kwa muda mrefu Serikali ya Samia...
27 Reactions
93 Replies
6K Views
Nimepitia idara zilizoanzishwa na viongozi wake kwenye awamu hii ya Lissu makao makuu ya Chadema, ninahisi idara muhimu ya utafiti, sera ,mipango na teknolojia haipo au wamepitiwa tu. kiukweli...
0 Reactions
1 Replies
260 Views
Kwema Wakuu! Mwaka 2017 siku moja bàada ya Lissu kupigwa mvua ya risasi niliandika makala niliyoipa kichwa "Tundu Lissu katika Tundu la Simba" Lisu akiwa mahututi hajitambui niliandika makala...
54 Reactions
135 Replies
11K Views
Back
Top Bottom