Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa sasa ukitaka kuona brain za nchi hii, nenda CHADEMA. Nawaelewa sasa CCM kwa kuanza kuchukua sera za Lissu na CHADEMA ikiwemo ukomo wa ubunge kupitia Viti Maalum kila la Kheri CHADEMA...
12 Reactions
78 Replies
3K Views
Mikoa 10 ambayo Wananchi wake Wanaotajwa kuwa na Mapato makubwa na hivyo Wana Maendeleo kushinda maeneo mengine ya Nchi. Takwimu hizi ni wastani wa Mapato ya mtu na yako Juu ya Wastani wa...
9 Reactions
120 Replies
11K Views
Katika kuhakikisha TANESCO unahudumia wateja wake kwa haraka na kwa ufasaha, wamezindua namba mpya 180 ya kupiga bure masaa 24. Havi karibu Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dodoma ( UVCCM) Abdulhabib Mwanyemba, amewahimiza Vijana nchini wakiwemo wa CCM kujitokeza kwenda kugombea nafasi mbalimbali...
0 Reactions
0 Replies
264 Views
Mbunge wa Manonga Self Hamis Gulamali akieleza namna serikali ya awamu ya sita chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan ilivyoleta maendeleo jimboni kwake. Kupata matukio na taarifa zote kwa...
2 Reactions
7 Replies
539 Views
Kwanini wamefungia telgram hasa?
4 Reactions
53 Replies
12K Views
𝗨𝗰𝗵𝗮𝗺𝗯𝘂𝘇𝗶 𝘄𝗮 𝗞𝗮𝘂𝗹𝗶 𝗠𝗯𝗶𝘂 𝘆𝗮 𝗖𝗖𝗠 𝘆𝗮 𝗨𝗰𝗵𝗮𝗴𝘂𝘇𝗶 𝗠𝗸𝘂𝘂 𝟮𝟬𝟮𝟱: "𝗞𝗮𝘇𝗶 𝗻𝗮 𝗨𝘁𝘂, 𝗧𝘂𝗻𝗮𝘀𝗼𝗻𝗴𝗮 𝗠𝗯𝗲𝗹𝗲" 𝗡𝗮. 𝗝𝘂𝗺𝗮 𝗦𝗮𝗶𝗱, 𝗧𝘂𝗺𝗯𝗮𝘁𝘂 - 𝗨𝗻𝗴𝘂𝗷𝗮 Kauli mbiu hii ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Kauli zinazoendelea kutolewa na viongozi wa chadema waliopo madarakani kwa sasa ni kana kwamba waligombea ili kumkomoa freeman mbowe kisiasa ,waliingia kwenye kinyang'anyiro kwa visasi na si...
4 Reactions
33 Replies
2K Views
Wakuu, Serikali kupitia Waziri wa Afya nchini imetangaza kumalizika kwa mlipuko wa ugonjwa wa virusi vya Marburg katika Wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera. Taarifa hiyo imetolewa na Waziri wa...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Makamanda ni watu wa matukio sana, kila linapotokea jambo huwa wanashadadia sana. Hivi sasa wamesahau hata kama wana mgonjwa kule Ulaya, wamesahau kama Halima Mdee na Lema pia wana kesi kama ya...
11 Reactions
77 Replies
6K Views
Tuliambiwa Mabasi ya Mwendokasi kwa ruti ya Mbagala kuanza March 2025, Vipi huko njiani Mnayaona? Kwa yeyote aliyeyaona mabasi hayo yakisafirisha abiria kutoka Mbagala kuja Mjini atuambie ili...
6 Reactions
39 Replies
2K Views
Wakati Tume ya Huru ya Uchaguzi nchini (INEC) ikiendelea na uandikishaji wa daftari la kudumu la wapigakura katika mikoa mbalimbali, vijana wametakiwa kuwa mstari wa mbele kujiandikisha ili wapate...
1 Reactions
8 Replies
525 Views
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Chitete wilayani Ileje, mkoani Songwe, Harison Mwampashi (62) amefariki dunia baada ya kudaiwa kuuawa na watu wasiojulikana...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Wapigania uhuru wa waafrika wanaitwa Simba wa Afrika walikuwa matapeli wakubwa wazee wale. Nasema waafrika tulikurupuka kudai uhuru hatukuwa na mipango wala nia yoyote ile ya kudai uhuru ni kama...
8 Reactions
33 Replies
2K Views
My Take Ujumbe uwafikie,kazi na Utu tunasonga mbele na Samia 👇👇 https://x.com/MwanaHabariNews/status/1900117968165466240?t=2zG-dRt2dsIch-RiF7kLpA&s=19
1 Reactions
64 Replies
2K Views
Wakuu, Baada ya kupita Mkutano Mkuu wa chama Cha Demokrasia na Maendeleo, Mwenyekiti wa chama hicho Kanda ya Victoria Ezekia Wenje amekuwa sio wa kuonekana kwenye matukio ya chama jambo ambalo...
9 Reactions
46 Replies
3K Views
Kutoka kwenye jarida hilo Wanasema kuwa Afrika kutoendelea ni sababu ya viongozi kutokuwa na uwezo mkubwa wa kiakili ilihali wamelalia rasilimali lukuki. Jarida linasema wapigania uhuru wengi...
3 Reactions
8 Replies
808 Views
SIMBACHAWENE NA MKENDA WAKUTANA NA VIONGOZI WA NETO Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene amesema Serikali itaunda timu ya...
0 Reactions
0 Replies
341 Views
Wakuu Tunajua msimamo wa Chama upo wazi, bila mabadiliko hakutakuwa na uchaguzi na hawatashiriki uchaguzi, huyu Mapunda imekuaje ametangaza nia wakati wenzake wanapaza sauti ya No Reform, No...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu ameeleza kutambua maumivu ya walioshindwa uchaguzi ndani ya chama hicho na kutaja mikakati ya kutibu majeraha yaliyotokana na...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Back
Top Bottom